Msemaji wa mufti amesema ahadi iliyotolewa na waziri wa masuala ya dini wa Saudia Arabia kujenga chuo kikuu kipya cha kiislam nchini Tanzania ni mwendelezo na matokeo ya ziara ya mufti nchini...
Siandiki kwa Ushabiki Bali kwa uchungu! Mafuta ya kupikia yameshakua dili. Waliyonayo wameyafungia, naomba serikali ya CCM isiwakamate lakini iwabembeleze wayauze. Wanaouza wanauza kwa bei ya...
Wakuu habari
Habari za kuaminika za kutoka chanzo changu ninachokiamini kabisa zinanitaarifu niwaambie wale wanaotaka kusafiri siku hizi za karibuni wajiandae haswa
Madereva wote wa mabus wa...
Habari toka kwa watu wa karibu wenye ufahamu na suala hili, wanasema kuwa aliyekuwa Askari Polisi na kutiwa hatiani kwa mauaji ya Mwandishi wa Habari Daudi Mwangosi, amekata rufaa na rufaa yake...
Kuna mzee ananipa taarifa hapa kwamba kuna mama na mwanawe wamedondokewa na waya mkubwa wa umeme mtaa wa Uhuru Kariakoo, mtoto amepona; kwa aliyeshuhudia tukio tunaomba taarifa zaidi.
Jambazi kuu LA turiani wadidi inasemekana limeachiwa huru ni hatari kwa usalama uhalifu unaanza tena
Sababu za kuachiwa ni zipi wakati ni Jambazi linalojulikana
Habari za jioni waungwana. Nasikia kuna mgogoro unaendelea katika kanisa tajwa hapo juu.
Samahani naomba anaeweza kuwa anafahamu uzuri anielekeze kwa lengo la ufahamu tu.
kumetokea sintofahamu juu ya nani hasa wanapaswa kwenda shule ya msingi kwa waalimu wa sekondari hasa baada ya serikali kutoa tamko jingine jana bungeni kuwa watakaoenda huko ni wale ambao...
Kwa mfano mtu ukawa umejitahidi ukajenga nyumba yake ikafika hadi tofali la mwishoni akakosa hela y'a kumalizia huku unaishi nyumba ya kupanga ukaenda kuchomoa hela mahali ya mkopo ukamalizia kwa...
Saaafi kabisaa naamini watalii watakuja kuona alipotokea binadamu wa kwanza sasa sijui ni Adam au!! Naimani Edeni ilikuwa ndani yaTanzania. Ahsante Maliasili kwa utafiti huu.
Utafiti waondoa...
Hakika tulikosea kama taifa tuna nafasi ya kujisahihisha na kutorudia kosa kubwa hivi kuna mambo ya kukosea na yasilete IMPACT kubwa inayoumiza jamii sio hili beber shall this bê repeated again...
Naomba maelekezo ya namna ya kuwa mzalendo kwenye makato ya adhabu 7% juu ya ile 8%
Naomba mnifundishe hapa nakuwaje mzalendo kwasasa Napokea mshahara 176000 mnanikata 143000 naomba mnifundishe...
Wasalaam....
Nimekaa na kutafakari Kwa Kina
Hivi Ni Kweli Chanzo cha vita n kagera tu
Mimi naona kuna cha ziada zaidi ya kagera japo wengi wenu mnaweza msinielewe
Ipo hivi Tz ilikuwa katika...
*MPANGO MCHAFU WA MANGE KIMAMBI NA FREEMAN MBOWE WAVUJA!!!!!!!!*
• Wakutana Marekani kujadili mipango ya kuivuruga Tanzania
• Watanzania waishio Marekani watahadharisha.
Na Julius Bernard...
Ndugu zangu, niaandika habari hii kwa uchungu nikiomba, kwa yeyeote atakayeisoma, afikishe habari hizi kwa wahusika ili hatua za haraka za uokozi zichukuliwe.
Kuna habari kwamba barabara...
Wengi tunajua tunavyoumia pale tunapoagiza magari hususani kupitia bandari ya dare es sallam ilivyo ghali na kodi kubwa
Lakini inasemekana kuna nchi jirani ambao kwao ni neema tu kwani wakati...
Nimeona kwenye insta,Maulid kitenge,akiwa anasoma magazeti,huku akiwa ndani ya chumba kinachoonesha ni studio ya VOA,je ni kweli kahamia huko,mwenye taarifa atujuze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.