Toka jana hii shillingi yetu inaporomoka ipo sasa shs 2300 kwa dola.
Je tutafika, tutachomoka?
Na jana nchini Kenya nimesikia shirika moja kubwa la fedha likitangaza chumi nyingi za East Afrika...
Wakati Mh Rais Magufuli anataka kusogeza huduma kwa wananchi kwa kuwahudumia kwa ukaribu zaidi wilayani Tarura wakala wa barabara vijijini wanapanga kulipa watumishi wake wahamie ofisi za mkoa...
Habari za Leo wakuu.
Kuna habari nimezisikia kuhusu gharama za kujifungua kwa wamama wajawazito. Hapo awali mama mjazito anapofikia wakati wa kujifungua anatakiwa awe na vifaa tu vya kujifungulia...
Wahitimu wa kidato cha sita mwaweza tuma maombi kwa fani za Mechanica Engineering(Rukwa campus) Computer Engineering, architecture na Business administration(accounts and Finance, Human...
Gari la mafuta linawaka moto muda huu maeneo ya karibu na Morogoro, Gari nyingi sana zimekwama kutokana na madereva kuogopa yaliyotokea miezi miwili nyuma.
Ninahisi matumizi holela ya kemikali kama zebaki na nyinginezo zile za kusafishia madini migodini au zinazo tumiwa na wachimbaji wadogo wadogo wa madini, inawezekana hizo ndiyo huchafua mazingira...
Mtangazi na kiongozi wa Radio Free Africa bwana Cyprian Musiba ameamua kuacha kazi kutokana na issue ya maadili mara baada ya mahojiano ya Rc Makonda.
Kupitia ukurasa wake wa insta amebainisha hayo.
Msolovea Gasto Kikuji kutoka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) akiweka usawa na kupima eneo kabla ya kuanza kwa ujenzi wa Daraja la Chuma (Mabey Bridge) lililopo Mto Kihansi katika...
Kesho nasafir kwenda Sumbawanga kutokea hapa dodoma
Naomba kufahamu nipande basi gan la semi luxury ili niaipoteze nauli yangu kwenye basi zenye karaha
Kampuni ya kuzalisha umeme ya
Symbion nayo imefungua kesi ya
madai. Inaidai serikali dola milioni 561.
Ile ndege inayotaka kuanza safari za
London itakuwa hatarini kukamatiwa
huko.
Serikali...
Duru za ndani ya chama kikuu Cha upinzani zinadokeza kuwa hadi sasa vigogo kumi na Saba wa chama Tawala wameonyesha nia ya kuachana na chama hicho na kujiunga upinzani.
Inaelezwa kuwa kwa vipindi...
Tulio wengi tunaumwa gojwa hatari DEMENTIA.Dementia is a broad category of brain diseases that cause a long-term and often gradual decrease in the ability to think and remember that is severe...
Habari zenu,Nimepata taarifa toka kwa jamaa,asema Kuna jezi mpya za wanna njano zinashushwa godown muda huu chang'ombe opposite na ICD ya Azam karibu na Sokota,ushushaji bado...
Wakuu
Kuna tetesi nimezipata kwamba startimes wataanza kuonyesha EPL siku 11 zijazo
Baada ya kupata hiyo tetesi nimeamua kutembelea page yao ndani ya facebook na nikakuta wameandika kwamba bado...
Wakati JPM anaingia madarakani alikuta miradi kibao iliyoanzishwa na Kikwete ikasimama kutokana na ukosefu wa hela. Baadhi ya miradi hiyo ni: Nyerere Terminal III, Hospitali ya Muloganzila, mradi...
Kuna tetesi nimezipata toka kwa Mdau mmoja akiniambia kwamba kuna mpango wa kuchukua km 10 toka ferry upande wa Kigamboni kwa ajili ya kupanua bandari ya Dar es Salaam ili kuwezesha ujenzi wa zone...
Vijana wenu wa usajili (freelencer) wanalalamika na ahadi zenu za uongo za kuwapa vifaa vya usajili 'scaner'
Sasa ni mwezi wa tatu huku Tigo vijana wenu wakitumia vifaa vya Vodacom kukamilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.