Watu wengi wanapenda sana kuelezea matukio kwa kuwanyoshea vidole wengine , Je haiwezi kutokea kuwa Familia ikawa imelipa Ramson kimyakimya kadiri watekaji walivyotaka ili ndugu yao aachiwe huru...
Huyu mdudu anayeitwa bima ya taifa NIC ni tapeli anamsumbua mama yangu
alishamaliza kuchangia bado wanamkata
Bima yake imeiva hawataki kumpa hela yake wanamzungusha huu mwezi wa sita...
Habari ambazo zimenifikia mimi Hivi Punde kutoka kwa Mnyetishaji wangu ndani ya CHADEMA ni kwamba, Mh John Mnyika , Mbunge wa Kibamba ( CHADEMA ) ataongea na waandishi wa habari wakati wowote...
Wamachinga mjini Babati wamemuomba Mheshiwa Rais Magufuli kuwasaidia wafanye biashara zao kwa uhuru baada ya kudai kuwa wananyanyasika kwa kufukuzwa katika maeneo yao ya biashara huku wakirejea...
Nasikia watumishi wa umma wilayani Chato wamekatazwa kutumia simu wakiwa kazini.
Utaruhusiwa kutumia simu tu baada ya saa 9:30 alasiri muda wa kutoka ofisini.
Marufuku hiyo nasikia imetolewa na...
Ndugu zangu katika pitapita yangu huku mitandaoni, nimekutana na hadithi hii kwenye page ya TV fulani ikionyesha wanaume wa kenya wakivaa nguo za kike kwa kisingizio cha kuunga mkono kutokomeza...
kuna shule kadhaa zimetajwa kuhusika na wizi wa mitihani ya darasa la saba. nashukuru kwa hilo kufahamika maana hii tanzania ya sasa tumekuwa na matatizo makubwa sana kiasi kwamba tume enda...
Hv jamani kwa wale wahenga ni kweli nyerere hakuwahi.kupata majanga ya kupinduka kwa meli,vivuko kama marais wengine wote??yani kwamba nyerere pekee pamoja na kuongoza mda mlefu lakini hakupata...
Wadau follow the link
Matokeo ya usaili wa mchujo uliofanyika tarehe 21 & 22 Sept, 2018
Naona wengi tumepata experience ya interview YA interview yaani watu 600 wanaitwa 10.
Kuna tetesi kuwa idadi ya wawekezaji wapya kupitia kituo cha Uwekezaji, TIC imepungua sana ndani ya miaka miwili iliyopita.
Waekezaji wengi, inaelezwa, wanachungulia hali na kuahidi kurudi...
Wana JF
Habari za jioni, nimekutana na huu mkasa huko mitandao ya kijamii, kwenye post mojawapo za Jerry Muro, mtanzania mmoja amedai ya kuwa tukio hilo lilitokea huko Arusha ambapo, Kondakta wa...
Wasalaaam
Kama kichwa kinavyoeleza
Ninii sababu ya maeneo mengi ya makaburi kuwa na historia ya kutokea vitimbi vya hapa na pale
Natamani niwatagg majuvi lkini kwa bahati mbaya sijui kitagg...
Kama kichwa kinavyojieleza,
nimeambiwa na mkuu wangu wa idara kuwa watumishi wote wanaoishi kwenye nyumba za umma watalipa tsh 10000 kila mwezi. Malipo hayo yatakatwa moja kwa moja kwenye mshahara.
Kuna Gari ya matangazo inapita kutahadharisha Raia Juu ya kuchukua Tahadhari kwa wananchi wanaoishi karibu na fukwe za coco beach waondoke kwani bahari inaweza kuchafuka muda wowowte.
Nimejaribu...
Maafisa wa polisi wamewakamata watu sita kuhusiana na ubakaji wa kikundi na mauaji ya msichana wa miaka tisa nchini India katika jimbo la Kashmir.
Maafisa wanasema kuwa mama wa kambo wa msichana...
Habari wakuu,kuna kipindi hii kitu inayoitwa bitclub ilikuwa ikivuma sana humu ya kuwa ukinunua kifurushi aina flani utakuwa unapata package flan kwa mwezi.
Kuna watu walikuwa wanatamba humu...
Wengi hawajui kwanini Iddi Amini aliitwa Iddi Amin Dada.
Alipokuwa jeshini alikuwa anabadilisha wanawake kama nguo.
Kila mwanamke alipokuwa akimtembelea Iddi Amini aliwaambia wanajeshi wenzake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.