BREAKING NEWS
NYUMBA YA MALISSA GJ IMEVAMIWA MUDA HUU NA WATU WASIOJULIKANA.
Wako hapo mpk muda huu wakilazimisha milango ifunguliwe hili waingie ndani
Msaada tafadhali
_______
Update
Habari...
Kuna kanisa moja nilihudhuria ibada yao wanakuambia kuna sadaka ya kujimaliza yaani utoe hela zote ulizonazo ili uweze kugusa moyo wa Mungu huku wewe ukirudi home kwa mguu/ kupata muujiza wa...
Katika kile ambacho kinazungumziwa na "Wanasheria" sasa wazungu kuletwa Kulinda mali na wafanyakazi(wazungu) wa Accacia
Kwa udadisi mfupi niliyofanya baada ya Accacia kutoa matamshi haya, "We...
Watanzania wenzangu,
Nimefurahishwa na wazo lililotolewa Bukoba kuwa, itaanzishwa shule maalum ili kumuenzi Ruge Mutahaba. Tangu alipopumzishwa ndugu yetu Ruge Mutahaba, watu wengi wametoa...
We mwanadamu jaribu kujiuliza
Ungekuwa Mungu ni nani ungemsiikiza?
Polisi wa doria au kibaka ndani ya giza?
Je ni nani angepokea miujiza?
Mlevi wa gongo au mama anayeuza?
Yote tisa ungemponya...
Habarini wadau
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwa utafiti nilioufanya ndani ya takribani miaka kumi kwenye maeneo tofauti tofauti niliyopita, kutembelea na baadhi vya sehemu ya watu wa...
Naomba ufafanuzi kwa wajuvi tafadhali;
Nasikia tetesi kwamba ukiwa na pesa ndefu kwenye Akaunti au Akaunti ikitumiwa (ikiingiziwa)au kupokea pesa ndefu mathalani kuanzia 15milion nakuendelea...
Nimetafakari Sana namna ccm inavyohujumu upinzani inavyowafanya wapinzani kuwatesa kuwabambikia kesi kuwauwa nk
Natoa rai siku mkishika madaraka upinzani muwapimie ccm kipimo kilekile...
Wadau habari,
Moja kwa moja kwenye maada, serikali mara kwa mara imekua ikiongelea kuhusu ujenzi wa bomba la mafuta kutoka nchini Uganda, lakin mpaka sasa hivi haijulikani kama washaanza kazi ya...
Wadau nimekaa na kupitia trends nyingi zinazoitia sintofaham taswira ya rais wetu nimegundua kwamba akikaa kimya anapendwa zaidi akiongea anatibua naomba wanaompangia ratiba ya matukio ya public...
Naomba kujua
1.Safe za hela zinafananaje picha plz
2.Ramani za mabenki zinafanana Kama zinavyofanana zahanati za afya na nyumba za walimu
3.mbona bank manager hajifichi anaonekana wazi
4.Sare...
Nina ushahidi wa nje na ndani kwamba maofisa wa idara hizi wakimaliza utumishi wao WA umma japo huwa hawastahafu wakimaliza utumishi wao kwenye idara wanaajiriwa kwa mikataba na mashirika ya...
Kuna prof mmoja wa Kenya wengi mnamjua kwa mbwembwe za kingereza chake
Huyu jamaa mwanzoni alijizolea sifa nyingi Sana Tanzania kwa namna anavyoongea kingereza chake na ile intonation yake...
Rejeeni mada tajwa hapo juu.Wiki iliyokwisha nilimsikia afisa usalama mmoja wa barabarani akidai kuwa sasa wanakuja na operation tajwa hapo juu.
Swali langu kwa wadau je, operation hiyo...
Comrades kwann uzi unaomuhusu bernad membe na zito kabwe ambao umo humu umefungwa una nini cha ajabu mpk wameupiga pini
Ukiuklik yanakuja Yale maneno ya kuudhi zaidi jf ooooooooops...
Bila kupoteza muda mh rais shirika la bima la taifa linatapeli wananchi kwa makusudi
Soma mfano huu!
Wanakuja wanakuambia weka bima ya elimu na hata wanadiriki kusema Kama unataka kufunga ndoa...
ndugu wana jf Mimi binafsi siamini hata kidogo tathmini ya ccm na serikali yake eti kwa miaka mitatu ya jpm viwanda 3000+ vimejengwa yani uhesabu moja mpk elfu tatu ni maviwanda tu Hapana hili...
ndugu wana jf wanasiasa wetu wanatuambia kwamba kwa kipindi cha miaka mitatu toka awamu ya tano imeingia madarakani viwanda 3000+ vimejengwa
Naomba tutumie uzi huu kuvitaja popote ulipo hata...
Naomba kufahamishwa vituo vya luninga radio na magazeti yanayomilikiwa na ccm na serikali je yana/yametangaza ushindi wa Felix tshisekedi kwamaana nyingine je wametangaza juu ya ushindi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.