Kuna Hiki Chuo Cha Mandeleo Ya Jamii Jiji Mbeya Ambacho Kipo Eneo la Uyole Imekuwa Kikiendeshwa Kihuni huji Sana Bila Kujali Wanafunzi Wake..
Moja Kati ya Jambo Kubwa ni Chuo Kuchangisha...
Alizaliwa January 1891 na kufariki 1978.
Ni miongoni mwa Wazee wa mwanzo, waliompokea, Mwalimu Nyerere kutoka Butiama, alipokuja Jijini Dar es Salaam.
Alimuunga mkono ktk harakati za kupigania...
Kero na malalamiko wanayoyatoa wa Tanzania kuhusu changamoto kwenye Sekta ya Afya moja ya sababu ni Mifumo iliyowekwa huko nyuma kusimamia afya na kum chagua Mtu ambae hana maono / jicho la...
Majuzi dogo moja gari namba E ya harrier alikuja duka fulani kununua bidhaa.
Sasa alipopaki pembezoni mwa duka ng'ambo ya pili ya bara bara kuna lori kubwa la mzigo, kumaanisha alitengeneza...
Eeeh wakuu mpo?
Ktk huu uzi nitazungumzia kuhusu majini kiimani na kisayansi kulingana na experience niliyonayo ila pia mtu yeyote anaruhusiwa kuchangia kulingana na kile anachokijua au...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Kijana tumeuanza mwaka mpya 2025, hivi ndivwe vipaumbele vyako:-
1. Uwe mwaka wa kuoa na kuazisha familia.
2. Usiwe mwaka wa kujenga na kununua...
Hi wana Jf,
Nimejaribu kuchunguza hasa hizo nchi zetu za Africa hususani (East Africa) limekuwa ni jambo la kawaida kukuta kijana ana miaka takribani 30 na bado anaishi kwa wazazi wake bila aibu...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii Mhe. Timotheo Mzava ameipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kukamilisha Mfumo wa e-Ardhi na kuanza...
Moja ya masharti waliyowekewa raia wa Marekani Januari 20, 2025, kabla ya kuingia katika ukumbi wa "Capital One Arena" jijini Washington DC, ilikuwa ni kuacha mabegi na mikoba nje ili waweze...
Akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Salmin Amour iliyopo katika Manispaa ya Singida hivi karibuni Makamu Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mhe. Mohamed...
Yani unakuta mtu anakuja na theories sijui ame-google wapi, anaziunganisha unganisha ili tu muonekane mnaosomesha watu shule EMs ni maboya.
Hii yote ajipatie faraja kwa maamuzi magumu...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewakaribisha wafanyabiashara wa Czech kuangalia fursa za uwekezaji nchini Tanzania katika sekta za utalii...
Wataalamu watupe Elimu zaidi, sasa hivi wengi wanapika kwa kutumia gesi. Je, ni kweli kwamba unapotumia simu karibu na jiko la gesi wakati wa kupika kunaweza kusababisha mlipuko?
Mtusaidie kupaza Sauti na kuwafikishia wahusika Ndio tunachangamoto ya Kivuko lakini Hii Bei ya kivuko cha Azam sea tax kutoka Kivukoni kwenda kigamboni ni kubwa mno kutoka sh 200 mpaka Sh 500...
Kauli ya WHO Kuhusu Taarifa ya Marekani Kujitoa katika shirika hilo
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesikitishwa dhidi ya tangazo la Marekani kwamba inapanga kujitoa katika Shirika hilo.
WHO...
Inasemekana kuwa Ilikupooza mpasuko ndani ya CHADEMA, Lisu katulizwa kuwa hata kama akishidwa atapewa nafasi ya kugombea Uraisi kupitia Chadema.
Ila nafasi ya uenyekiti ibaki kwa Mhe. Mbowe.
Ni jambo la kushangaza, hii nguzo iko hivi, siku ya nne inaisha, inaenda siku ya tano, nguzo hii imelala hivi! Je, wahusika wa kutatua dharura za miundombinu ya umeme mjini Bagamoyo hawajaona? Au...
Mheshimiwa Waziri Juma Aweso, Wakazi wa Kinyerezi, hasa Wakazi ambao tupo karibu na mitambo ya kuzalishia umeme ya Kinyerezi; tunasikitika kukiarifu kuwa hatuna huduma ya maji safi kabisa, leo...
Mkurugezi wa Huduma za Tiba Hospital ya Taifa Muhimbili(MNH) Dr. John C. Rwegasha ameteuliwa kushika wadhifa wa Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Tiba, Kamisheni ya Umoja wa Afrika -AU yenye makao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.