Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

CHADEMA tumefanikiwa kuvuka mtihani mgumu wa uchaguzi mkuu na kufanya mabadiliko ya safu za uongozi kwa mafanikio makubwa huku kikibaki kuwa chama chenye umoja na mfano wa kuigwa wa demokrasia...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Hi! Binadamu mwenye akili timamu au mwenye standard IQ anapaswa awe na aibu na utu. Nilomsaidia brother mmoja kumnunulia simu baada ya kuona simu yake ina matatizo. Sasa anataka nimsaidie kununua...
35 Reactions
102 Replies
2K Views
Jaman marafiki zangu, nilikutana na habari sijui ni za kweli au uongo kwamba Rais amezungumzia CM trading kwa kuinvest laki 7 sawa na dollar 300. Nikaingia kwenye website nikajaribu kufanya...
1 Reactions
4 Replies
196 Views
Salaam wakuu. Hii inakuaje!? Pale unapounganishwa na huduma ya matangazo mtandaoni yenye malipo na ambayo hujaiomba,unakuta tu ujumbe umeingizwa kwenye Cm yako kwamba "umeunganishwa bure na...
2 Reactions
9 Replies
194 Views
Imekuwa kawaida katika dunia ya leo kwa wasichana kuufaidi usichana bila kuangalia future yao. Wengi wamepoteza future zao kwa kujiona ni warembo sana na kujiona tayari wao ni watu maarufu...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka watanzania kuziwasilisha noti za zamani za shilingi ya Tanzania katika ofisi za BoT pamoja na benki zote za biashara na kupatiwa malipo yenye thamani ya kiasi...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Tangazo ni hili -- TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUONDOA KWENYE MZUNGUKO NOTI ZA ZAMANI ZA SHILINGI YA TANZANΝΙΑ Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuhusu zoezi la kuondoa kwenye mzunguko...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Tangu kuanza wiki hii TANESCO wamekuwa wakikata umeme bila taarifa kabisa kwa wananchi wa maeneo husika Boko magengeni, Bulemawe, Chama,Calfonia, Ndogondogo center na Mtambani. Mfano jumatatu...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Nilijua tu kuwa Mfumo ukiuingilia lazima Sarakasi za kumpata Mtu sahihi zitakuwa, kwani siyo Siri wanamuogopa LAT.
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu, especially waajiriwa wa serikali. Hivi Na nyie ofisini kwenu pakavu kama kwetu au ofisi yetu ndio imekua mfano? Maana kusema kweli 2023 na 2024 hii miaka imekua migumu sana. Posho...
25 Reactions
168 Replies
6K Views
Siku ambayo hawa maafisa wanavyishwa hivi vyeo walisema ni vyeo vya kijeshi. Je, Mkuu wa Jeshi la TANAPA ni nani ? Je, vyeo vyao vinafanana na JW au vina utofauti? 🚔
1 Reactions
23 Replies
13K Views
Wakuu wa wakuu wa wakuu nimekuja huku nikitweta na kuhisi kuishiwa pumzi dakika za mwanzoni tu. Hivi ni mimi tu ambae 2025 ni kama ishaanza kunipelekea moto kwa spidi ya ngiri mkia juu in kasongo...
0 Reactions
4 Replies
184 Views
Kuna kamsemo huwa kanasikika sana mitaani hasa pale katika uchaguzi mkuu ambapo unakuta Mgombea mwanamke anapata kura asilimia 0.2 ilihali wapiga kura zaidi ya 50% ni wanawake.. “Wanawake...
2 Reactions
6 Replies
215 Views
Naomba Kuulizia Kwa Hapa Bongo ni Kweli Kuna Watu Wanauza Nafasi zao Ili Kupata UTAJIRI na Je Wanamwuzia Nani Au Wote Wameishia Kutapeliwa na Wajanja wa Mjini??
6 Reactions
103 Replies
2K Views
Wanandugu wa bodini... Nawasalimu kwa salamu yangu binafsi, uposondi...?? Mwaweza itikia... ndinandii.. Nimepata tashtwiti ya kuwashauri Chadema, hasa huu uongozi mpya... Katika njia ya...
2 Reactions
7 Replies
255 Views
Habari zenu mabibi na mabwana? Nichukue nafasi hii kukipongeza chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwa kuhitimisha tukio adhimu sana katika kutekeleza ilani ya chama chao kwa kufanya...
4 Reactions
21 Replies
986 Views
Wananchi wahangaika kilometa nne kutafuta matibabu, zahanati iliyojengwa 2021 bado haijatoa huduma
0 Reactions
2 Replies
111 Views
Amini usiamini 2025 Dkt.Emmanuel Nchimbi ataipeperusha bendera ya CCM uchaguzi wa uraisi 2025. Najua wengi hawajaelewa ila kwa sisi wataalamu wa masuala ya siasa za kikanda na kimataifa tunajua...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Kwa wale wenye interest na mambo ya anga za mbali, huko angani kwa sasa kuna kitu kinaitwa planetary alignment na siku chache zijazo kutakuwa na eclipse kadhaa. Hii inaweza kuwa nzuri kwa walimu...
1 Reactions
0 Replies
98 Views
Kiukweli nimeumizwa na ushindi wa TUNDU LISSU hapa mjini Dar eSalaam tutaishi vp?je pombe na nyama tutapata wapi? Je pesa za kutanua kitambaa cheusi tutapata wapi? Madili yangu yalikuwa...
0 Reactions
3 Replies
301 Views
Back
Top Bottom