Hatimaye serikali yasitisha usajili wanoah katika biashara.
Huu usafiri unasaidia sana vijijini, umerahisisha maendeleo na mambo mengine , figusu katika nchi yetu haziishi, hatimaye wamesitisha...
Nimepata email ya tangazo kutoka mtandao wa 123tanzania ukielezea kuwa Hotel ya Starlight inauzwa kwa dau la USD 3,500,000.
Kwa mdau mwenye hela achangamkie tenda hiyo.
Juzijuzi Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipohojiwa alisema hivi karibuni watamwaga pesa nyingi mtaani. Sasa badala ya pesa kumwaga sasa hata za kulipa watu zinakosekana.
Taarifa zilizopo ni...
Habari za muda huu wanaJF!
Bila kupoteza muda kuna tetesi kuwa Vodacom hawasajili tena laini mpya za uwakala wa M-Pesa.
Mwenye taarifa tafadhali atueleze nini kimetokea huko.
Kuweka record sawa!
Vile viwanja vilivyokuwa haviuziki kwa sababu ya migogoro utawala wa jpm, sasa vimeanza kuwa dili tena awamu ya sita!.
Double allocation imeanza kurudi tena!
Nashauri Inchi...
Ninatuma Uzi huu, kuijulisha serikali ya Tanzania kuwa Hali za wananchi ni mbaya kiafya huko Moshi mjini na Kilimanjaro Kwa ujumla.
Wanaozaliwa ni wachache kuliko wanaofariki Kwa siku moja.
Hali...
Halo
Huyu jamaa ni kijana wa nigeria aliyekuwa akiishi Dubai miji kama Abu Dabi ndio viunga vyake vya kujitanua.
Alitrend sana na kisa kikubwa kutrend kwake ni yeye mwenyewe kuwa mtu wa kupenda...
Je, ni kweli kwamba baada ya kufanya majaribio kwa watu waligundua kwamba mtu anatakiwa achanjwe mara 2 ndio awe na kinga tosha, ila baada ya utafiti sasa wamebadilika tena, wanasema unatakiwa...
Wakuu,
Kwa niliyayona jana na juzi sitasalimia naenda moja kwa moja kwenye maandiko yangu.
Nilisafiri kwenda kijijini mara moja kwenda kutafuta mazao kwani wakulima nikafika kijiji kimoja...
Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta...
Kuna wizi unaendelea siku ya 3 Leo kivuko cha busisi Mwanza. Wananchi wanalipia huduma ya Choo bila receipt wala machine siku ya 3 sasa. Watu wanatoa km sadaka kanisani. Nimejaribu kuuliza kwanini...
Saalam?
Zipo tetesi kuwa manispaa ya Morogoro inataka kujenga uzio (ukuta) kufanya ivo no kuwanyima wananchi fursa ya kuongeza kuipato Chao kwa kuitumia soko hilo.
Kama ni kweli viongozi wa...
Come.to think of it.
Asilimia kubwa ya watu wanao jiingiza katika ujasiriamali WA kukusanya makopo na chupa za plastiki na kisha kwenda kuziuza viwandani huwa wanaishia kuwa wehu kabisa na...
Yapo Mambo mengi kumhusu shetani ambayo mimi nimekuwa Mgumu kuamini ni kuhusu shetani majini yote kuogopa Nguruwe, unakuta Mtu anasimulie Habari zake huhusu kukutana na wWachawi au majini lakini...
Habar
Population au idadi ya watu ni suala pevu na lenye mashiko
Linaipa nchi
-bargaining power kwenye soko la dunia
-fulsa ya biashara
-nguvu ya jeshi kwakua na millitary man power
-kupata...
Je ni kweli taasisi hii ya umma itaanza kuunda ndege 2018? kama ndio juhudi hizi zinapaswa kuungwa mkono maana zitapunguza gharama za kuagiza ndege toka nje
**WAFUATAO WASIWEPO KWENYE KUUNDA...
Kama panavyosomeka hapo leo nikiwa katika harakati zangu za mizunguko huko mjini nilitembelea sehemu yenye maduka ya simu nilishangaa kukuta kila duka limepanga simu za Tecno, Itel, pamoja na...
Walioko huko Morogoro Turiani wilaya ya Mvomero watuthibitishie hii taarifa ya wafanyakazi wa hospitali hiyo wapatao 60 wamepunguzwa kazini.
Poleni sana ukiwa mfanyakazi unaisoma namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.