Kituo kikubwa cha kubadilisha magari na abiria cha MAKUMBUSHO kilichopo Kijitonyama kwa sasa ni kama mtoto yatima.
Kituo hiki kilijengwa baada ya kile cha Mwenge kuvunjwa. Kituo hiki kina njia...
Huku dunia nzima tukiwa na hali ya taadhari na mipango mbali mbali kupambana na janga hili la virus vya corona kuna nchi moja ya mbali huko kiongozi wa taifa hilo anaonekana na wengi kua hajali...
Kuna tetesi ya kwamba 5g network imeleta madhara makubwa, na Hilo suala la 5g zaidi ya mwaka wataalamu waliomba lichunguzwe kwanza kwa madhara kwa mwanadamu na viumbe.
Vipi madhara yake
5g...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ambayo Mheshimiwa Magufuli hajajulishwa ni kampuni isiyo rasmi inayomilikiwa na mtu mmoja, kutoka Dodoma mwenye mke kutoka Kigoma akishirikiana na watu wa...
UKITAKA KUMFICHA MWAFRIKA MWEKEE UJUMBE KWENYE KITABU
Hii ni makala nimeiona kwenye status ya mtu whatsapp nikaamua kujioa uafrika na kuisoma.
Kama utaisoma njoo ulete mrejesho tu au uulize...
Wakuu,
Serikali imepiga marufuku daladala kusimamisha na kujaza abiria, taratibu ambao haukuzoeleka sana haswa kwa jiji la Dar.
Mimi nikiwa mmoja wa wamiliki wa daladala hizi naishauri Serikali...
Wakuu naona wenzetu kabla mambo hayajawa magumu sana wameamua kusimamisha baadhi ya huduma kwa kuhofia maambukizi mapya ya virus vya corvod19.
Tanzania ina la kujifunza hapa, Kenya nao upande wa...
Ukiwa unakimbizwa na mbwa wewe rusha mifupa nyuma tu,wakiwa bize kugombea ww tayari unachanja mbuga.
Hii ni moja ya mbinu mpya kabisa ambazo ni ngumu kujulikana na kila mtu.
Lengo la US ni...
Kwako waziri wa Afya Ummy Mwalimu, pole na majukumu ya kazi. Kuna tetesi nimezipata kutoka kwa nesi mmoja ambaye hakupenda kutaja kituo chake cha kazi akielezea namna hali ambavyo imekuwa mbaya...
Unaweza kujiuliza how comes Professor mzima anamuita mtoto wake jina " Mwisho" ilhali jina lenyewe laonekana kuwa limebeba maana ambayo si nzuri sana ( Laweza kuwa na maana nzuri pia kwamba Mwisho...
Wanamaendeleo habari za leo
Leo naomba kuchangia mada na nyinyi kuhusu hawa ndugu zetu wanaojipatia kula yao ya kila siku na kuendesha familia kwa kutupeleka maeneo mbalimbali ya jiji. Mwanzoni...
Katika kufuatilia chimbuko la kisa cha Afisa biashara aliyeonekana akichana kitabu cha Qur'an!
Moja mwananchi ambaye hakutaka jina lake litajwe; Amesema Aliwahi kufungiwa biashara yake changa na...
Nimepatata fununu hizi muda si mrefu kupitia makada wawili tofauti lakini bado nazifanyia kazi kujua usahihi na uharaka wake.
Mmoja wa watoa taarifa amesema huenda zoezi hili likaendeshwa kimya...
01.👉 Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye
Engineering na Medical school.
02.👉 Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa
wanafunzi walioshika nafasi...
Uchina na dunia kwa ujumla inahaha kupata tiba na chanjo ya kirusi cha Corona, kirusi hicho kimetokana na ulaji wa supu ya popo.
Kwa wazoefu na walaji kupeana uzoefu jinsi ya kumuandaa huyu popo...
Wadau habari za asubuhi wadau! Dar pia kuna viashiria vya kuvamiwa na nzige, naomba serikali ifanye utafiti wake vizuri, kuepusha hili balaa la nzige lililoanzia nchini kenya na sasa kuonekana...
Lazima kila mwananchi asajiliwe!
Kuna watu wana namba ya NIDA lakini usajili umegoma.
Alama ya vidole ni utaratibu wa kuscan Fingerprints kwenye mifumo ya utambuzi!
Kuna baadhi ya watu ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.