"Inaonekana hali ya kisiasa itakuwa ngumu na huenda hali hiyo ikasababisha Wanawake kutokugombea kwa hiyo lazima kuwajengea uwezo."
Hayo yalizungumzwa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria (OUT)...
Baada ya mzee mageti kufanikisha uwekezaji kwenye Teknolojia aliamua kuingia mikoani na kuingia katika uwekezaji wa vyakula, Afya, tiba pamoja na njacho.
Ndipo akakutana na mzee zakayo na...
Jeshi la polisi mkoani Iringa linamshikilia Mkurugenzi wa shule ya Sun Academy, Nguvu Chengula, kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi Alifa Mkwawa, ambaye ni mzazi, kwa kutumia kitako cha bastola...
Wakuu, hii imetokana na mambo kadha wa kadha ni kama mwezi mmoja umepita nilienda kwenye mgahawa mmoja local kuchukua chakula majira ya saa 3 usiku, wakati nimefika nikakuta vijana wawili ambao ni...
Ee Mungu mwenye uwezo wote, tunakuja mbele zako kwa unyenyekevu na shukrani kwa nafasi ya kuwa sehemu ya mchakato wa kidemokrasia ndani ya chama cha Chadema.
Mwenyezi Mungu mwenye rehema na...
Wachungaji, mitume, manabii, walimu na Wainjilisti ambao ni viongozi wa makanisa ya kileo huu mstari wanauruka kama haeauoni.
Huu mstari unawahukumu, maana wanajikusanyia sadaka kisha kufungua...
Lengo la huu Uzi sio kubeza wala kudharau taasisi muhimu hii ya Elimu ya juu nchini, bali kutoa ushauri kwa lengo la kuboresha mazingira ya chuo,ambayo kimsingi hayavuti Sawa na hadhi ya Chuo...
HESHIMA YENU WAPENDWA UNAWEZA KUSOMA HUU UZI THEN KAA UTULIE JARIBU KUTAFAKARI HATA KIDOGO KILICHOANDIKWA.
Ni kosa kufikiri kwamba muda unaenda.
Muda hauendi. Muda upo hadi mwisho wa dunia.
Ni...
Barabara ya Bariadi - Itilima ambayo ilielezewa na Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa ni kero kwa Watumiaji, akaomba Mamlaka zinazohusika ziboreshe kwa kuwa shughuli nyingi za Kiuchumi na Kijamii...
Za jioni ndugu, nahamia sehemu, na sababu ni nyumba mpya Umeme Bado haujaunganishwa na zero taarifu, ila lengo langu nikitimiza masharti basi niunganishiwe ili niweze kuchezea kwenye units 75...
Nina ndugu yangu alikuwa ameacha pombe kama miaka minne hivi iliyopita.
Sasa hizi sikukuu za juzi: Akaniambia: "Aisee, ngoja niinjoi kinywaji kuanzia krismasi mpaka mwaka mpya tu, halafu mambo...
Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba...
Mimi ni mmoja wa Wanachama wa Maktaba ya Vitabu ambayo ipo hapa Mjini Unguja, changamoto kubwa iliyopo hapa Maisara, Mkoa wa Mjini Magharib ni kukosekana kwa huduma ya maji.
Naomba Wizara ya...
Ukiona mfanyakazi wako anamiliki vitu havilingani na mshahara unaomlipa lazima upate wasiwasi , mfano haiingii akilini kwa mtu anayelipwa laki 3 halafu ananunua Gari la milioni 60 , au anaishi...
Habari za jioni ndugu zangu nimekaa nikaona tushee kidogo uzoefu mbalimbali ktk utafutaji wa maisha yaweza ikawa shule nyingine bila kujua inaweza kuja kusaidia wengine.
Leo bhana nilikuwa...
Wakuu za mida hii?
Leo nimeona tuwaangazie hawa dada zetu wa benki ambao baadhi yao wanadharau sana kitu ambacho ni kinyume na maadili ya kazi zako.
Kuna kipindi rafiki yangu alienda benki...
Habari za asubuhi waungwana wa humu jamvini......
Hakika maisha ni safari ndefu sana na wakati mwingine kwenye maisha tunakumbana na changamoto na mitihani mbali mbali.......
Kuna baadhi ya...
Hadi leo Januari 21, 2025, maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya haujapata maji kwa wiki moja sasa, tumetoa taarifa kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) lakini hatuoaji...
Kuna mwamba aliwahi kuja na uzi humu akasema "kujifariji sana ni tatizo, utajifariji mpaka uongo"
Mfa maji maji utapa tapa, sasa nyie INTIFADA wa matumbe mnatapa tapa kutafuta vijihabari vinavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.