Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Ndoa na kuoa ni Gereza lenye ghiriba kubwa , ulaghai wa wazi, uchoyo wa wazi, ubinafsi wa wazi. Mwanangu Debora tumekupa Ghorofa la Bahari Beach, Nyumba Madale, Kiwanja DSM na Dodoma. Ndio...
10 Reactions
55 Replies
2K Views
Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni...
13 Reactions
138 Replies
7K Views
Taarifa ninazozipata kutoka ukumbini pale Mlimani City katika uchaguzi wa CHADEMA Taifa, ni kwamba Team Mabadiliko imeibuka kidedea. Hii ni taarifa njema kwa Tanzania Huu ni msiba kwa CCM Hii...
28 Reactions
76 Replies
2K Views
Na nasikia Mmoja wao Watu hawataamini kuwa nae kafika Bei kwani katikati mwaka jana alipiganiwa na kuonewa mno Huruma lakini huyo huyo kaamua Kusaliti na Kufika Bei. Wengine Wawili waliobakia...
0 Reactions
3 Replies
342 Views
🤣🤣🤣 Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani...
6 Reactions
39 Replies
697 Views
Una maoni gani
9 Reactions
72 Replies
3K Views
Uzi wa kutupia clips na screeshots zinazohusu ishindi wa Lisu tarehe 22/01/2025 Kupitia hapa, pongezi hizi ni muhimu kwa kumbukumbu tutakapompongeza tena hapo Oktoba 2025
2 Reactions
17 Replies
582 Views
Yaani unamdhulumu ama kumtapeli mtu kiasi fulani cha pesa,kiwe kikubwa au kidogo,halafu hakupeleki mahakamani,halafu hakumbushii tena deni analokudai. Halafu mambo yake biashara zake zinaenda...
8 Reactions
21 Replies
737 Views
Wakuu… Naombeni mnifahamishe huyu Mkuu wa Kamandi ya Wana Maji, Meja Jenerali Ameir Hassan ni Komando? Nimeona ana bawa katika gwanda lake?
6 Reactions
60 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/watch?v=tjFWwo6VAx8 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu Chamwino Dodoma, leo tarehe 22...
0 Reactions
7 Replies
597 Views
Kwema wadau, Nimepata safari mkoani Arusha sehemu inaitwa mto wa mbu, Wajuvi/zi nipeni sehemu za kupumzika usiku nikiwa na balimi moja mbili na sehemu nitapata demu wa kupoozea uchovu wa kazi...
1 Reactions
39 Replies
9K Views
Macho yangu ya Kiyahudi ambayo huwa yananipa hadi Hisia za Mtu kamwe hayajawahi Kukosea. Kaumia atahama.
5 Reactions
11 Replies
549 Views
Kuna vijana wanaotoka kwenye mazingira magumu lakini wanashinda changamoto na kufanikiwa maishani. Unadhani ni nini kinachowasaidia kufanikisha haya licha ya changamoto kubwa wanazopitia? Na...
10 Reactions
53 Replies
1K Views
Thinking being, hebu jiheshimu, be noble Ni vipi unaweza kujifikiri na ukawa yule unayefikiri kuwa?! Nafikiri mimi ni mtu wa watu, mcheshi, sina makuu, sifa zote za kikristo nipe mimi niliye...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Hongoreni wana Chadema Kwa kufanya uchaguzi Kwa utulivu na amani , Wadau wengi walikuwa wakiandika juu ya ushindi wa Lisu humu mitandaoni na maoni ya wengi yalikuwa yanaonesha kuwa Lisu...
5 Reactions
13 Replies
468 Views
Jamaa yangu ananiambia maneno haya akiwa na huzuni sana. Kama kuna jambo sitakuja jisamehe ni hili la kufikiria kuwa Yericko Nyerere alikuwa anafahamu mambo ya ujasusi. Hili sitajisamehe kwa...
5 Reactions
7 Replies
495 Views
Habari zenu TANESCO mkikata umeme asubuhi tunaomba rudisheni umeme saa kumi na mbili wengine tunaishi mazingira mabaya sana ukikaa vibaya umelala na nyoka kitandani na mna jifunika pamoja kwenye...
3 Reactions
15 Replies
230 Views
Leo ni wiki inafika na sijapata huduma. Update : Leo tarehe 21/12/2024 saa tisa na dakika 35 tanesco wamefika na wametatua tatizo Asante sana meneja asante sana mdau Sope suazo kwa kunipa namba...
4 Reactions
46 Replies
1K Views
Baada ya mechi ya Simba kuisha Tanesco mkachomoa fyuzi, hivi sasa saa 00:00 hamjarudisha umeme Mbagala Dar es Salaam, Sasa saa 00:04 mmerudisha umeme! Mungu awalaani.
0 Reactions
2 Replies
157 Views
Kuna vitu hapa duniani huwezi kuvielewa mpaka akueleweshe Likud. Kuna watu hapa JF WaPo addicted with my opinion about everything. They love the way I think. Sio Kwa meseji hizo inbox wakiuliza...
8 Reactions
20 Replies
561 Views
Back
Top Bottom