Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

JESHI La Polisi Mkoa Wa Songwe Linaendelea Kuchunguza Kifo Cha Elvis Pemba ,20, Ambaye Ni Mkulima Na Mkazi Wa Maporomoko, Tunduma, Aliyeuawa Baada Ya Kushambuliwa Na Wananchi Waliomshutumu Kwa...
2 Reactions
17 Replies
397 Views
Huyu jamaa naona uchawa ndio kageuza ajira yake Rasmi. Inasikitisha namna mtu anavyojidhalilisha kusifia binadamu wengine. Naamini hata Mungu mwenyewe hapendi. Napenda kumshauri huyu ndugu...
10 Reactions
104 Replies
2K Views
My Take Bilioni 352 ni gharama ndogo ,Watazamaji wa Kukaa 32,000 tuu? Bora tungejenga taratibu taratibu ila uwanja ambao walau utabeba Watazamaji 45,000 Kwa about 450Bln👇👇...
4 Reactions
97 Replies
2K Views
Studio za Mjini FM zimeteketea kwa moto asubuhi ya leo Januari 12, 2024 huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana. Video inamuonesha Dorah ambaye ni mmoja wa Watangazaji wa Mjini FM...
0 Reactions
3 Replies
928 Views
Nimekutana nayo X hii European art v African arthttps://x.com/RadioGenoa/status/1888602355660157417?t=X_JSJ1zfQ6LyTgVuWrKueA&s=19
2 Reactions
22 Replies
329 Views
Wakuu. Mimi ni mmoja ya watu ambao huwa nafanyia Kazi zangu ndani. Mimi Kazi zangu ni za masoko kununua na kuuza. Hivyo huwa natafuta wateja wa bidhaa kipitia online . So Mimi kwa siku naweza...
25 Reactions
98 Replies
2K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameipa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni siku mbili kuvunja ukuta wa kiwanja namba P18618, eneo la Kigogo, baada ya...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Mmiliki wa mabasi ya Mwendamseke yanayofanya usafirishaji kutokea Njombe kwenda Iringa na Njombe kwenda Mbeya (Mwendamseke safaris) afariki dunia siku Alhamisi na kuzikwa siku ya Jumapili Sisi...
18 Reactions
75 Replies
5K Views
Tumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury...
37 Reactions
388 Replies
35K Views
Mmiliki wa baa maarufu ya Macheni iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam, Hussein Macheni amefariki dunia leo baada ya kuanguka ghafla akiwa nyumbani kwake Magomeni. Kwa mujibu wa ndugu wa...
7 Reactions
309 Replies
78K Views
Tunaomba wakurugenzi waliopokea vibali vya uhamisho kwa wenza tangu mwishoni mwa December 2024 na mwanzoni mwa January 2025 wawaachie na wao wapate fursa ya kuungana na familia zao...
0 Reactions
2 Replies
229 Views
Mimi ni kijana Mjasiriamali,miongoni mwa vijana wanaostahili kupata mikopo hii kwani Ninakidhi vigezo vyote. Lengo la kutoa mikopo hii lilikuwa ni kutuwezesha sisi wajasiriamali kuinuka kiuchumi...
6 Reactions
15 Replies
459 Views
Kuna watu hupata fedha baada ya muda mrefuuu tena baada ya kusota sana. Hawa wana kahistoria fulani hivi ka kupambana na mabiashara, kilimo, ufugaji n.k. Historia iliyojaa machungu na upambanaji...
2 Reactions
73 Replies
22K Views
Katika uhalisia mfumo wa kiutawala unachangia kusiwe na uwajibikaji kwa watumishi wa umma nina uwakika kuna zaidi ya aslimia 99% za watumishi wa umma kuwa hawafanyi kazi zinaweza kuzidi hizi...
0 Reactions
25 Replies
606 Views
Wakuu habari . Ukifikisha miaka 35 jitahidi uwekeze ktk biashara ambayo Ina risk ndogo . Mfano ,anza kufikiria kuhusu real estate business, Kama kuwa na Lodge za kupangisha ,mashamba na mifugo...
21 Reactions
63 Replies
2K Views
Mitaa ya Mbeya kuna “njemba” zimepewa tenda za kukusanya taka kwenye kila kata lakini zinaweza kupita siku tatu hadi nne gari ya taka haijapita kubeba taka sasa sijui pesa za taka wanakusanya kwa...
1 Reactions
23 Replies
858 Views
Nimeangalia kwa makini clip ya askari waliojifanya kuwa wa IMMIGRATION waliokwenda kwa Davis Mosha,Mmoja wa hao "maaskari" aliyevaa shati la kijivu alimsogelea kwa kumvizia Davis Mosha wakati...
5 Reactions
158 Replies
30K Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameshiriki Mkutano wa Mabunge ya Dunia (Interparliamentary Union) unaofanyika katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York Nchini Marekani. Mkutano huo...
3 Reactions
4 Replies
203 Views
Back
Top Bottom