Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwasilisha hoja akilitaka Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC) kuwasaidia wahitimu kwa kuwapatia Leseni mapema kwa kuwa wanapitwa na fursa nyingi Mtaani...
Kumekuwa na Kasumba ya watu kulalamika watanzania kila kukicha ni Kuongelea Mipira..., Tuwe wakweli sio Tanzania sehemu nyingi duniani hakuna watu kitaa wanaojadili Ideas..., kilichobaki ni...
Wafungwa wanaotumikia adhabu kwenye magereza mbalimbali nchini wanatarajiwa kuanza kupewa mafunzo ya umahiri kwenye ufundi stadi na kutunukiwa vyetu vya uhitimu kutoka Mamlaka ya Elimu na Mafunzo...
Mmea Mdogo Wenye Mambo Makubwa: Utumie kama chakula dawa ili uepuke kutumia dawa kama chakula!* KIVUMBASI
1. Huu mmea umesambaa Afrika nzima kwa majina tofauti:
Kanda ya Ziwa unaitwa...
Wavulana wengi wamekuwa wakiathirika sana na tatizo hili la kujichua, hasa wanapokuwa katika shule na vyuo, mchezo huu wa kujichua wamekuwa wakiutumia sana.
Sababu kuu inayopelekea kujichua ni...
Nilifikiri ni mimi tu napata shida kuwaelewa wahindi na kingereza chao lakini kumbe sio mimi tu.
Kwenye mkutano wa Rais Trump na Waziri mkuu wa India, Trump amelazimika kutumia wakalimani...
Nikiwa kama mdau wa michezo hasa hizi za ligi yetu na uzalendo wa Nchi yetu niliamua Kwa upendo kabisa kununua Azam Tv (Nina DStv pia) ili niweze kuburudika.
Lakin kwa masikito makubwa hii media...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Mtu mmoja aitwaye Emmanuel Sulwa Mapana (24) maarufu Mchambi Mkazi wa Mtaa wa Sima, Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu akiwa na sare za Jeshi la...
Wakuu katika Kazi ambazo zinalipa ni pamoja na udalali.
Hii inakuhitaji uwe at least unajua kiingereza , mwandiko mzuri na kuwa na ushawishi wa kuongea vyema.
Kiufupi njia ambazo natumia kufanya...
Eti wakuu...
Huyu Ras Simba Mwamba wa kufundisha English language (ung'eng'e) ana vituo DSM pekee Huku mikoani hamna..?
Mimi Niko mikoani nataka nijipige msasa kidogo wakuu.
Huu mtaa ninaoishi...
Ndugu tujiandae kwa ujio wa Yesu mara ya pili, mara hii ya pili harudi kama hapo kwanza. Safari hii akirudi anarudi na utukufu mkuu kulinyakua kanisa, ndugu usiwe mbishi hata kipindi cha...
====
Saa 10 Usiku: Zoezi la kuondoa lori lililoparamia watu linaendelea
Bado vyombo vya uokoaji vinapambana kulinyanyua lori lililoacha barabara na kuparamia abiria na baadhi ya madereva...
Posho ya madaraka kwa waganga wafawidhi.
Kwa muda mrefu sasa, waganga wafawidhi wa zahanati na vituo vya afya nchini wamekuwa wakitekeleza majukumu mengi mazito ya kiuongozi bila kutambuliwa...
USAMBAZAJI WA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI
Jimbo la Musoma Vijijini lenye vijiji 68 linayo miradi ya usambazaji wa maji ya bomba ndani ya vijiji vyote 68 - tunaishukuru sana Serikali yetu
Mradi...
Heshima kwenu Wakuu,
Nimekwazika sana, mara ya 2 mtu unaenda kitengo flani kutaka huduma na maelekezo vizuri namna ya kufanikisha jambo lakini majibu unayopewa ni ya mkato na dharau imetamalaki...
aada ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja zinazoitaja Hospitali ya Muhimbili - Mlonganzila kuwa na gharama kubwa na changamoto nyingine za kiutendaji, taasisi hiyo imetoa ufafanuzi...
Malezi ya waafrika nyumbani hadi shuleni huwa ya kuwanyoosha wawe watu wenye nidhamu. Hupewa adhabu kali iwapo watashindwa kufuata nidhamu.
Sasa inakuwaje watu kama hawa wakiwa watu wazima...
Tuna visa vingi sana vya mauaji ya kutisha ya watu wa kawaida na watu walemavu hasa wenye ulemavu wa ngozi
Tuna visa vingi vya mauaji ya kikatili na watu kunyofolewa viungo-tukio la karibuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.