Wadau,mimi ni mdau wa mambo ya Utafiti na nimekuwa nashirikiana kwa ukaribu na Taasisi mojawapo inayopewa fedha za Utafiti na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia(COSTECH) Kijitonyama Dar es...
HabariHospitali kubwa na ya Kisasa ya chuo kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MAMC) kufunguliwa na rais DK Magufuli mwezi ujao.Hospitali hii ipo Kibamba, Mloganzila, jijini Dar Es...
Mjumbe wa kamati kuu ya CCM na wakili wa kujitegemea Jonas Nkya afunguliwa RB TAN/RB5114/2017 kwa kosa la Wizi wa kuaminika wa gari aina ya Lexus Harrier lenye namba ya usajili T404 BBP...
Wadau poleni na kazi ya kukabiliana na hali zenu.
Kuna tetesi kwamba NSSF wamefanya kikao jana tarehe 11/09/2017 na wafanyakazi wa Bulyankhulu Gold mine ambao wapo kwenye list ya redundancy na...
Habari Wakuu
Nimekua nikifatilia kuhusu hili jambo kwa karibu wiki sasa na nimeadhimia kujiunga kupitia bank ya Equity kesho,Lakini kiukweli moja ya vitu vilivyonitisha ni kuwa Posta zetu ni wezi...
Kuna tetesi zimezagaa mtaani kuwa wakurugenzi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite inayoitwa Sky Associates wako mikononi mwa polisi.
Ndugu Faisal shabhati na ndugu Hussein Gonga...
Kuna tuhuma ya wizi wa pesa za miradi za Unicef 41 mln zimeliwa ktk mazingira ya kutatanisha na kumekuwa na danadana za nani kala pesa hizo ukweli ukiwa DED na DT ndiyo wahusika wakuu.
Mkuu wa...
Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa amebadili taswira ya Uongozi wake. Freeman Mbowe ameamua kuacha kukisaidia Chama chake kukua na kushamiri badala yake anakusudia kulivunja Taifa...
Kosa moja ambalo lingeweza kupoteza mwelekeo wa mazungumzo yanayoendelea hivi sasa dhidi ya accasia na Tanzania lilikuwa lifanyike, lkn Magufuli kwa kasi ya ajabu akajifuta.
Wazungu pamoja na...
Kampuni ya utengenezaji wa magari ya Ashok Leyland India, imepokea oda ya thamani ya USD 170 milloin kwa ajili ya usumbazaji wa magari na spea toka kwa serikali ya Tanzania. Pamoja na usumbazaji...
Kichwa hapo juu kinahusika.
kuna uwezekano Mkubwa Sana Wa Manji kuibuka na fedha nyingi Sana baada y'a kuibuka mshindi ktk lundo la Kesi zisizo na mashiko alizolundikiwa na serikali hii ya...
Jaman hii ni kwa watumidhi wale wrnye uelewa na hili jambo tu. Kama huelewi naomba ukae kimya.
Juz nilifika ktk ofisi za halmashauri ninayofanyia kazi na kuuliza iwapo nitapata salary slip zangu...
Jaman wakuu naombeni ushauri ni mtandao upi upo vizuri kwenye swala la internet na vifurushi vyao maana nimeombwa ushauri nami nikajikuta nang'aa macho tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadudu hatari kwenye sura ya nyani/ mbwa wawatia hofu wakazi wa Geita kutokula mboga za majani. Wadudu hao maarufu kama DUDU MTU wametapakaa kwenye mboga za majani na Matunda, inasemekana kuna...
Sheria ya kurudia kidato cha nne iko vipi kwa sasa .. ni kuanzia masomo mangapi mtu anaweza rudia tena paper ya kidato cha nne?
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika kile kinachoonekana mwendelezo wa wiki ya vituko, kiki na ukiukwaji wa misingi ya utawala wa sheria, Mkuu wa Wilaya ya Nkasi bw. Said Mtanda jana 12.08.2017 aliamuru wanajeshi wa JKT kikosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.