Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

mshahara was mwezi huu kwa watumishi was serikali na hadi tarehe ,3/8/2026 taarifa hizi nimezipata toka kwa afisa utumishi wa halmashauri niliyopo
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Amefariki
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ninashangaa sana kuona taasisi za Serikali kama BoT, SUMATRA, TANESCO n.k. wafanyakazi wake hawajajiunga na Bima ya Afya ya Taifa. Wengine wanasema yamkini pesa zao za matibabu zinapigwa sana...
1 Reactions
6 Replies
936 Views
Kuna uzushi unaendelea kwenye mitandao ya kijamii unaoonesha mabadiliko ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa sekta ya umma. Tunaomba muwapuuze wanaosambambaza maana sio wakweli wanalengo la...
1 Reactions
23 Replies
27K Views
Habari wakuu, Kuna taarifa ambazo sina uhakika nazo nimezipata kutoka Arusha kwamba kuna wafanyabiashara wamechukuliwa kwa siri kuletwa huku Dar kwa mahojiano. Je kuna taarifa zozote za ukweli...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Inadaiwa ni wiki sasa tangu hizo kompyuta zifungwe na serikali automatically kwani hazifunguki hivyo kazi sasa wanafanya manual Inawezekana wataalamu wa it kutoka Rwanda wametua na ndio kazi...
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Kwa taarifa nilizozipata kutoka chanzo kilichopo eneo husika,ni kwamba Mwenyekiti wa kijiji cha kimanzichana wilaya ya Mkuranga,amepigwa risasi na watu wasiojulikana na kujeruhi Mzee mwingine wa...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kuna taarifa kuwa Basi la Tabora One lifanyalo safari zake kati ya Dar na Tabora, limetekwa Jana usiku na abiria wote kunyang'anywa mali zao na kuna taarifa kuwa huenda wanawake wamefanyiwa...
4 Reactions
143 Replies
19K Views
(NIMEIKUTA SEHEMU HII MWENYE UHAKIKA ATUJULISHE ZAIDI) TAFADHALI KWA WAISLAM NA WAPENDA HAKI TUFUATILIE HILI KUJUA UHALISIA WAKE. Kuna taarifa kua watangazaji wa kike Waislam wa TBC TV wamegoma...
11 Reactions
248 Replies
36K Views
Nimepata taarifa toka kwa mmoja wa wanafunzi wale waliotimuliwa na kuitwa vilaza kuwa kuna marafiki zake wawili wamefariki dunia kutokana na mawazo ya kutokana na kukata tamaa na kutojua hatma...
3 Reactions
47 Replies
7K Views
Habari wana JF... Kuna habari chini kwa chini nami naona nitoe hapa kama heading inavyojielezea. Wizi mkubwa unaotekelezwa na majambazi jijini Dsm kupora pikipiki za miguu miwili maarufu kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni taarifa kutoka chuo cha afya muhimbili, MUHAS, Muda wowote wataandamana kwenda bodi ya mikopo kutokana na kucheleweshewa hela za kujikimu, maarufu kama boom. Inasemekana kuwa pesa hizo...
0 Reactions
44 Replies
8K Views
INTRODUCTION Kampuni ya simu ya VODACOM inasemekana leo imeanza rasmi mchakato wa kuongeza tozo kwa wateja wake wanaotumia huduma za MPESA kwa lengo la kukabiliana na gharama za uendeshaji...
5 Reactions
65 Replies
9K Views
Ebwana wanaJF mzuka! Ni tetesi tu wadau. Nimesikia sana na pia kushuhudia eti ukiwa Muafrika una uraia na akili sana ama Genious ulaya halafu una kiherehere wazungu hawapendi na wanaona wivu na...
9 Reactions
76 Replies
8K Views
Kwa miaka mitano mfululizo ya kipindi cha kwanza cha mbunge wetu Mnyika, alileta hoja mara nyingi bungeni dhidi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Dawasa Archard Mutalemwa kushindwa kutatua tatizo la maji...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Waandishi wa habari wakiwemo katibu wa chama cha waandishi wa habari mkoani Arusha(APC) jina lake anaitwa Mawangi anayeandikia gazeti la Jambo Leo, Omari Moyo(gazeti Raia mwema) na Abrahamu...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Katika karne hii ya Uhalifu wa kila aina duniani. Mavideo ya kigaidi yanakaa mtandaoni karibu mwaka mzima bila kufutwa kuna Mavideo mpaka sasa yapo kwenye ma account ya twitter bado hajafutwa...
0 Reactions
1 Replies
783 Views
Baada zoezi la kupunguza wafanyakani takribani 150. miezi miwili iliyopita ili kuendana na gharama za uendeshaji wa kiwanda cha maji ya matunda. Kuna fununu ya kuwa mpango...
0 Reactions
61 Replies
12K Views
Kwa kweli mkuu wa mkoa wa Mbeya ana matumizi mabaya ya fedha za serikali. Taarifa zilizotufikia hivi sasa kutoka huko Moshi ni kuwa amewaalika waandishi wa habari ambao aliwateua wawe wakifanya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hongera mheshimiwa na Mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kazi nzuri unayoifanya ya kutumbua majipu. Endelea na mwendo huohuo mpaka sisi wanyonge tupate walau kuonja keki ya Taifa...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom