Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

December 12, 2018 markets By Fred Ojambo December 10, 2018 Tanzania expects to harvest the most coffee in six years as better weather and a high crop cycle boosts output in Africa’s fourth-largest...
0 Reactions
0 Replies
381 Views
018 by Global Publishers Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jonathan Shanna ameeleza juu ya tukio la kupotea kwa Mkuu wa Chuo cha Nyakato Islamic Institute kilichopo chini ya Taasisi ya Elimu ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
December 12, 2018 by Global Publishers WATU wawili wamefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa huku sita kati yao wakiwa na hali mbaya baada ya basi la Royal Classic waliokuwa wakisafiria, kuacha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UKISIKIA aibu, fedheha na dhihaka subiri ufumaniwe! Usiombe tukio hilo likutokee, endelea kusikia stori kwa watu. Lakini maumivu zaidi ni pale utakapogundua kuwa kufumaniwa kwako ni mchezo...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Published on: Monday, December 10th 2018 By Special Correspondent – THE Government of Tanzania has confirmed that access to essential drugs has currently been strengthened, explaining that vital...
0 Reactions
0 Replies
421 Views
Nina cha kuandika ila nashindwa ... Sijui kama ndoto huwa inadanganya
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimebahatika kuitwa kwenye interview utumishi kwa kada ya procurement na hii ndio interview yangu ya kwanza utumishi naomba kupata uzoefu kwa watu wa kada ya ugavi waliobahatika kupita kwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau Memb wa 2020 hayupo nchini, je yupo nje kwenye mazishi ya baba yake Bush au kaenda nje kukutana na wanadiplomasia wenzake?
6 Reactions
30 Replies
6K Views
Jamani hizi conspiracy theories juu ya rais buhari wa Nigeria ni kweli na vipi kuhusu huyo RAIA wa Sudan anayehusishwa nae wajuvi wa mambo njooni !!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Namna bora ya kusafisha image ya gvt kimataifa ni kutengeneza wakosoaji feki watakaoisema sana serikali lakini wasiguswe waachwe waseemeee weeeee na wala serikali wasijibizane nao hii itafanya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nawashauri ccm wabadili rangi zao za njano na kijani ili waanze kupendwa nawashauri watumie blue na nyekundu au blue na nyeupe au blue na njano asanteni fanyeni hivyo mtaniambia kijani na njano...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii kitu imekaa vizuri saana...maisha yenyewe yalivyo mafupi arafu mtu anasema "HAPA KAZI TU".....lets' go for 2020 nimeipenda saana hii kauli
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Nasikia Mbeya Mnafunga Barabara Mida hii Wafanyabiasha Wadogo ( Wamachinga) Mitaa ya Mwanjelwa Mbeya Tunaomba tujuzeni Maana wengine Tupo Mbali ila Biashara zetu zipo Huko
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni dhahiri kuwa nchi yetu inahitaji kitu kipya. Inahutaji mtu msikivu mcha Mungu na kijana. Mwenye kujua dini na sio kuigiza. Haye twende na January 2020
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Niende kwenye mada watumishi wa umma na wafanyakazi na vyama vyenu vya cwt tughe tuico nk huwa mnakata sana viuno mkiimba kwaya kubembeleza muongezewe hela yani mmekuwa kama mazuzu nawauliza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanafunzi wa shule ya secondary LUSAHUNGA wilayani Biharamulo hufukuzwa kwenye kipindi cha sayansi na kupewa adhabu ya kuponda kokoto ndoo 3, kwa kosa la kutolipa mchango wa walimu wa ziada shs...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa moyo mweupeeeee nawashauri watani zangu ccm adui yenu namba moja ni washauri wa jpm kaeni chunguzeni (naamini mnajua) master mind wa kila alifanyalo jpm anashauriwa na nani? Mkishamjua basi...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu najua mmepata taarifa juu ya kuhailishwa tamasha la fiesta basi zifuatazo ni taarifa zilizo chini ya kapeti kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi was clouds media taarifa nilizo zipata kutoka kwa...
8 Reactions
176 Replies
21K Views
Tutaje majina tu bila kuweka maneno mengine najua watasoma hata kama watachukia lakini ujumbe utakuwa umewafikia watawala......Anaweza akawa kiongozi yoyote wa serikali unayemfahamu....anaweza...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nasikia kuna huu mradi wa bomba la mafuta from Dar to Mwanza, umefikia wapi? Na nini hatma ya wamiliki wa fuel tankers? Pia bei yake kwa Mwanza itashuka kwa lita? Nadhani watalisogeza hadi Uganda...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom