Tukio ambalo lilitokea juzi huko Congo inasemekana kuna vijana walitekwa.
UFAFANUZI: Jumla walikua wanne (sina uhakika) mmoja alitaka kuwatoroka wakati wanaondoka nae ghafla walimpiga risasi na...
Kwa makala nyingi nilizozisoma sioni uwezekano wa kupata suluhu ya kumaliza mgogoro kati ya waparestina na waisrael(wayahudi) .hii inatokana na na asili ya mgogoro na references.zinazotumika...
Habari waungwana wa JF
Nianze kwa kidokezo hiki;
"Nautabiri mwisho wa rafiki,
Kama ndivyo naomba maulana,
Usimtende hivyo"
Hiki kilikuwa kipande cha mashairi kwenye nyimbo ya mshiriki mmoja wa...
Aisee kuna mtoto namuelewa Sana nmeanza mawasliano nae kama Wiki hivi tatizo ktk chating zetu analeta ukauzu Sana unaandika sms gazeti anajibu short and clear OK poa haya duu yan hata ujalibu...
Habari jf,kwa taarifa za kuaminika kutoka kiwanda cha sukari kagera sugar,dereva wa kampuni hiyo bwana Ayubu ametekwa Kongo, ni km chache tu kutoka mpakan mwa Burundi na Congo,lkn pia kutoka...
Mambo vp, mnajua kuwa hii michezo ya kamali ukitoa za mpira wa miguu ni feki balaa... Nasema feki kwasababu moja kuu kwamba hii michezo mshindi anachaguliwa ofisini yani wanaamua leo tumpe flani...
Wakuu,
Nipo katika foleni kubwa mno karibu na Daraja la Kibamba. Nimeambiwa kuwa kuna ajali mbaya ya magari mawili yaliyogongana. Yasemekana kuna waliopoteza maisha na majeruhi.
More to come...
Habari zenu humu ndani .
Mimi kuna maneno nimeyasikia sana mitaani kuhusu hizi boksa tunazovaa wanaume watu wakidai eti ukizivaa kwa muda mrefu zinapunguza nguvu za kiume !
Mwenye ukweli kuhusu...
Habari za majukumu wakuu na wadogo.
Tunatambua kwamba mji wa Madina unajulikana kwamba ni uwarabuni hilo halina ubishi.
Ila kuna kasehemu ambapo palipatikana kwa jina hilo, ambayo ndo makao makuu...
Naomba nitoe ushauri kutokana na tetesi nilizosikia, nitashukuru kama nitaeleweshwa iwapo ushauri wangu si mwafaka. Lakini pia naomba nisirushiwe maneno yenye kuudhi kutokana na ushauri wangu...
Mchungaji wa usharika mmoja mkubwa jijini Dsm anataka kudhulumu kiwanja chetu baada ya kumuingiza mjini msimamizi wa mirathi...
Mbaya zaidi amejenga mgorofa wake na kutaka kutudhulumu.
Tunaka...
VODACOM walifika hapa mwaka 2000 wakiwa hawana mteja hata mmoja na kwa mtaji wao wakapanga kwenye jengo lenye status kuliko majengo yote hapa nchini likiitwa PPF Tower lililoko kwenye kona ya mtaa...
WAMLAWITI MTOTO MDOGO
MPAKA KUTOKA MAFUNZA-PEMBA
Jeshi la polisi mkoa wa kusini Pemba
linawashikilia vijana watatu wakaazi wa
machomane wilaya ya chakechake kwa tuhuma za kumlawiti mtoto mdogo wa...
Bill hiyo inaenda kuua wastaafu.
1. Mafao utalipwa 38% na 62% utakuwa unalipwa monthly. Mfano kama ilikuwa ulipwe milioni 100 maana yake kwa mswada mpya utalipwa pension ya mkupuo 38 milioni...
Wakuu nimeona mjadala huu na nkaona una mapungufu makubwa nabya kinyonyaji sana kiasi kwamba kuajiriwa sasa kutakuwa ni utumwa zaidi ya ilivyo sasa.
Sijazama kuona ukweli wa haya hapa chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.