Pamekuwa na upotoshaji mitandaoni kutokana taarifa zinazoenea juu ya usafirishaji wa Nyama ya mbuzi kutoka mwanza kwenda Dubai kwa ajili ya matumizi ya chakula kwa kutumia ndege ya shirika la...
Kila mwaka nikiwa kilimanjaro nahisi naona wachaga wanaspend zaidi ya miezi mingine. Zamani nilikua najua wanao spend pesa zaidi ji wale waliotoka Dar lakini nimegundua siyo.
Nimetafakari...
Habari za mwaka mpya wanaJF!
Awali ya yote nimpongeze Rais Magufuli kwa uchapakazi wake uliotukuka na kuwa Rais wa Mfano Afrika. Pia Rais wetu amekua mstari wa kupambana na rushwa katika taifa...
Naomba kufahamishwa kanisa lilimfwata mwewe au mwewe alilifwata kanisa au puma alidondokea pale bahati mbaya au kimkakati na je uwanja wa mwewe ni plani ya mchonga ruksa au uwazi wa maisha bora na...
Hivi tundu lisu na magufuli mzalendo wa kweli ninani jamani ?
tendu lisu alitetea watu migodini bureeeeee walioonewa huku serikali ya ccm ikiwepo tena kwa upande onezi leo Hii tundu lisu mnasema...
Kuanzia Léo mpaka mwaka 2020 nitaweka uzi huu bila kutaja jina la mtu ila kila anayejiona ni mzalendo kwa taifa kipimo kiwe ni random 38 billets towards Him !!!
niliowatAJA hapo juu mmejitoa sana katika demokrasia ya nchi yetu majina ni mengi ila mungu atawalipa mema hapa duniani
sheh sharif hamad
Ben rabiu saanane
John mnyika
zitto zuberi kabwe
Freeman...
Katika sehemu ya hotuba yake, Rais Magufuli alisema kuwa, utaratibu wa zamani kabla ya mifuko kuunganishwa uendelee kutumika mpaka 2023.
Je, hii ina maana kwamba hata lile fao la kujitoa ni...
Idara ya Uhamiaji Tanzania ambayo hivi karibuni ilizindua huduma ya Maombi ya Viza kwa wageni kupitia mtandaoni, Leo imetoa taarifa kwa Umma ambayo inasisitiza watumiaji wa huduma hiyo kuomba Viza...
Jamani niseme ukweli siku ile ndege ya airbus ilivyotua jkna huku serikali nzima ikikata viuno eti kuimbia ndege lilikuwa ni jambo la fedheha na aibu kubwa mno kwa taifa
eti wanaimba ndege...
Mheshimiwa tank akirudi bongo vyombo vyote vikubwa vya habari duniani CNN BBC sky news Bloomberg aljahezeera nk vitakuwa vinaimulika tz mpk siku ya uchaguzi wa 2020 karibu lisu karibu tena nyumbani
Nikiri wazi kwamba wapo waganga wanao Fanya tendo la.ndoa na wateja wao kwa sababu ya tamaa tu na wapo ambao ni mwiko kabisa kufanya tendo la ndoa na wateja wao kwa sababu MTU akisha kuwa mteja...
UPDATES: Kijana Aliyejiua Mwanza Alikuwa na Pesa, Alizidiwa na Stress*
Na Blogu ya Jamii, Mwanza
Saa chache baada ya kijana aliyejiua Mwanza, marafiki wa karibu wameshangazwa na polisi Mwanza...
Habari zenu wanajamii forum,nimepata safari ya ghafla kesho nataraji kwenda morogoro ila itanibidi nilala kwa usiku mmoja,Bajeti yangu ni kuanzia elfu 15 mwisho kabisa 20,iliyopo maeneo karibu na...
Lile sakata la BASATA kumfungia Dimond & kundi lake la WASAFI kufanya maonyesho ndani na nje ya nchi "kwa muda usiofahamika" imegundulika kuwa ni "sinema" ingine ya kihindi iliyotengenezwa...
ROHO wa ajali ashindwe na pepo mchafu aenezae hofu kipindi cha mwisho wa mwaka ambapo ajali nyingi hutokea naye alegee; Mungu ajalie taifa letu kufunga mwaka salama. Wakati tunaelekea kumaliza...
Watutsi walivyo fika Rwanda walikaribishwa na wahutu na watwaa na wote kwa pamoja waliishi kwa upendo mkubwa sana.
Wahutu waliwakaribisha watutsi kwa sababu watutsi walisifika kwa kuwa na uwezo...
Sio kila mmoja hufurahia kula peke yake, Baadhi ya watu hawapendelei kula peke yao huku wengine wakihofia huenda wakijihisi upweke kiasi cha kupoteza hamu ya kula chakula.
Uchunguzi mdogo...
Mh Lukuvi mimi nakuomba sana utumie watu wako kufuwatilia shauri la kiwanja cha marehem Poul Yona Kira Vs Kirumbi ili haki itendeke.
Kiukweli kabisa mkuu haki ya familia inataka kupeperushwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.