Simba katuheshimisha Watanganyika.. Kamnyoa kipara mwarabu. 💪🏿🙏🏿💥💥..!
TAL ni SIMBA kwa alama .. Ni alama Ya uthubutu mkubwa na fearless..
Tumeanza na SIMBA tunamaliza na LISSU💪🏿💪🏿💪🏿
Huko chama...
Asante, Donald J. Trump!
Rais Trump ametimiza ahadi ya kampeni kwa wafuasi wa chama cha Libertarian katika siku yake ya pili ya kurejea ofisini kwa kumsamehe muundaji na mmiliki wa tovuti ya...
Nakumbuka Mwaka 2012
Kipindi Ujana Maji Ya Moto 😂, Nilianzaga Mazoezi Ya Ngumi Kwa Ajili Ya Self Defense (Deep Down Ni Ukorofi Tu Ndo Ulikuwa Unanisumbua)
Basi Bana Nikapiga Tizi Usiku Na...
Habari ya asubuhi, nimekuwa mfuatiriaji wa huu UCHAGUZI na kipindi Cha kampeni CHADEMA ila hawa baadhi ya makada heshima ZAO ZITASHUKA Kwa kiwango Cha 4g badhi ni hawa.
1. Yericko Nyerere...
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Mvua kubwa sana inanyesha hapa Dar sijapata kuona. Tangu nizaliwe sijawahi kushuhudia mvua kubwa kiasi hiki.
Serikali ijiandae kukabiliana na athari za...
Tumewaona wanyama na binadamu wengi wakizeeka na kufa lakini sio nyoka..
Ni ngumu sana sana kukutana na nyoka mzee.Siri ni moja tu. Nyoka wana hulka ya kujivua gamba (ngozi ya zamani) pale...
Mpaka sasa wamefanikiwa walau asilimia 40 kutengeneza kundi la upinzani ndani ya CHADEMA
Kwamba sasa kuna makundi mawili yanayokinzana
1. Kundi la mwenyekiti
2. Kundi la makamu
Makundi haya...
Jeshi la Uokoaji (Zimamoto) Mkoani Arusha, limeshindwa kumuokoa kijana aliyeshindwa kutoka kisimani hali iliyopelekea afie ndani ya kisima hicho.
Baada ya Jeshi la Uokozi kushindwa kumtoa kijana...
Huko DRC vijana wahuni wa mtaani, wanaotishia amani Kwa kuvamia makazi na kuuwa raia, kubaka, kutoboa watu macho, kukata viungo vya watu hasa wanawake ,wazee na watoto, kuuwa mifugo, kuharibu...
Nilimfahamu kwa karibu kipindi cha ukarabati wa kisasa wa Bills.. Nilikuwa sehemu ya technical team.. Hivyo tulionana karibia kila siku pale site
Mwamba ni mtu makini sana mtulivu asiye na...
Habari wakuu,
Kuna mtu mmoja wa sura ya kihindi amepita Dar es Salaam, maeneo ya Mwenge, anawatabiria watu maisha yao.
Je, na nyinyi mmemwona? Je mambo anayo watabiria watu ni ya kweli?"
Hapa Mkoa wa Kigoma kumeibuka wimbi la mauaji na ukabaji katika Kata ya Nyumbigwa, Wilaya ya Kasulu yanayodaiwa kufanywa na baadhi ya raia wa kigeni wakiwemo kutoka Burundi.
Raia hawa huchukuliwa...
Jana nilitoka nje ya wilaya niliyopo kwa ajili ya jambo flan flan, sasa wakati nikiwa huko ugenini mwenyeji wangu alichelewa kunifuata baada ya kumsubiri kwa muda alikuja.
Basi akasema amechelewa...
Msimu wa safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China umeanza hivi karibuni. Msimu huu ni wa kwanza wa safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China tangu kutangazwa kwa mapumziko ya siku nane ya sikukuu hii...
Wakuu habari za Leo! Naomba niwashirikishe sakata la kungolewa Mita/ Dira za Maji na Koki lililotokea usiku wa kuamkia Leo huku kwetu Kiluvya Madukani/Almaarufu kwa Omari, Makurunge Jirani na...
Kwa darasani kwa sasa ni ngumu kurudi labda naweza pata njia nyingine nzuri ya kufahamu hasa kusoma na kuongea.
Nataka kufanya hivo kwasababu zifuatazo
1. Napenda Sana kusoma na kuangalia habari...
Kumbukumbu la Torati 14:22
[22]Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka.
Thou shalt truly tithe all the increase of thy seed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.