Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wakubwa heshima kwenu! Ninaomba mwenye kujua gharama za kufanya utalii wa ndani katika mbuga zilizopo Arusha ikiwemo ada ya viingilio pamoja na gharama za kukodi gari!! Mbuga zenyewe ni pamoja na...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
ITANIGHARIMU KIASI GANI KUTALII KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI? Napenda kuchukua nafasi hii kutoa ufafanuzi kwa wale wanaotamani kwenda kutalii lakini hawajui itawagharimu shilingi ngapi...
15 Reactions
67 Replies
11K Views
Shalom members. Naomba kufahamu gharama za kutembelea mbuga ya Tarangire kwa kichwa. Thanks in advance.
4 Reactions
56 Replies
5K Views
Burigi ni moja kati ya Hifadhi tano zilizopo Mkoani Kagera ambazo ni Biharamulo, Burigi, Kimisi, Ibanda na Rumanyika yaliyotangazwa hivi Karibuni kuwa hifadhi za Taifa ambapo mapori hayo yalikuwa...
8 Reactions
68 Replies
10K Views
Wataalamu naombeni msaada Kumbe nilifuta barua ya muhimu sana. Sina utaalamu sana kwenye simu. Vitu ninavyodelete sijui hata vinaenda wapi? Barua inahitajika sasa halafu haipo kwenye simu...
0 Reactions
17 Replies
313 Views
Katika reform ya elimu yetu ambayo inakwenda kuanza soon wasisahau kuweka somo la bodaboda huko sekondari. Bodaboda ni nyanja iliyoajiri vijana zaidi ya milioni 1. Ndio sekta iliyobeba vijana...
10 Reactions
19 Replies
355 Views
Kwa hatua hii je? Niendelee kujifunza au nitakuwa napoteza tu muda wangu? Nia ninayo. Asante sana kwa mdau mmoja aliyenipa hii njia naamini nitatonoa kwa kiasi chake.
5 Reactions
17 Replies
334 Views
Habari wakuu. Katika huu mchezo wa Maisha Kuna mambo mengi sana Sisi wanaume tunapitia. Sometimes unaenda kutafuta unarudi na kitu kidogo mfukoni kufika home watoto wanakukimbilia Kwa shangwe...
26 Reactions
56 Replies
1K Views
Nimepata taarifa zisizo rasmi kwamba eti lile bwawa la umeme la Rusumo linalojengwa huko Ngara Tanzania, eti switch zake za kuwashia na kusambazi umeme zinafungwa Rwanda. Maana yake ni kwamba...
24 Reactions
316 Replies
26K Views
Walihisi anachekesha katika hoja zake na michango yake bungeni lakini, alikuwa anaona huruma kwa vijana wa taifa hili kuhitimu vyuo na kupewa makaratasi ambayo kwa ujumla na ulimwengu wa sasa...
10 Reactions
20 Replies
577 Views
Kuna kipindi walitangaza kwamba tozo kwenye miamala ya simu zimeondolewa. Pia nakumbuka mchanganuo wa matumizi ya hizo tozo ulitolewa ikiwemo ujenzi wa vituo vya afya, barabara nk...
0 Reactions
4 Replies
135 Views
https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ== ========================== Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani...
7 Reactions
185 Replies
16K Views
Nataka nitoe barua nikaoe sasa niachane na huyu anaenitesa bila taarifa nataka ashangae tu nmeoa mke mwngine Ili ajifunze zaid kwamba mwanaume ni mwanaume usishindane nae Kwahyo natarajia sample...
2 Reactions
12 Replies
371 Views
Mungu wape nguvu Hawa wapambanaji wa haki za wananchi waweze kuikamata kinshasa na kuweza kuleta Maendeleo Kwa wacongoman bila ubaguzi wowote sababu Hawa ndio wapigania haki wa kweli japo...
3 Reactions
46 Replies
813 Views
Salamu. Ama baada ya salamu Mimi ni mzima wa siha muruwa. Mwezi Dec nilipata wasaa wa kutembelea nchini Misri, ratiba yangu ilikuwa very tight kiasi kwamba hata airport sikuweza kubadilisha...
3 Reactions
4 Replies
197 Views
Anonymous
Bajaji zakutoka ngusero kwenda chini yamti (katikati ya mji) Arusha mjini kutoza nauli kubwa kwa abiria tofauti na maelekezo ya mamlaka husika. Nauli elekezi ni 600/= bajaji wanatoza nauli ya...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Wakuu Kwanini sio Kichina, ambako tumeona kuna fursa nyingi kwasasa? == Dkt Said Mohamed Katibu Baraza la mitihani NECTA "Jambo jingine tutapima masomo saba badala ya sita kama ilivyokuwa...
0 Reactions
40 Replies
935 Views
Kwa mujibu wa Mtaalam wa Afya ( Daktari ) na Mwanasaikolojia aliyekuwa akizungumza Channel Ten ( ipo YouTube ) kwa wala Matomaso ( Wasiotaka ) Kuamini wakajiridhishe ni kwamba amesema kuwa Dunia...
34 Reactions
103 Replies
5K Views
Gari inayoingia road iwe moja tu kwa kila nyumba na kama kila mmoja ana gari yake mkubaliane kutumia gari ya mmoja kati yenu. Maana kiukweli mnatuongezea foleni zisizo za lazima huku mabarabarani...
1 Reactions
34 Replies
425 Views
Back
Top Bottom