Kuna mpango mkakati ulioundwa na Team ya Makonda kwa ajili ya kuidhibiti timu ya Fiesta katika mkoa wa Dar es salaam. Makonda na wenzake wana mkakati juu ya mpango wa kuharibu show ya Fiesta...
Every time when I take a look at my crystal-ball, namuona Slow-Slow, kada mfia chama akihamia CHADEMA, na namuona akisema.........'kule CCM ni genge la wachumia tumbo. Watu wasiojali sauti za...
Hivi huu mchezo wachezaji wake ni matajiri sna? Kwa sababu wanapopewa taarifa ya kushinda huo wapo kawaida sna, yaani mtu ameambiwa umeshinda 20m anasema asante basi hakuna shamrashamra yoyote...
Kampuni ya acacia north Mara gold mine, imetangaza kuwafuta kazi walinzi wa kampuni mama na kukodisha shughul za ulinzi kwa kampuni ya ulinzi ya G4S, kesi imechukua muda mrefu na inaonekana kuna...
Nasikia leo team ya Clouds FM kama ilivyo kawaida yao ya kwenda ofisi za Wakuu wa Mikoa kukaribisha Msimu wao wa Tigo Fiesta so baada ya kufika kwa Makonda wakakuta waandishi wengine wanasubiri...
Mkuu wa JKT Naandika nalia,kwa nn yatima Justine mwenye 28 amekosa nafasi?
Kiukweli jkt itabeba ndgu fulani,sio ajira kwa nn mmewaacha vijana tena kwa rushwa ya nduguruziotion?
Kuna tetesi nmezipata mahali ingawa sijathibitisha kama ni kweli. Jumomosi nilikuwa nmekaa na mchumi mmoja mahali fulani(jina la sehemu na mhusika nahifadhi).
Inasemekana bwana mkubwa amepanga...
Wanabodi..!
Kuna uvumi unaendelea mtaani juu ya hizi taasisi mbili kuu za uma zinazojishughulisha na masuala ya uendelezaji wa milki hapa nchini Tanzania kuweza kuunganishwa na kuwa taasisi...
Huko Karagwe Kijiji cha Ommageyo kijana mmoja aitwaye Jackob Anacret amemuua jirani yake anayeitwa Beitwa kwa kumchoma kisu!! Inasemekana ugomvi ulianza wakati marehemu alipohisiwa kutaka...
Kama nilivyoandika uzi mwezi May 2017 "Msoto mwingine kwa watumishi waja" ndani yake nikaelezea kuwa watu wasitarajie ongezeko la mshahara mwezi Julai 2017 walionielewa walielewa.
Sasa nawaambia...
Wakuu
Kuna mdau mmoja ndani ya mwananchi communication Ltd (MCL) kanidokezea gazeti la Mwananchi nalo lipo hatarini kufungiwa
Ngoja tusubiri ukizingatia Jana wametoa habari ya kuongezeka kwa...
MAPAMBANO ya serikali dhidi ya rushwa, yametajwa kuipaisha Tanzania mbele ya wafanyabiashara na wawekezaji wa nje wakiwamo wa Ujerumani, ambao baadhi wameonesha nia ya kuwekeza katika madini...
Jana jioni kwenye kivuko cha Meli ya Nyehunge, Nansio, askari police Traffic walikuwa kama watatu wakiangalia magari yakiingia na kutoka kwenye kivuko. Cha kushangaza ikaja gari kubwa ya mizigo...
Habari za jioni wadau, kunatetesi kuwa Mkataba kati ya Maxcom Afrika (Maxmalipo) na Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama barabarani umekwisha na hawajaongezewa muda tena. Tetesi hizo zipo baada ya...
Jamani hali ya uchumi ni tete sana.
Naona serikali inakopa kila kukicha kulipa mishahara. Deni la taifa linazidi kupanda kila kukicha.
Wastaafu na viongozi wa serikali wengine hawajapata haki zao...
Kwanza hongereni sana kwa kufanikiwa kuendelea na harakati zako za maisha ya kielimu.. Ni ukweli usipingika kwamba mwaka huu wengi mtachaguliwa vyuo vikuu ambavyo nyinyi wenyewe mnavitaka na hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.