Mwenye kujuwa nini kinaendelea kuhusu malipo ya wazee wa EAC atujuze tafadhali.Nimebahatika kuwakuta pale Mnazi mmoja...hali zao zinatisha.
"SOTE SISI NI WA MWENYEZIMUNGU NA KWAKE TUTAREJEA"
Leo katika majadiliano ya kawaida na mtumishi mmoja wa NMB katika kumhoji kuhusu exchange rate, akasema kuwa kwa mara ya kwanza last week fedha ya Tanzania imeweza kupanda thamani ikiwa hii ni...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Watumishi wa umma kaeni mkao wa kupokea mishahara minene. Kwa muda mrefu sasa tangu Dr Magufuri aanze kurekebisha mifumo ya utawala wa nchi, watumishi wa umma...
Wandugu hili gazeti linaonesha tetesi kuhusu mishahara mipya ya watumishi na linadai kuwa kuna waziri alilizungumzia jana bungeni mliokua karibu na TV, je kuna ukweli wowote ktk hili je range...
Habari wakuu,
nimeipata hii taarifa ambayo sio rasmi kuwa kesho tarehe 14/09/2016 daladala za Daressalaam zinatarajia kugoma. Madai ni kukithiri kwa faini za barabarani au wengine wanaita vyeti au...
wadau naomba kuuliza kwa anaejua kuhusu hili, ni lin vijana wa jkt wa kujitolea wanatakiwa kwenda kambini? au serikali imehairisha? maana ni kitambo ss tangu usaili kumalizika na tarh ikapangwa...
maelezo Kama yalivyo tolewa tatika picha hapo juu kwamba huyo baba hapo juu kapatwa na majanga walipokuwa wanafanya mchezo na hiyo pisto walioko karibu na tukio watatujuza zaidi kuhusiana na tukio...
Habari zenu wana jf,nilikuwa ninaomba kwa wale walio katika nchi za wenzetu na huko walipo kuna fursa za kazi kwa fani yangu ya Umeme nilikuwa naomba anifanyie mpango wa huko alipo,kwani hali ya...
Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Amana Jijini Dar Es Salaam Dr.Shimwela amejivua madaraka hayo na kuacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya kuchoshwa na kufanya kazi kwa mashinikizo na...
R[8/28, 21:44] +255 764 042 120: KAULI YA MBOWE KUAHIRISHA UKUTA
Ndugu waandishi,
Awali ya yote natanguliza shukrani kwa ushirikiano wenu na kwa kazi kubwa mnayoifanya kama mhimili muhimu wa...
Kadinal Pengo atazungumza na wanahabari Jumamosi kupiga marufuku wakatoliki kote nchini kujihusisha na Ukuta
MYTAKE:
Kama tetesi hizi zinaukweli ndio utajua jinsi gani kuna viongozi wa dini...
Zipo standing order za kiutumishi zinazotoa miongozo ya kumuhamisha Mtumishi kutoka kituo kimoja cha kazi kwenda kingine mfano Mtumishi mwenye Mke/Mme na watoto/tegemezi taratibu zinasema kuwa...
Habari za mchana waungwana.
Nimepata tetesi kwamba askari Polisi kituo cha Mwanakwerekwe amekamatwa na kete za unga zisizopungua 200 huko hoteli ya Kiwengwa, na mpaka sasa askari huyo...
Kufuatia watu wengi kulalamikia suala la ujenzi wa uwanja wa ndege Chato, kuna tetesi kuwa tender iliyokuwa imetangazwa imefutwa hadi hapo itakapotangazwa tena. Sababu za kufuta tender hiyo bado...
Twende udzungwa national parks weekend ya mwisho wa mwezi, jumamosi ya terehe 27/8 na kurudi ni Jumapili ya terehe 28/8. Gharama kwa mtu mmoja ni 80,000/- tu. Safari itaanzia Ubungo, Dar es...
Baada ya Serikali kuanza kuhamia Dodoma sasa nimesikia ETI
1. Kasi ya kuibadili manispaa IWE JIJI imeongezeka na huenda mwakani 2017 Dodoma ikawa jiji la 6 hapa Tanzania.
2. Kituo kikubwa cha...
Katika hali ya kushangaza, pamoja na nguvu kubwa anayotumia mheshimiwa rais inaonekana ni dhahiri kashindwa kudhibiti wafanya kazi hewa katika mashirika ya umma baada ya kubainika kuwa shirika la...
Majambazi kadhaa yamevamia duka la jumla la nguo za mitumba na kujeruhi mtu mmoja,kuiba fedha na kurusha risasi ovyo mida ya jioni ila nasikia yote yamekamatwa...Mwenye more info utujuze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.