Kama kichwa kinavyojieleza,
Naomba kuwasilisha nilichosoma kwenye gazeti la nipashe ijumaa ya kwamba serikali imepitisha mpango huo mnamo April 2017.
Maswali.
1. Je kuna mantiki gani kufanya...
Mimi toka Muungwana blog nimeona hii.
MWANASOKA bora wa dunia, Cristiano Ronaldo ameamua kuondoka Real Madrid baada ya kuwaambia wachezaji wenzake wa timu ya taifa ya Ureno nia yake, kwa mujibu...
Wana wa jf heshima iwe kwenu.
Nimeamua kuuleta uzi huu kwenu ili kutufumbua macho kutoka ktk biashara hii ninayoiita mimi ni ya kufikirika ya MALI WALIZOFICHA WAJERUMANI.
Kwa kipindi kirefu...
Security manager wa mgodi wa North Mara gold mine ambao upo chini ya ACACIA amefungua kampuni yake ya walinzi kutoka nje ya nchi wazungu Hawa ni walinzi mgodini hapa hawana kibali cha kufanya kazi...
Kama kweli watanzania wanaumia na wizi huu wa mali za umma tuanze shinikizo la haya yafuatayo!.
1.Tuilazimishe serikali itake isitake Rasimu ya Warioba irejeshwe na kupitishwa ili kuondoa kinga...
kuna Taarifa ambazo tunazifwatilia kuwa siku ya Kesho Mikoa ya kanda ya kaskazini hasa Arusha Kuna uwezekano mkubwa sana Magari yaendeyo mkoani Kilimanjaro kuzuiliwa kwa kigezo cha kufanyia...
Ajali ziwa Victoria, boti iliyokuwa ikitokea kisiwa cha Mrumo Bukoba kwenda Mganza, imepata hitilafu ya injini jambo liliopelekea moto kuwaka kwenye injini na kusababisha taharuki na baadhi ya...
Bwana awe nanyi wapendwa, baada ya kamanda siro kupanda cheo nafasi yake inaendwa kushikwa na ngosha boy kutoka mwanza naye ni kamanda mihayo
Kamanda mihayo kwa sasa ni mkuu wa opareshen ya...
Kuna hii upatu Mpya umeanza unaitwa AMWA au amka mwanamke a new PONZI scheme ni kua serikali haioni au had I wananchi waumie kama case ya desi ndo iingilie kati...mbaya zaidi hawa Jamaa hawana...
Wakuu leo nimepata habari ya mwalimu aliyesimamishwa kazi kajinyonga na kumwachia ujumbe Rais magufuli kuwa hakuwa na jinsi? Mwenye news zaidi tafadhali atujuze
Idadi ya kesi na vitendo vya udhalilishaji hapa visiwani kwetu vinazidi kuongexeka inatia aibu nakutisha MZEE wa miaks 56 kumbaka binti wa miaka 6 yaani Ni hatarii
Habari wanajamii, leo alienda mtu nilimuagiza akakamilishe usajili niweze kupata leseni ya biashara niweze kuanza kazi kwani nimeshakodi fremu.
Nimepeleka picha ,mkataba wa pango, fomu niliojaza...
Hakika Magu ni shida,
List za polisi wenye vyeti feki zimeanza kutumwa vituoni, mkoani Kilimanjaro list zimeshawasili na vituo vimeshaanza kupokea orodha hizo angalieni kwa wakuu wa vituo vya...
Wakuu habar zenu, kwa wale mlioanza Fanya Kazi kwa masaa 24 mtupe mrejesho.Mkuu alitoa agizo kuanzia juma tatu ..Bandari na mamlaka zina shirikiana na Bandari zipige Kaz masaa 24, vp kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.