Taarifa ya Jeshi la Polisi imesema Januari 24, 2025, saa kumi na mbili jioni katika Kijiji cha Kilulu Kata ya Bunamala Tarafa ya Ntuzu wilayani Bariadi, Jeshi la Polisi kupitia kikosi kazi cha...
Miongoni mwa Binadamu wenye kipaji sana. Ana calibre ya kuwa mshauri mwema na mwenye uwezo.
Uwe unakubali au unakataa inabaki kuwa shida zako.
Alipotoa ushauri kuhusu Mgogoro wa Israeli na...
- Kinachoendelea kwa majirani zetu DRC ni ishara kuwa amani ikitoweka nchini mwako basi usitegemee eti utapata usaidizi wa Jumuiya au mataifa ya nje kusaidia kuirejesha amani hiyo.
- Vivyo ivyo...
Mji wa Kisemvule - Mkuranga Mkoani Pwani umekuwa na ongezeko la watumia barabara kadiri siku zinavyoenda mbele.
Hali hiyo imesababisha kuwa na ongezeka la kufutika kwa alama za pundamilia...
TANZANIA ndio nchi pekee duniani inayoendesha miradi yake kimkakati huku waendeshaji waliopewa dhamana hizo ni
1. Viziwi yaan hawasikii
2. Vipofu yaani hawaoni
3. Bubu yaan hawaongei na
4. Njaa...
Habari zenu wana JF wenzangu. ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu wana JF wenzangu, leo asubuhi mimi na watanzania wenzangu tulikuwa tumealikwa katika...
Kwenye pita pita mbalimbali nimekutana na maelezo kuwa kagame alikua na mkono kwenye mauaji ya rais wa zamani wa Burkina faso Bwana Thomas sankara
Kwa mliomjua kumsikia na kujuwa sankara alikua...
KINACHOHITAJI MAANDALIZI USISUBIRI MPAKA KIWE DHARURA.
Hili linatugharimu wengi kujikuta tunafanya dharura ambayo haikupaswa kuwa kama maandalizi yangefanyika vilivyo kabla.
Yapo mambo mengi...
Wana jamvi ni kwema? huku leo kuna baridi sana na kwa sababu hii kilimo cha watoto hakina mbadala.
Leo hii watu tumekuwa wabaguzi sana tofauti na kipindi cha nyuma utu ulikuwa sehemu ya maisha...
Mods tafadhali msifute huu uzi wangu hili kuwapa funzo watumishi wa umma wapya wanaongia kwenye utumishi wa umma kwa lengo la kujitajirisha kuliko kuwahudumia wananchi
Mie ni mtumishi wa umma...
Tunaomba TAKUKURU ichunguze mapato ya Hospitali ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi haina Mhasibu yoyote tangu ianzishwe na Mapato ya Hospitali yanakusanywa Jengo la Nje la Wagonjwa (OPD) na Wauguzi...
Yule aliyesema ajira ni uti wa mgongo aisee hakukosea hata kidogo na kiukweli kilimo nitakiheshimu na nitazidi kukiheshimu kusema za ukweli ukubali au ukatae
Baaada ya kuachana na ajira niliingia...
Uchaguzi Mkuu unakaribia. Huu ndio wakati watu wanamwomba Mungu maisha marefu,afya njema na pia wawe diwani au wapate cheo chochote.
Wengine wanaenda kwa waganga.
Hakuna kitu nakiogopa (nina hofu nacho) duniani kushinda radi.
Radi zinapopiga huwa nakosa amani kabisa.
Tena zikigonga zile kubwa zaidi wakati nipo homu huwa nafunga milango na madirisha naingia...
Unageuka kichaa ama chizi anayejua anavaa nguo nzuri
Na kwenda kwenye jengo fulani kukutana na wenzake.
YAANI paka anaweza pita nyumbani kwako,kisha akakutizama wewe
Kwa kukukodolea macho tu...
📖Mhadhara (56)✍️
Unaishi miaka 70 mpaka unakufa hujawahi hata kuzunguka maeneo yaliyopo ndani ya nchi yako (Tanzania) ambayo yataifurahisha akili yako. Si kwamba huna hela, bali unaendekeza sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.