Wanabodi,nimepewa story na mtu wa karibu na marehemu kuwa huenda kilichosababisha jamaa kujiua ni pamoja na misukosuko ya ndoa yake.
Inasemekana marehemu alikuwa akiishi vizuri tu na mke wake na...
Habari,
Hawa jamaa, wanatoa kozi zisizo sajiliwa, kuna magumashi. Kuna jamaa, alisoma post graduate ya M&E, baadaye akaambiwa haitambuliki
Ukizingatia umesha poteza muda na pesa, tuweni makini...
Kwa hali inavyoendelea quarantine nchi nzima inakuja.. Inawezekana viongozi wamekubali ushauri na kijifunza toka kwa walioathirika kabla
Ni wazi muingiliano wa watu ndio kichokoo kikubwa cha...
Wakuu habari na poleni na majukumu. Kwa heshima na taadhima naomba mwenye kujua utaratibu utakaoniwezesha kupata nyumba ya kupanga ya nhc ndani ya Dar es salaam kwa gharama ya kitanzania, nyumba...
Salaam wanabodi.....
Niende moja kwa moja kwenye Maada ya swali hili,Kiwanda kipya cha sigara Kingolwira Morogoro kilitoa nafasi za kazi tangu mwaka jana mwezi wa nane.
Pamoja na ukimya wote ule...
Mahakama ya Hakimu Wilaya na na hakimu Mkazi kinondoni imekuwa ikitajwa kwa rushwa za hali ya juu huku mbinu zitumiwazo zikiwazidi kete maafisa wa PCCB na TISS.
Mahakama hiyo ambayo imeongezewa...
Ikifika wiki ijayo kuanzia Jumatatu nitafafanua kwa kina zaidi.
Kuna taarifa kwamba mmiliki wa gazeti 'Mbongo' amekuwa kwenye majadiliano na makubaliano ya mwisho wiki hii (sijui ya lazima au...
Kuna ufisadi mkubwa unaendelea wakala wa mwendokasi ambao unahusisha wanaojiita wataalam wa tehama, iko hivi kuna mfumo unaandaliwa wa ukusanyaji nauli kwa njia ya kielektroniki ambao kwa sasa...
Takribani mwezi mmoja na ushee umepita tangu Yanga Omary awekwe ndichi.
Kama ilivyo ada ya wazee wa Tanga na vitongoji vyake kijana wa mji anapopatwa na matatizo bila kujali ameyaita mwenyewe au...
Ni wakati sasa wa serikali kutunga sheria rafiki kwa bodaboda wanaofanya kazi maeneo ya mjini kwa kuwatambua na kuwapa utambulisho maalumu ili kuondoa hadha ya kusumbuliwa na askari polisi na...
Kwa habari nilizozipata, leo hii 13/11/2020 zinaeleza kwamba Ofisi Kuu za Kanisa la KKKT (DKMS-KKKT) zilizopo Tanga katika wilaya ya Lushoto zinatarajiwa kufunguliwa tena
Ufunguzi huo utafanywa...
Nimearifiwa na mmoja wa wahanga kuwa katika kijiji cha Kitaya kilichopo katika Halmashauri ya Nanyamba huko Mtwara kuna hali tete inaendelea huko.
Kijiji kimevamiwa na watu wenye risasi za moto...
Habari wakuu,
Nimeona habari(conspiracy) inayosema raisi wa Nigeria Buhari amefariki na aliyepo sasa si yeye ni mtu anaefanana nae (clone ) ambae ni raia wa Sudan aitwae jubril . Je kisheria...
Ndugu zangu watanzania naandika thread hii Kwa uchungu Sana na Kwa nasikitika makubwa Ila Sito penda andika Kwa undani kutokana na unyeti wa hili Jambo na Kwa bahati mbaya uwenda Kwa uchungu...
Katika hali isiyo ya kawaida inasemekana Jeshi la Polisi limelala usingizi wa PONO [samaki huyu hulala usingizi wiki mbili mfulilizo kwenye matumbawe].
Hali hiyo imekuja baada ya uwepo wa...
Habari wakuu,
Kuna taarifa za moto kuwaka katika hifadhi ya mlima Kilimanjaro muda huu, gari la kuzima moto limefika eneo la tukio lakini hawajafanikiwa kuuzima.
Inasemekana moto unawaka karibu...
Kwa kifupi sana, anasema tumepigwa kwenye ununuzi wa Madege yetu, anasema tumepigwa parefu! Anawaomba Donors wajitoe kutusaidia! Kwa wale wavivu wa kusoma ndio summary hii hapa!
Swali, je ni...
Hapa ndipo unagundua vyombo vya habari kutaja tanzania kama watakosa yote.habari ya bbc swahili
Iliyotoka hipo tofauti na hii ya cnn.
Kwa nini wanapenda kutuonea hawa
Tangu juma lililopita nimekuwa nikifuatilia passport yangu idara ya uhamiaji Dar es Salaam, iliyopo ndini ya ofisi za Mambo ya Ndani ya Nchi. Napewa jibu rahisi sana na afisa aliyekaa nje ya...
Habari za muda wakuu?
Napata habari mbaya na malalamiko kutoka kwa mwanafunzi ambaye anasoma kidato cha tano shule ya sekondari Kazima mkoani Tabora, kuwa kuna unyanyasaji wa hali ya juu.
Moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.