Amini usiamini hata ng'ombe, paka, kuku na wanyama mbalimbali wafugwao wanao uwezo wa kununa, kucheka na kuongea najua utabisha
Toka 2005 nilijikita kufanya utafiti wa maisha ya wanyama hasa hawa...
Habari za jioni,
Karibuni kwenye uzi huu kwa ajili ya kuhabarishana kutoka kwa mshahara kila mwezi, nyongeza ya mshahara na updates mbalimbali za mishahara kwa Watumishi wa Umma.
Ahsanteni.
Takwimu za Video zao Mtandaoni za Jana na Leo za watu waliokuwa wanfuatilia uchaguzi chadema Kupitia JAMBO TV
🅴 TUNDU LISSU ANAZUNGUMZA MUDA HUU
Kutazamwa: elfu 140Ilitiririshwa saa 2 zilizopita...
Taasisi ya Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imebaini ubadhirifu mkubwa wa mali na fedha zinazozidi Shilingi bilioni 2 katika Msikiti wa Manyema uliopo Kariakoo, Dar es Salaam. Matokeo haya...
Ndugu wa wagonjwa wenye wagonjwa wanaopatiwa huduma za matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshauriwa wanapowatembelea wagonjwa wao kuwapelekea vyakula vyenye...
Vijana wengi wanachomini kuwa hauwezi kufanikiwa pasipo Connection .
Ila ukweli ni kwamba kuwa hauwezi kufanikiwa Pasipo network.
Nini maana ya Connection - Kuungana wewe na mtu Fulani .
Mfano...
Niwe muwazi, Tangu viongozi mbalimbali CHADEMA walivyoanza kukiri kwamba bila katiba mpya hawawezi kuchukua uongozi wa nchi kusema kweli imani yangu na mapenzi yangu kwa chama hichi imeporomoka...
Umeanguka Babeli.
Umeanguka binti sayuni. Ulitarajiwa kuwa furaha kwa wengi lakini harufu ya kidonda chako imeongezeka. Uchungu wako umezidi, ghadhabu na ukali wa upole wako vinatisha.
Nzi wengi...
Wengine wakiumwa na wadudu hao mwili unaumuka sana haijalishi ni sehemu gani ya mwili
Wengine wanaumuka ikiwa sehemu iliyoshambuliwa ni usoni pekee
Wengine wanaumuka ikiwa wadudu waliomshambulia...
POLISI KUENDELEA KUSIMAMIA USALAMA SHUGHULI ZA VYAMA VYA SIASA BILA KUJALI ITIKADI: BASHUNGWA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea...
jirani yangu nilimwambia awafungie Ngombe wake waache kuniharibia shamba hakuskia, nikatuma chief na mzee wa mitaa hakuskia, nikatuma baba yake mzazi hakuskia.
Mimi nikanunua dawa iko na sumu...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya Biharamuro mkoani Kagera.
Taarifa hiyo inakuja siku sita tangu Shirika...
Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Czech wameahidi kushirikiana na Serikali kuchangamkia fursa zinazopatikana katika nchi hiyo kwa manufaa ya nchi na wananchi.
Ahadi hiyo wameitoa Januari 18, 2025...
Moja kati ya sifa kubwa aliyonayo Rais wetu ni uwezo wa kusikiliza kila mtu na uwezo wa kuvumilia mambo mengi.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Msikivu na Mvumilivu.
Pakua Samia App kupitia Play...
Zile zama za kuwa na uhakika wa ajira ukiwa na elimu zilishapita kitambo sana.
Hali imebadilika mostly kuanzia 2010 soko la ajira za kisomi limekuwa gumu sana, Ajira nyingi inabidi uwe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.