Mwishoni mwa miaka ya tisini,mwanzoni mwa miaka ya 2000 hadi around mwaka 2014/15 maeneo ya Ubungo kuna kundi la watoto wa kihuni lililojulikana kama "Matembo".Kundi hili lilijumuisha watoto wa...
Wateja wa continental poleni
Inasemekana continental imekufa na kushindwa kujiendesha kwa sababu ya kukosa wateja,fedha, na kudaiwa kodi na TRA
Mfano, inasemekana kwamba wamekosa mpaka pesa ya...
Sikutaka kuamini kwakuwa nilikuwa bado sijazaliwa...
But nikataka kujifunza na kujua zaidi kutoka kwenu mana najua zipo pipo ambazo humu JF zilikuwa zimeshaliona jua, labda wao wanaweza...
Za jioni wadau, kuna habari nimeipata kutoka kwa mdau alieko nchini Kenya ikitahadharisha kuhusu uwezekano wa mlipuko wa volcano katika mlima Kilimanjaro na inadai moshi unaonekana kutoka kwenye...
Wadau, Katika Hali ya kutaka kuinusuru kampuni ya Africa Media Group ambayo ipo hoi kiuchumi. Mmiliki wa Azamtv na makampuni ya SSB, Salim Bakhera ameanza rasmi mazungumzo mazito na mmiliki wa...
Huyu Dingi Yao Kama anajua Anapendwa Kwanini Anakataa Kuendeleza katiba Mpya ya Warioba...!! Kwanini CCM na Genge Lao Ukiwaambia kuhusu katiba Mpya wanatukana matusi na kutamani kukuua kabisa...
Wadau hali ya kiuchumi kwa makampuni binafsi ni tete sana. Taarifa za kuaminika kutoka Channel Ten zinadai kuwa Hali ya kampuni hiyo ni mbaya na wafanyakazi wamekaa miezi miwili sasa bila...
Rais wa Marekani amewafukuza wanadiplomasia 60 wa Russia waliopo nchini humo na Rais wa baraza la Ulaya Donald Tusk amesema wanachama 14 wa umoja wa Ulaya utawafukuza wanadiplomasia wa Russia kwa...
Habari Wakuu.
Kama ilivyosikika na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya tukio la kuvamiwa na kuchomwa moto kwa kituo cha polisi na baadhi ya vibanda vya biashara na nyumba za askari huko...
Wanabodi,
Shirika la Bima la Taifa limewafukuza bila hata kuwapa notice wapangaji wake huko Masaki na Mikocheni siku ya Alhamisi wiki hii.
Tukio hili lilitokea siku ya Alhamisi mchana kuanzia...
Zilizopo chini ya uvungu zinapenyeza kuwa,vijana tajwa hapo juu wataula Muda siyo mrefu huku lengo kuu likiwa ni kujionesha kuwa CCM ina uwezo wa kumwamini mtu yeyote yule na kumpa nyazifa kubwa...
Juzi wafanyabiashara jijini Mwanza wamelalamika kwamba biashara zinafungwa kwa sababu makadirio ya kodi ni makubwa kuzidi uhalisia.
Leo nilikuwa Kariakoo, nimewasikia wafanyabiashara fulani...
Jamani kuna tetesi nimezipata toka kwa rafiki yangu aliyeko jijini Mwanza kwamba kuna wimbi la utekaji wa watu. Nasema ni tetesi na sijajua vyema kama kuna ukweli au la.
Ila nilisikia Clouds kama...
Semi la bia limeanguka maeneo ya Ruaha Iyovi. Wanabeba bia kwa makreti na viroba kwa bodaboda na miguu. wengine wamelewa wapo hoi wanayumbayumba tu. polisi wamefika na gari ndogo nao naona...
Marekani ufurahi umekuza, na wanataka kujitegemea,,,,
Kaa subiri Shukrani, usiwaze vikwazo
Eti kuzuia mitumba ni kuzuia biashara huria? Wamemsaidia vya kutosha kumlisha, sasa eti wanataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.