#HABARI Rais wa Marekani Donlad Trump ametangaza kuwa Marekani imedhamiria kununua na kumiliki Ukanda wa Gaza na kuhamisha Wapalestina milioni mbili wanaoishi huko, licha ya pendekezo hilo...
Kituo cha afya mji wa Tunduma marufu kama Serikalini wanatoza fedha ya kumuona daktari, vipimo pamoja na kuuza dawa kwa wagonjwa wachanga wa chini ya miaka mitano
Serikali iingilie kati suala...
Watanzania wengi sana huwa wanashangaa mtu akikataa ajira hata kama kwao pesa zipo, hii ni mentality ya uoga wa maisha,
Yani uwe na baba mfanyabiashara aliefanikiwa, connections kama zote...
Habari za wakati huu wakuu!.
Aisee hatimae na mimi nimefikiwa. Walikuja jamaa watatu kwenye biashara yangu ya huduma za kifedha(uwakala) kwaajili ya kupata huduma. Wawili walikua wanaweka fedha...
Ukweli mchungu kwa mazingira ya Tanzania elimu haina maana yeyote.
Watu waliosoma vizuri uko nyuma asilimia kubwa wapo nje ya nchi wanafanyakazi na kulipwa vizuri
Waliobaki Tanzania wengi ndo...
Wanafunzi hao wameshindwa kusaini malipo ya ada kwenye mfumo kutokana na changamoto za mfumo wenyewe, jambo hili linawafanya washindwe kufanya mitihani yao ya muhula huu ambayo inaelekea kuanza...
Mpo Salama!
1. Waalimu kulipwa mishahara Duni
Unapopeleka mtoto English Medium au shule yoyote Jambo la Kwanza Kabisa lazima uulize mishahara ya waalimu. Wanalipwaje?
Mshahara wa Mwalimu ni...
Wakuu salam,
Sijui kwa maeneo mengine ila huku mitaa ya Mbezi Beach kwa Zena kuna maboresho ya mfumo ya maji taka ambayo yanafanywa kwa baadhi ya nyumba wanaotaka kuwekewa mfumo huo. Walianza...
Sio ajabu kuona watu kama kina Samantha Power, Michele Sumilas, Clinton D. White pamoja na Kimberly Ball wakiumia na kugugumia maumivu juu ya ushindi wa Donald Trump. Kwa Wamarekani ni wazi kuwa...
To be honest Kwa sisi wafanya -biashara tunabidi kumshukuru Sana Mungu na kumuombea maisha marefu mmiliki wa hii mitandao ,Facebook, Instagram na WhatsApp.
Familia zetu zinakula na kunywa kupitia...
Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa maudhui kutoka media mbalimbali utakubaliana nami kuwa media nyingi za Tanzania zimekuwa za kikasuku na burudani kuliko kazi nyingine za media nawashauri medias...
Niko Mbeya nashangaa shangaa
Naona mabucha mengi ya nyama ya ng'ombe yanauza nyama kilo 6,000/=
Kitimoto kilo ni 8000/=
Mchele kilo ni 2000/=
Mafuta ya kupikia lita 5 ni 23,000/=
Maharage kilo ni...
Ni wakati sahihi wa kuondoa hii dhana iliyojengekea kuwa askari wa usalama barabarani wako kwa ajili ya pesa za waendesha magari (madereva)... iwe kihalali au rushwa ni kuwa kuna dhana kwamba...
Nakumbuka hata mimi nilivyokuwa teenager nilidhani dunia ndio inanizunguka mimi, yani nilijua nilichokijua kuwa ni bora ndicho kilicho bora kuliko vingine vyote.
Yani leo hii mtu anakuja kuandika...
Shibe na njaa vyote si shuruti huanza na kiu yako au njaa yako, mahaba kwa mpishi na mahaba kwa aina ya chakula.
Kama njaa Ina chakula basi nayo mapenzi ya njaa yake na kiu yake.
Sirudii mwenye...
Watu wengi wa kale waliamini kuwa vitu vya asili kama miti, mawe, mito, jua, mwezi, na wanyama vilikuwa na roho au nguvu za kiungu.
Jamii nyingi ziliamini kuwa roho za mababu zao zilikuwa na...
Zaidi ya 80% ya mimea, mamalia, reptilia na vyura ni wa kipekee kwa Australia na hawapatikani popote pengine ulimwenguni zaidi ya bara hilo pekee. Hawa ni baadhi tu
Ifahamu nchi ya Australia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.