Kutoka katika vyanzo tofauti vya magroup ya Whatsapp Ya watumishi wa umma yameibuka malalamiko kuwa kuna baadhi ya watumishi wa umma hawajawekewa mshara wa mwezi huu wa saba uliotoka leo mchana...
Hali ni tete kwa watumishi wote darasa la saba ambao waliajiriwa kuanzia 2004.
Watumishi ambao walikuwa bado awajajiendeleza na elimu ya kidato cha nne mwezi huu wameondolewa rasmi kwenye payroll...
Mtakumbuka hivi majuzi yalitoleea matokeo ya utafiti ambao matokeo yake yalibainisha kwamba takribani 33% ya wanaume mkoani Dar Es Salaam wanakabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume...
*WASOMI WA VYUO NA VYUO VIKUU WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI*
--------------------------------------
Na: Nassir Bakari
Upanga, Dar es Salaam.
*Kaimu Katibu Mkuu wa Idara ya vyuo na vyuo vikuu...
Nlkichwa cha habari
Najiuliza umarufu unavyoweza kukupoteza ninayo makundi machache nawe unaweza ongeza Yale unayoyajua na umarufu umeyapoteza
Hard blastas
East coast
Tmk wanaume
Gheto boy
Daz...
Naomba kueleweshwa kwann hiki chama kikuu cha upinzani nchini tz kimeonekana kushinda zaidi katika majimbo na majiji makubwa kama dar , arusha , Kilimanjaro, mbeya mjini , mwanza , bunda , tarime...
Kuna uhakiki mwingine wa aina yake unakuja., nasikia unatakiwa kuwasilisha Taarifa zifuatazo.
1. Majina yako matatu
2. File namba
3. Tarehe ya kudhibitishwa kazini
4. Ngazi ya Mshahara
5. Kiwango...
Kuna taarifa kuwa kuna gari aina ya SUV limechomwa moto na madereva boda boda maeneo ya Sakina.
Ikumbukwe kuwa hili linaweza kuwa tukio la pili la bodaboda wa maeneo hayo kuchoma gari.
My take...
Wakuu habari za kazi.
Kuna tetesi kua watumishi wa umma wasio peleka Vitambulisho vya Utaifa kwa Human Resources au ofisi husika kama ilivyoagizwa kwaajili ya uhakiki, hawatapata mshahara wa...
Samahani wahenga wenzangu naomba kuuliza hivi Hisa za vodacom bado tu hazijapelekwa kwenye soko la Dsm exchange tu
Au ndio tumepigwa kama Desi
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Za chini ya Kapeti kutoka katika Taasisi moja ni kwamba kumbe ' Mukulu ' mwenyewe kwanza alitaka mishahara yao ipunguzwe kwakuwa ni mikubwa halafu hata tija yao si kubwa kivile ila watangulizi...
Yanaitwa Maonesho ya biashara , lakini ukweli ni kwamba pamoja na bidhaa kadhaa kuonyeshwa , Wafanyabiashara tumetumia nafasi hiyo kuuza , tena kwa mauzo ambayo huvunja rekodi .
Sasa kutokana na...
Watanzania wote kwa umoja wetu tumesikitishwa na mauaji ya watu wasiokuwa na hatia huko Kibiti. Jambo la kushangaza ni vipi magereza inahusu mahabu kupanga na kutekeleza uovu huo na yenyewe...
Katika nakala zangu humu sijawahi kuzungumzia suala hata moja la kidini lakini leo nitazungumza jinsi serekali ya ccm Zanzibar ilivyomfanyia unyama mkubwa Sheikh Othman Maalim
*_Sababu kuu ya...
Bashite
Kolomije
Zero brain
Haijawah kumwacha mtu salama
Jaza ujazwe
Kibiti
Mheshimiwa spika
Bi Anna mgwira
Act wazalendo
Miundombinu ya mbowe
Hide my I'd please
Mubashara
Eid mubaraq
Ramadhan...
Wanajukwaa kwa masikitiko makubwa, habari zisizo rasmi "tetesi" ni kuwa Hotel ya kitalii ya RYANS BAY iliyopo jijini Mwanza itabomolewa kupita eneo la Reli.
Mwenye habari kamili atuhabarishe...
Baada ya TCRA kufanikiwa kuwaondolea wananchi KERO ya kusikilizishwa matangazo kwa lazima pindi wanapopiga simu, kuna taarifa kuwa wameitaka pia Kampuni ya Simu ya tiGO kufuta tangazo lake la JAZA...
"Stiegler" jina la kijerumani, na kikoloni na leo linatumika hata katika mpango wa umeme "stiegler's gorge" na hata kulipa umilikishi wa sehemu kwa stiegler's hivi hakuna majina ya kitanzania...
Kusema ukweli kwa sasa kila mtaa Wa mji huu maarufu nchi kila mtu yupo ana nongona kuhusu stendi,barabara, na soko kulikoni mbona havifanyiwi kazi? Nakuomba sana mh na ukawa kwa ujamula kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.