Kuna mdau wangu mmoja tunafahamiana naye anafanya kazi DSTV kitengo cha R&D.
Anasema sasa hivi DSTV wako kwenye mchakato wa kushusha mzigo mpya robo ya kwanza ya mwaka 2022.
Wanaleta antena...
Habari nataka kupita Kawe nasikia kuna panya wameliamsha dude eti wamefunga road ni kweli maana kila nayempigia simu wa maeneo hayo hawanipokelea simu na mimi nataka nipite Ukwamani vipi kuna...
Nimeambiwa Newala wameandaa watu wao wawachomeke kwenye utendaji wa vijiji nafasi walotangaza
Nafasi 14 za utendaji waloitwa kwenye usaili ni watu 999
Wazee wa connection washafanya yao mtu...
Wakuu Kuna tetesi nilisikia kuwa Tanesco hawataki kuwaunganishia umeme wateja wale waliolipia elfu ishirini na Saba (27000) , eti kisa haikuwa Bei yenye uhalisia.
Wakati nakumbuka hata Rais...
Ni kazi kweli kweli! Inaonesha hata mwaka huu mishahara kuna uwezekano mkubwa sana haitapanda. Sasa sijui SSH anashindwa nini? Watendaji hawa wamepeleka Bajeti haina kabisa pendekezo la kupandisha...
Alhamisi na Ijumaa ya leo DPP alikua na kikao na ma RPO wa Tanzania nzima Ila sijui Kama ma RPO wa Zenji walikuja ili miongoni mwa sisi wageni wa DPP alikuwepo Wakili kutoka Zanzibar nae alikua na...
Tetesi
Ni kwamba akina mdee na wenzake baadhi wataomba msamaha na wengine wenye mvuto watajiunga rasmi CCM akiwemo Hawa Bananga ambaye mumewe Binam Bananga kashatangulia CCM, halima mdee na ester...
Hizi tetesi zilikuwa kama kweli ila zimekuwa kweli sasa kama wamekubali.
bodi ya twitter imekubali sasa kwa dau hilo na sasa itakuwa mikononi mwa Elon .
kumbuka Elon musk aliingia kama share na...
Habari gani wana Jamvi la Habari na Hoja mchanganyiko.
Acha niende kwenye Hoja moja kwa Moja. Nipo katika Harakati za kuomba Ajira za Wizara ya Afya. Kuna hiki kipengele cha Kudhibitisha Vyeti...
Kuna hii habari kwamba Standard Chartered Bank wanataka kufungasha vilago ikoje?
Kama ni kweli, Juzi kati tuliambiwa, mama kayafufua mabenki hili halijafufuka?.
NB; Standard Chartered Bank ni...
Nasikia kuna ajali mbaya imetokea usiku huu huko Ikungi, tafadhali mlioko huko Ikungi tupeane habari, tuna ndugu wanasafiri usiku huu na hatuna mawasiliano nao, kuna ndugu amepita hapo ameona...
Wadau nipo kwenye daladala kutoka Bunju kwenda Makumbusho, kondakta anatutangazia abiria kuwa kesho nauli zitapanda kwa shilingi 200 kwa hiyo tujiandae.
Sijui kama lina ukweli wowote, ila...
Tunawauliza OR TAMISEMI,hivi ni nini maana ya "hela ya kujikimu"?
Waajiriwa wapya wa kada ya afya na elimu (walimu) walioajiriwa hivi karibuni wameshaanza kuripoti vituoni lakini hakuna hata...
Kuna taarifa kwamba upo MKAKATI wa makusudi wa upigaji wa fedha kwenye zoezi la anuani ya makazi 'postcodes' kwa baadhi ya wakurugenzi nguli, wabobezi , viburi na wasio na kwenye kutengeneza hila...
Baada ya Dstv kupandisha vifurushi vyake mwezi septemba, nimedokezwa muda wowote kuanzia sasa, AzamTv nae atapandisha vifurushi vyake, kile cha kuona mpira elfu 20 sasa kuwa 25! Ni matokeo ya...
Kabla ya yote nianze kwa kutoa Pongezi zangu kww Mtandao huu wa JamiiForums kwani baada ya Kuandika Uzi kuhusu Kitendo kibaya alichokifanya Msemaji wa Yanga SC Haji Manara umeibua mwako mkubwa...
Hii ni tetesi mpya kutoka huko Chato, iliyokuwa benki ya CRDB sasa imegeuzwa kuwa Chato club, baada ya kifo cha hayati Magufuli. Mlioko huko ukweli ni upi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.