Salam wakuu.
Ikitokea mtu akahukumiwa kwa kosa la mauaji, hukumu ya miaka 30 jela. Na akatumikia yote. Siku anatoka jela ghafla akamuona mtu aliye tuhumiwa kuwa aliimuua, akapata hasira na...
Amani ya bwana iwe pamoja nanyi,
Mwaka 2014 kuna huu mradi ulianzishwa wenye thamani zaidi ya Tsh Bilioni mbili (2 bil. Tsh), ambao ulilenga kumuwezesha mwanamke wa kitanzania katika elimu, afya...
Majira ya saa 11.45 jioni ya leo, mfanyakazi mmoja wa TRA amewasilisha barua katika ofisi ya mapokezi ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), lililoko barabara ya Sam Nujoma...
kuna video clip mbili nimezitazama katika mtandao wa instagram zikionyesha hali halisi juu kile kinachoendelea hivi sasa katika nchi ya jamhuri ya watu wa congo(DRC) na kuihusisha tanzania...
Kwa mujibu wa habari ya Idhaa ya Kiswahili DW ya saa 7 mchana huu, inadaiwa kiongozi wa Muungano wa NASA, Raila Odinga eti yupo Tanzania kwa likizo fupi....
Raila alijiapisha siku ya jana kuwa...
Kumekuwa na tetesi toka mwaka jana kwamba kiwanda kufungwa kufuatia kiwanda kujiendesha kwa hasara, sasa jana MD kutoka Panasonic japan kawatangazia wafanyakazi rasmi kuwa tarehe 9/2/2018 kiwanda...
Inasemekana kwamba kule uwanja wa mapilau watu wamekuta sembe ufipa wakazima mitambo wakazira kutuma picha kifupi kumebuma..
Wana kino wameamua ccm hoyeee
Diwani wa kata ya Kyimo na mkuu wa shule ya Sekondari Kyimo wamefanya mkutano leo tarehe 23/01/2018 na wazazi wenye wanafunzi hapo shuleni wakilazimisha kuchangia TZS. 70,000/= kwa ajili ya...
baada ya kutafakari kwa muda nimeamua kufanya maamuzi ya kutaka kujiunga forex
wakuu ni vitu gani napaswa kuandaa na kulipia hadi niwe mwanachama
Pia je itamfaa mtu anaesafiri mara kwa mara?
Baadhi yetu huweka akiba zetu kwenye mitandao ya simu sasa huo ugonvi wenu na serikali utaisha lini?maana mko kimya tu mwisho siku ikala kwetu ikizingatia wengine2 hugeuza laini simu vibubu
Mwezi ujao kuna mpango wa serikali kulipa madeni ya watumishi na wazabuni, je madeni yanayohusiana na mishahara kama arrears yatalipwa?? Mwenye taarifa atujuze.!
Baada ya kuzidiwa na mwenzake katika Ugombeaji wa ' almasi ' kubwa ya Mtaa wa Kariakoo sasa Tajiri wa Mbagala inasemekana ameingia katika ' bifu ' kali na zito la Kibiashara na Tajiri mwenzake...
Kwamba maeneo ya chango'mbe dar es salaam wale wanaume wa dar wnaoendana na fashooon za kina lil uzi,21 savage,wiz khalifa za kuvaa visurual vya kubana yaani vimodo na kunyoa viduku wamepokea...
Ili kuifanya inchi iweze kutawalika kwa urahisi, kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu, nibora ingepitishwa sheria kuwa elimu ya juu kabisa anayotakiwa kuwa nayo mtz ni ya Awali. Kwani sasa watu ni...
*KUANZIA KESHO 15/01/2018 Ni marufuku kutupa takataka za aina yoyote ile barabarani na sehemu yoyote ile isiyo maalumu. Ukikamatwa fine ya sh 100,000/= inakuhusu na wale abiria wanaorusha...
Wakuu embu nihabarisheni kwa uelewa wangu
Nimesikia from clouds media. Kuwa Bodi ya
Bima ya Amana itawalipa Wateja kiasi cha juu
1.5m bila kujali mteja alikuwa na kiasi gani .
Wenye kiwango...
Sallaam wadau!
Inasemekana serikali
Imetoa pesa za vijana, akina mama na wazee kupitia Saccos zinazotambulika, zikiwemo zile zinadhodhaminiwa kwa mwanvuli wa serikali. Kwa mujibu wa afsa mikopo...
Jamani eeeeee hatareeeeeee...
Hizi ni zakunyapia nyapia kumbe makanisa ya kiroho yawatu binafsi aka mali za watumishi kumbe sadaka hazikai bank nakile tunakiona bank nikidunchu yakile wanacho kwa...
Hali si shwari ndani ya Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) na sasa kundi la viongozi ndani ya baraza hilo wanakula njama za kumuondoa kiongozi wao makini Mufti Zubeir.
Hali hiyo inakuja huku zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.