Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wazazi poleni kwa msiba huu uliowapata watoto wetu wapendwa wa Lucky Vicent na walimu wao! Hakika ni majonzi makubwa sana! Lakini yafaa tutafakari kwa kina kwanini janga kama hili liwafike watoto...
28 Reactions
173 Replies
29K Views
[emoji12]
2 Reactions
3 Replies
742 Views
Kuna tetesi vigogo wakubwa wamehonga huko baraza ili kupona ktk sakata la vyeti feki. Wengi wao ni waliorekebisha division na ufaulu wao. Na Bashite pia asiachwe
2 Reactions
5 Replies
1K Views
MAGARI YA TOYOTA KUTENGENEZWA TANZANIA Kuna tetesi nimeziona kwenye mitandao kuwa Waziri wa Viwanda wa Tanzania amekutana na CEO wa Toyota nchini Japan nakukubaliana na CEO wa Toyota kujenga...
8 Reactions
29 Replies
8K Views
Inasemekana kuanzia mwezi wa tano yaani may wanataka wabaki na beers za chupa ndogo kutokana na hali ya uchumi,no more chupa kubwaz. Adiiiioooos amigoooo.
8 Reactions
129 Replies
10K Views
Habari wadau nataka kujua wanaoajili vodacom customer care, nilisikia siku hiz voda hawana mkataba na erolink
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau mliosoma laugha ya Kiswahili namoba msaada! Nimeshindwa kutofatisha kati ya Elimu bule na Elimu bila malipo tofauti zake nini. Hakika nimeshindwa kumuelewa waziri wa tamisemi alivyonena...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nilibahatika kumfahamu Mwl. Frank verified user kwenye mada maalum ya magari... Lakini hivi karibuni nimeambiwa hatunaye tena na kifo chake kilitokana na kujinyonga/ kunyongwa? Mniwie radhi Kama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kufuatia kitendo cha jeshi la polisi kukumbwa na mfululizo wa mauji ya walinda amani wetu kwa uweledi wa hali ya juu kabisa wakazi wa barabara kati ya kibiti na Mkuranga wamechezea fimbo mchana...
19 Reactions
134 Replies
13K Views
Mdogo wangu amepigwa na kutaka kuuawa na Mwl Salumu Kanyame lakini polisi hawajamkamata mtuhumiwa na siku kesi ilipotakiwa kwenda mahakamani anapigiwa simu mtuhumiwa anajibu ninakazi inapangwa...
3 Reactions
53 Replies
7K Views
Dar es Salaam — Vodacom is reportedly considering an extension of the deadline for the sale of its shares to the public, amid reports the initial public offering (IPO) may be undersubscribed...
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Hivi vyama vinavyojitokeza katika kipindi cha siasa tu...hivi ni kweli vinamlengo wa kushinda...sababu ninachojua miezi ile michache ya kampeni sijui kama unajitosheleza kukutambulisha kwa...
0 Reactions
2 Replies
570 Views
Hellow, Mambo vp, Leo nimeamua kuwaambia wanaume wenzangu ukwel, hivi kuishiwa nguvu za kiume imekua fashion au ndo swaga, unakutana na katoto ka miaka 22 nako kanasema kana matatizo ya nguvu za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna tatizo la kimitambo katika hizi redio mbili. Huwa napenda kusikiliza vipindi hasa MAZUNGUMZO YA FAMILIA radio one. Ila leo naona hawasikiki huku mara. Nimejaribu online pia siwapati...
1 Reactions
0 Replies
621 Views
Wasanii Roma na moni watolewa oystarbey police wapelekwa hospitali Mwananyamala Cloudsmedia
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Habari wanabodi ,katika angalia yangu ya movie nakumbuka kwenye series ya 24 Jack Bauer ilitokea akaingia katika site moja hivi kwa bahati mbaya akakutana na underground prison ambazo zina...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii ni taarifa niliyomegewa na msamalia mwema , kwamba baada ya matenki ya fikra ya serikali kutumia darubini kuangalia maeneo mengine ya utumishi yanayoitwa nyeti , wakashauri mchezo uishie...
7 Reactions
78 Replies
10K Views
Habari njema ni kwamba serikali imefikia uamuzi wa kuanza kulipa malimbikizo na nyongeza zote kwa watumishi wa umma ikiwa ni pamoja na kupandisha vyeo. Maazimio haya yanategemewa kuanza mwaka wa...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Kusema ukweli swala LA makonda sikutaka kulizungumzia tena ila limefika mahali huwezi kaa kimya kwa mpenda haki 1. Baadhi ya wizara na taasisi za serikali zinakosa uhalali moja kwa moja...
0 Reactions
3 Replies
597 Views
Hivi hizi hotuba huyu mheshimiwa wetu anazozitoa kwenye haraiki ya watanzania na duniani kwa ujumla. Najaribu kuwaza sijui akimaliza kipindi chake cha uongozi kama inaweza kurushwa hata moja...
0 Reactions
4 Replies
716 Views
Back
Top Bottom