Katika hali ya kushangaza kabisa baada ya tukio zima la kutia aibu kama siyo pia la kusikitisha ambalo lilifanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda ( siyo jina lake halisi )...
Za Jumapili wadau!
Imevuja;
Toka ndani ya viunga vya Magogoni ni kuwa Rais kamuita Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwa mazungumzo/mahojiano.
Haijajulikana wazi sababu hasa ya kuitwa kwake, more news to...
Serikali imefanya maamuzi ya kupeleka madaktari zaidi 500 waliomaliza masomo na internship lwakaajiliwe kenya kwa kuwa serikali haina uwezo kuajili kwa sasa na si kwa sababu hatuna maitaji...
Habari zenu wadau,
Kuna habari inasambaa kuwa, kuna maafisa wa mgodi wa GGM walienda kula maisha huko Rubondo siku ya jana Jumamosi, bahati mbaya wakiwa wanaendelea kutumia vinywaji vyao,mmoja...
Igweeeee.......
Kuna jamaa mmoja amesema kuwa yeye amepata dili la kuuza nywele za binadamu nchini Kenya.
Nywele hizo hutumika kutengenezea viti vya ndege... Kwani husaidia viti kutobonyea...
Nimechokwa na kila kosa kukutana na neno BASHITE.
Ukweli dunia na Tanzania hawapendi MTU afanyae mambo mazuri na yenye kuleta tija katika vizazi vijavyo.
Kuna mantiki gani kumwona Makonda Leo...
Nimekaa nikachunguza,nimegundua asilimia kubwa ya madereva wa boda boda DSM wanatumia BOXER,ambazo ni pikipiki za hali yajuu na zenye mvuto.
Ni adimu kukuta hizo aina nyingine za pikipiki...
Habari wana jamvi!iko hivi takribani wiki mbili zimepita toka wakurugenzi wa halmashauri za tanga kufanya kazi ya kuhamisha watumishi wa kada ya ualimu kutoka mijini kupelekwa vijijini,ishu ya...
Wakazi wa kigoma hasa kata za kibirizi ,kikungu,gungu mwanga na mwandiga, wapigwa marufuk ya kutumia maji ya bwawa LA katosho kwa hofu ya kutiwa sumu@chanzo azam TV habar
KWA TAARIFA ZILIZO VUJA KUHUSU SALARY KWA MWEZI JULY 2016
TGTS A1-546,000
TGTS B1-694, 000
TGTSC1-782,500
TGTS D1-939,000
TGTS E1-1,319,000
TGTS F1-1,653,000
TGTSG1-1,970,000...
Wakati makonda mkuu wetu wa mkoa alipotangaza vita vya Ngada au sembe au madawa ya kulevya nadhan wengi hamkumuelewa Ila baada ya hotuba ya JPM Leo wakati akiwaapisha viongozi mbali mbali ikulu...
Kuna taarifa za kuaminika kutoka vyanzo mbalimbali vya kuaminika kuwa. Walimu ambao ndio wasimamizi wakuu wa mitihani ya taifa wamekuwa wakikopwa posho zao za usimamizi kwa miaka miwili sasa yaani...
Kuna taarifa kutoka liwale mkoani lindi wamekumbwa na balaa la njaa, mpaka wanashindia mizizi poli, chanzo azam tv lakini mpaka sasa kitengo cha maafa kutoka of is I ya waziri mkuu...
WARAKA MAALUM WA KUJIVUA UUMINI NA USHIRIKI NDANI YA KANISA KATOLIKI LA ROMA.
UTANGULIZI.
Tumsifu Yesu Kristu na Bwana Yesu Atukuzwe sana.
Naanza kujivua Ukatoliki kwa Kutumia KATIBA ya NCHI...
naomba kuuliza kuhusu story ya mvua wadau nasikia wajenzi wa barabara wana utaalamu waku fukuza mvua kwa kuipiga mabomu hii imekaaje kitaalamu kama mitambo wanayoitumia ni vilipuzi je ...
Ndg wana jf urais ni taasisi sio magufuli jpm anachokisema ujue ni tamko halali lililofanyiwa uchambuzi yeye kama binadamu anakosea ila kama taasisi yaweza kosea pia ila kunakuwa na credibility...
Taarifa za uhakika zilizotoka kwa vyanzo ndani ya NSSf zinasema shirika hilo tangu mwezi Desemba mwaka 2015 limewatimua wafanyakazi kadhaa kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya kutungwa. Hadi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.