Kampuni za Azam zimeendelea kufanya mapinduzi ya uwekezaji kwa kuanza kuwekeza katika Usafirishaji Wa anga kwa kutegemewa hivi punde kushusha ndege 15 kwa ajili ya shughuli za usafirishaji kutoka...
Happy new year 2020 wanaJF
Kwa kitendo hiki kama ni kweli kulingana na nilivyosikia, basi nchi yetu imefikia pabaya
Msanii wa Hip hop Roma Mkatoliki baada ya kutoa ule wimbo wake "Naitwa roma"...
Naombeni kujua Bei za maharage ngara
Naambiwa Bei poa sana je ni kweli?
Nmeambiwa 700/kg Ila hakusema maharage yapi madogo au makubwa alieko NGARA nahtaji msaada
Na Mwandishi Wetu
Mamia ya Watanzania wamepinga upotoshaji wa mwandishi wa habari aliyegeuka mwanaharakati, mwanasiasa na zaidi wakala wa mabeberu, Ansbert Ngumrumo, ambaye kazi yake kubwa ni...
Kuna tetesi kuwa kikao cha dharura kimeitishwa mjini Dodoma kinachowakutanisha wakuu wote wa vyuo vikuu nchini.
Hatua ya kuitia kikao hicho imetokana na hali mbaya ya wahitimu wa vyuo vikuu...
Wakuu habari za asubuhi?
Nimesikia tetesi kwamba lile fao la kujitoa lililokuwa limezuiliwa awali kwamba hadi mwanachama afikishe miaka 55 ndipo anaruhusiwa kwenda kuchukua fao lake
Wakuu hapa...
Habari za weekend?
Nina info za uhakika kabisa kutoka vyanzo vya kuaminika kabisa kabisa kwamba Mkulima kamalizwa na malipo yalikamilishwa Jumanne iliyopita, na ni madai yake yote na safari hii...
Waswahili wanasema safari moja huongeza nyingine.Hicho ndo kimenitokea Mimi.
Nikiwa katika safari yangu ya kufanya utafiti uchawi uganga na ulozi nimejikuta napata interest ya kuandika kuhusu...
Wanafunzi waliomaliza mitihani yao kidato cha nne Alliance Schools zaidi ya 200, wanatakiwa kuchanga 100,000/-TZS ili kushiriki mahafali ya kidato cha nne 2019. Iwapo kila mwanafunzi atatoa pesa...
Wazima humu naomba kupata taarifa zenye uhakika kuhusu kisopwa huko Dar ama iko pwani sina uhakika sana,nasikia wanajeshi wanavunja na kubomoa nyumba za watu watoke kwenye maeneo yao ,ambayo kwa...
Habari zenu waungwana,Mie imenitokea kama wiki tatu sasa sikio langu kutosikia vizuri,Yaani linasikia ila ni kwa mbali sana,Nimeenda hospitali wamenipatia dawa aina ya Boric Acid lakini mpaka sasa...
Mji wa Zanzibar ambao pia ni nchi isiyo jitegemea , imekuwa kivutio kikuu cha utalii Africa na Duniani.
Fumba iliyopo kusini mwa Zanzibar, njia panda Dimani ilikuwa na uoto wa Asili , mikoko...
Taarifa kutoka mkoani Songwe zinaeleza kuwa Mwenyekiti wa UVCCM kata ya Maporomoko, na kiongozi wa Green guard wilaya ya Momba wamefariki kwa ajali baada ya kugongwa na gari wakiwa kwenye...
Tamthilia ya Mbowe kuendelea muda si mrefu, leo Okt 6, 2019 anafanya press kuituhumu Serikali na CCM vinavihujumu vyama vya Upinzani katika uchaguzi wa S/mtaa. Hii ni hadaa na anataka kutafta...
Kiukweli midude ya standard gauge inapita mtaani kwetu yani nikiona ile migari imeandikwa yapi merkez nafuraaaaahiii acheni tu Magufuli Ni chuma Cha pua vijana mnaoishi reli inapopita acheni...
Habari wanajamvi?
Kuna habari zinadai kuna mlipuko wa moto maeneo ya Songas Somanga. Inadaiwa wafanyakazi wote wamekimbia eneo hilo. Inadaiwa kuna mungurumo mkubwa unaosikika zaidi ya kilomita 10...
Taarifa za kunyapia nyapia nilizopata ni kuwa uenda Tanzania ikanunua ndege kubwa zaidi ya Dreamliner 787-8 ambayo ilipokelewa mwaka jana na Mh Rais Magufuli, Tetesi zinadai kuwa ndege ijayo aina...
Nawasihi tu wadau wapambanaji wa kisiasa na wakereketwa au mashabiki wa mambo ya siasa.
Hii VAR ya kudaka faulo zote za mitandaoni, na kwenye vifaaa vya mawasiliano inafanya kazi kwelikweli...
Huwa ni mara chache naunga mkono hatua za Magufuli lakini kwa hili la kununua ndege niliona kwamba ni mkakati ambao unaweza kuwa na manufaa kwa Tanzania. Nilikumbuka matatizo tuliyopata baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.