United Nations Plz there is no way you can witness the allarming bad condition of Tanzania gvt employees because they are threatened to be killed if not taken to unknown!!
plz UN intervin this...
Maana naona taharuki kwenye grup moja wapo WhatsApp, picha na video zikionesha huu mwanga mfano wa moto, huku hao wadada katika video wakisema kimeanguka, moto unawaka lakini hapateketei huku...
Baada ya kelele za akina Sugu na wabunge wenzake wa upinzani kuhusu nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi wa uma hatimae JIWE amekubali kubadili "gea" angani...Ikumbukwe kuwa hakukuwa na fungu au...
Baada ya wawekezaji wa kigeni kuzingua juu ya ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa rasilimali kama makinikia serikali ya Rwanda inatarajia kuja kuwekeza Tanzania katika sekta ya madini
Ni jambo jema...
Natanguliza salamu zangu na shukran kwa ndugu jamaa na marafi ndani ya hili jahazi, ni muda mrefu nimejarb sana kuweza kujiunga pamoja nanyi ila sio mgeni sana nilikuw nikpta 2 na kuzisoma post...
Wakuuuu poleni na majukum,Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi halimashauri fulani hapa nnchini.
Wakuuu Mimi nina shahada ya elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamiii(Bachelor Degree in Adult...
Amiri jeshi mkuu mh John Joseph pombe magufuli
Mkuu wa majeshi jenerali mabeho
Wakuu waandamizi Makao mkuu ngome upanga
Wakuu wa kamandi zote
Wapiganaji wetu wote wa ndani na nje
salaam...
Hawa jamaa wanaishi karne ya ngapi sijui. Sijui wamerogwa? Wako rigid. Hawaendani na muda.
Ofisi ya Utawala ni ya hovyo, yafanya kazi kwa mazoea. Ukipata ajira leo, utasota sana hadi uingie...
Mahakama imeingia kwenye kashfa nzito, Inasemekana Jaji Mmoja mmoja mabye pia mke wake ni jaji, walikuwa na kiwanja walichonunua kwa laki 3 huko kinyerezi mwaka 2007 na sasa wakati mahakama ya...
Naandika ujumbe huu nikiwa mwenye masikitiko kutokana na uamuzi wa chuo kikuu dodoma kuhitaji kitambulisho cha taifa,leseni ya udereva au kadi ya mpiga kura ili uchukue cheti.
Binafsi sina hivyo...
Nimekuwa nasema kila siku hapa kwamba mali nyingi zinazopita ufukweni pale hazilipi kifuta jasho kama inavyopaswa,
Magari hayo ya Bwana Edigaran Masako wa ofisi ya makusanyo kifuta Jasho (OMKJ)...
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba kutokana na ujenzi wa miradi mikubwa mikubwa hapa Tanzania na miradi hiyo ikiwa chini ya wachina basi inasadikika jamaa hawa kutoka Asia wameamua kufanya yao ili...
Tarehe 16/03/2019 Waziri mwenye dhamana ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo la Makazi Mhe William Lukuvi alizindua zoezi maalumu ya kutambua Kila kipande Cha Ardhi katika Mkoa wa Dar es salaam na kutoa...
Hii Habari nimekutana nayo Twitter, na mtoa Mada amesema Kama anaongopa basi ATC wakanushe! Chanzo ni kutolipwa pesa yao jamaa wakaamua ku-cancell. Tukiacha mihemko, hili linawezekana kurusha...
Juzi asubuhi wakati nipo maeneo ya Kibamba Chama Jijini Dar,huku watu/abiria wakisubiri daladala kuelekea maeneo mbalimbali ya Jiji kwa mihangaiko yao,baadhi tulikuwa kijiweni kwa shughuli zetu za...
Ndugu watanzania tuishinikize ccm na serikali yake kuanzisha mchakato wa katiba mpya kwa hiari na kwa muda huu ambapo bado kuna kizazi cha waoga!
Ccm na serikali yake wasisubiri uoga uwatoke...
Kama Kichwa kinavyoelewa
Huyu Jamaa Animba nyimbo za injili zamani alikuwa ni rasta
sasa nimesikia kwamba amefariki naombeni habari wenye uhakika
Anaitwa Prince Amosi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.