Jamani nawasihi tuache uanaharakati kwenye mambo ya kitaalam hasa pale tunapokuwa hatuna ufahamu wakutosha kwenye jambo husika. Lakini pia kwenye jambo lenye maslahi mapana ya jamii kama mfumo wa...
Kumbu kumbu zitunzwe kwa wote waliowasaliti watanzania kwa kuhamia ccm eti kuunga juhudi mkono mnaunga juhudi gani nyie wasaliti? Huu ni muda wa kuiangusha ccm kwa gharama yoyote nchi isonge mbele...
Tetesi zinasema kuna zoezi la kukamata wavuvi haram huko wilayani SENGEREMA mkoa wa Mwanza ndugu yangu alieko huko katika kijiji cha nyakahako anasema zoezi linaendesha kionevu sana kwani...
Second priest defies Church of England to marry his same sex partner
Luxembourg's prime minister first EU leader to marry same-sex partner
Serbia gets its first female – and gay – prime minister...
Wakubwa zangu kheshma yenu na rika langu mpo poaaa!!!
Kuhusu historia ya nchi ningependa kujua kitu kama kujana wa kawaida kabisa kwa maswali mawili tu.
1.Wapi au kwa kinanani tutaweza kupata...
Jamaa mmoja mkazi wa Mwanza wilaya ya Kwimba, ameuwawa kwa kukatwa sehemu zake za siri baada ya kufamaniwa na mke wa mtu! Ila inasemekana mwamke huyo alikuwa amekwisha achika kwa mumuwe kwa taraka.
Wakati sekeseke la ushoga likiendelea kutingisha nchini Tanzania, nimepenyezewa taarifa kuwa, chanzo cha baadhi ya wanaume walioko ama waliowahi kuwa kwenye ndoa kuwa mashoga ni kuzindikwa dawa na...
Naikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi...
Kwenye maisha kuna mambo ya ajabu sana kuna watu wema kabisa na mbinguni wataenda ila kwa mifumo na namna fulani fulani ya maisha watu hao wanashindwa kujidisconect na shetani
maisha ni ya ajabu...
My dear jamiiforums coleagues i am leaving in a house where my father is championing all evils
all misfortunes in our family my father is a source
stealing
abducting
killing
all satanic deeds...
Wasalam, kuna taarifa kwamba baadhi ya mashoga wamedhamiria kutaja hadharani majina ya wanaume wanaotoka nao kimapenzi endapo watakamatwa na kuhojiwa. Inaelezwa kwamba wamo vigogo wazito kutoka...
Cha kwanza kabisa nianze na swalam kwa wakubwa zangu (kheshma kwenu) na rika langu habari za sahizi.
Leo ningependa kuwasilisha maswali yangu kwa hiki chama cha wanasheria (TLS) kama mtanzania wa...
Millard Ayo wewe ni kijana mbunifu na mwenye kuheshimika na jamii lakini kuwa makini kuna magroup ya whasap ya video za ngono na picha za ngono yanatumia brand yako ya millard ayo sasa je ni kweli...
Nauliza hivi kwa Sababu nimeshuhudia maeneo mengi ya Dar es Salam yakitawaliwa na kiza kuanzia mwanzoni mwa wiki iliyopita. Kwa mfano majuzi maeneo ya Kigogo mwisho hayakuwa na umeme siku nzima...
Wakuu habari.
Mwaka uliopita kuna rafiki yangu alikua anafanya kazi kwenye hospitali ya K's iliyopo jijini Mbeya, huyu jamaa alikua IT kwenye hospitali hyo akaja akafukuzwa kazi kwa sababu ambazo...
Yasemekana ni sababu ya kutokukubaliana kwenye mazungumzo ya kimkataba licha ya wizara husika kuingilia kati,,
the saga continue,,
pamoja na yote haya waziri mawasiliano na uchukuzi bado yuko...
Wakuu kuna tetesi zilianza kusambaa kwamba kufuatia sakata la kutekwa kwa bilionea Mohamed Dewji, kuna mabadiliko ya nafasi za baadhi ya viongozi wa jeshi la polisi nchini ambapo Kamanda wa Polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.