Habari wakuu,
Kuna tetesi kuwa tarehe 29.05.2018 zaidi ya wafanyakazi 600 walio na vyeti feki wamepewa barua za kuachishwa kazi pasipo malipo yeyote kwani walikuwa wakiibia serikali hivyo...
Wakuu nianze hivi, mimi miez kama mitatu imepita nlikuwa nakatiza kariakoo-mtaa wa Agrey na mshikaji wangu mara akapita binti mkali jamaa akanishtua nimwangalie ( kama ilivyo hulka ya wanaume...
habari za jioni wakuu hv kuna kiongozi wa chama cha viziwi alikuwa ana ofisi buguruni viziwi anaitwa Rahim mpogo amefariki duniani maana mimi kuna kipindi alinisaidia alama niwe mkalimani wa lugha...
Ni diwani wa Kata ya Masama Rundugai iliyopo wilaya ya Hai kwa tiketi ya Chadema ndugu Elibarik Lucas Mbisse amehamia chama cha mapinduzi.
Mambo ni Moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Muswada wa Sheria ya Fao La Kukosa Ajira Huu Hapa
Ule mbadala wa fao la kujitoa ambao umekuwa ukisemwa na mamlaka ya udhibiti na uendeshaji wa mifuko ya hifadhi ya jamii nchini SSRA, na wakati...
Nawasalimu kwa heshima na taadhima wakuu. Alfajiri ya leo mida ya saa kumi na nusu nilitoka ili nifanye mazoezi ya kukimbia kwa nusu saa. Kilichonishangaza ni kuona mgongo wa mnyama mkubwa kuliko...
Katika hali ambayo si ya kushangaza sana kampuni maarufu ya Kijapani ,KONOIKE, wamefungasha virago na kufunga ofisi zao Tanzania.
Haiko wazi kwa nini KONOIKE wanaondoka lakini hii ni kampuni ya...
Bila kupoteza muda naomba kujua kwanini wamasai hawana muonekano wa ndevu au kwanini ni nadra kumuona mmasai akiwa na ndevu ?
Nitashukuru nikipata majibu
Kama kawaida yangu wanajf leo nilikua na mtu wangu anafanya kazi TCRA nikawa namuuliza kuhusu local vipi mamlaka na serikali imeshindwa kudhibiti wakati local channel ni haki ya kila mtz yaani...
Tangu azam warushe tukio la kupokelewa ndege na baada ya siku chache wakaacha kurisha taarifa ya habari ma badala yake wanaelekeza watu wakaangalia taarifa ya habari kwenye App.
Mwanzo tulidhan...
Habari wanajamvi!
Mie ni mhimtimu wa shahada katika fani ya biashara (Bcom) kutoka chuo kikuu cha dar es salaam.
Nimeomba nafasi mbali mbali zaid ya kumi za kazi katika tovuti ya ajira bila...
jamani me nataka nianze kilimo cha mahindi. je mil.1 iy hela nnawez kulima eneo kiasi gan kwakufuata kilimo cha kisasa nafaida unawez kupat maxmam gunia ngap? msaada tafadhal
Nawasilisha mada hii kwa kwel kwa uchungu mzito jaman tunafanya kaz katika mazingira magumu na boss hataki kutupa mikataba ya kazi watu wanafanya kaz inapita miez hadi minne boss hakupi mshahara...
Kuna Taarifa ambazo zinatajwa kuhusu kuuawa kwa Faru mmoja Aliyekuwa anahifadhiwa Na Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro
Taarifa kutoka chanzo cha uhakika wilayani humo zinasema kwamba siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.