Wadau, amani iwe kwenu.
Taarifa nilizopata hivi punde ni kwamba, Mmiliki wa Mbowe Hotels na gazeti la Tanzania Daima, Freeman Mbowe anaisoma Namba. Kwamba, hali ya kifedha ya Mbowe kwa sasa ni...
Habari wana board..
Leo wakati Niko kwenye daladala toka Mbezi kwenda Simu2000 nilimsikia konda akitoa hii hoja.
Kwa maelezo yake ni kuwa kwa sasa ni magari ya mwendo kasi tuu ndio yanayo...
Miaka michache iliyopita rafiki yangu alinipa stori moja ambavyo alipata kazi kutoka kwenye kampuni moja ya kudai madeni. Kampuni hiyo ipo Selander jijini DSM.
Mteja wa kwanza jamaa yangu kupewa...
Kuna tetesi kuwa kuna raia wa urusi alikuwa ametoka bank maeneo ya sinza inasemekana alikuwa abebeba hela (kiasi hakija fahamika ni bei gani) na anafanya kampuni inayoshughulika na aluminium na...
EWURA itapandisha bei za mafuta kuanzia tarehe moja novemba,hii ni kwa mujibu wa tetesi kutoka chanzo cha uhakika.
Baadhi ya vituo vya mafuta vimekuwa vikijizuia kuuza mafuta katika maeneo yao...
Kwa sasa ninaona kama hawa wakali wawili wa real madrid Christiano ronaldo na BALE kama wanacheza chini ya kiwango nilichokuwa nawaona wakikionyesha mzimu uliopita kwenye league ya laliga na...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala dada Mjema kasema kesho mwisho kupanga bidhaa za machinga mitaa ya Kariakoo.
Kiukweli ilikuwa ni shida hata kupita kwa watembea kwa miguu.
Ni sauti adimu na tamu kuipata
Naandika huu Uzi kwa masikitiko makubwa na kwa niaba ya watanzania na vijana wote waliositishiwa ajira 13 June 2016.
Hii sauti ya ATM ina raha zake asikuambie mtu...
Katika kupitia historia nikakutana na haya:
* watu wa Kagera walianza kufua vyuma takriban miaka 2000 nyuma,
na ufuaji wao vyuma pamoja na utengenezaji wa vyombo vya udongo upo tofauti na ule...
wa kwanza
inasemekana lakini
jamaa aliitwa na boss wake jioni aende fasta at any cost kuna kazi ya kufanya akachukua bodaboda alipofika kwa boss akamuambia ampe hela alipe bodaboda boss akawa...
Kuna ajali mbaya umetokea maeneo ya palm beach saa 11 asubuhi ya Leo,lory limemgonga mwanamke wa kihindi akiwa na X5,wakati napita bado mwanamama huyo anapumua na juhudi za kumtoa zilikuwa...
habar wana JF
kuna habari zinasikika kuwa mkuu wa mkoa wa dsm, Bwana Paulo Makonda, tayr alikuwa kaishafika simiyu kabla mkuu wa nchi ajatangaza kurudi kwenye vituo na kurudisha posho...
nasikia...
Wana jamvi.
Asalam aleikhoum. Nimewaletea thread hii tujaribu kueleweshana kwa ajili ya kuelimishana na tuwe na nafasi husika katika maendeleo ya kiutendaji kitamaduni na kijamaa.
Mtu anatuma...
kwa mfano tusingesoma elimu hii ya chuo tuka tuliishia labda form four au darasa la saba tukawa tulienda kujifunza udereva tukawa madreva wa mabasi ya mkoani au semitrella kiuchumi tungekuwa...
Tanzania imejitoa dk za lala salama kusaini makubaliano ya visa ya pamoja ya nchi za Áfrika Mashariki kuhusu watalii kutembelea nchi yeyote ya AM kwa kutumia visa moja (common visa charged at $100...
Wakuu salamu tena mm ndio nilikuwa mtu wa kwanza kuleta habari juu ya Clouds Kumsajili PJ mapema.
Naomba niwaletee na hiii kwa mara ya kwanzaa! Taarifa za kunyapia nyapiaa inasemekana Masaa...
Swali kama umepigwa stop macontractor si watalipwa pesa nyingi??
Je hiyo ghara anaigharamia nani??kama ni serikali hiyo sipesa ya walipa kodi??je nani wakuwajibika??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.