Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Experts to share knowledge tufanye research zenye tija kwenye field ya gene cloning,vilevile either tufanye cloning ya wanyama,vilevile in ethics tufanye cloning ya binadamu
0 Reactions
6 Replies
189 Views
Anonymous
Nikiwa mmoja wa Watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika nashauri Mkurugenzi wa Halmashauri awalipe vijana wanaojitolea pesa zao ili kuhudumia taasisi, wanakaa hadi miezi miwili bila posho...
0 Reactions
2 Replies
443 Views
Toleo maalum la mambo ya kiroho, ushirikina na imani juu ya miujiza..Hii itakuwa mada kubwa na pana kwakuwa hapa chini nitaweka titles za vitabu na machapisho mbali mbali vyenye kuhusiana na...
9 Reactions
94 Replies
4K Views
Jambo la kusikitisha zaidi kuhusu usaliti ni kwamba hautokani na adui zako. Sio lazima Lissu achaguliwe ila mpinge mwamba kwa hoja maalum, tena kwa heshima kubwa, ila sio kwa dharau na kejeli...
2 Reactions
0 Replies
91 Views
Habari, kwanza kabisa nitoe salam zangu za pole kwa majirani zetu Kenya kwa msiba wa CDF na wafuasi wake katika ajali ya ndege ya kivita iliyotokea tarehe 19/04/2024 wakiwa katika ziara za kikazi...
32 Reactions
190 Replies
12K Views
Aisee habarin Wapamabanaji Siku chache nyuma nilifanikiwa kutembea kijiji kimoja kipo Wilaya ya Kaliua kinaitwa Uliyankulu umbali wa KM 80 kutoka Tabora mjini njia ni ya vumbi lkn inapitika vizur...
5 Reactions
21 Replies
591 Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.), amesema wizara anayoiongoza imefanikiwa kuunganisha Mfumo wa Kidijitali wa Anwani za Makazi (NaPA) na mifumo mingine...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Nini hasa kinachowachochea watoa taarifa (informants) au mawakala (agents) kushirikiana na mashirika ya intelijensia? Tunajua kuwa kazi ya intelijensia na upelelezi inategemea sana taarifa...
1 Reactions
22 Replies
525 Views
Kazaliwa 2003. Chekechea na Primary: Shule ya English Medium... O- level : Private Advance : Private. Kafika chuo kanyimwa bumu( boom) Hajawa allocated. Heslb wana mzungusha tu . Wanasema...
6 Reactions
66 Replies
1K Views
Hawa wote ni wazururaji tofauti yao huyu mmoja anazurura akitumia miguu yake huku huyu mwenzie yupo ndani ya gari. Hawa wote ni wazururaji promax. Kama uzururaji ni uhalifu basi hawa wote ni...
2 Reactions
5 Replies
167 Views
Kama unakuja mjini posta , daaa Leo ni huzuni Kuna foleni sio poa, gari hazitembei.. Kama umechelewa kazini, park gari lako request bolt uwahi ofisini
14 Reactions
57 Replies
2K Views
Utasikia wabongo vijiweni "Mzungu Mchawi sana", hii kauli sio kwamba limepatikana tunguli la Muingereza au Mjerumani la hasha bali vifaa vya kila siku vya kielektroniki; hivi. Kuna anayetambua...
0 Reactions
8 Replies
234 Views
Pesa, Ardhi na Mapenzi. Hivi ni vitu vilivyo mwaga damu sana, vilivyo karibisha ushetani, vilvyo vunja utu na vilivyo tengeneza uhasama mkubwa sana. Lakini bado ni vitu vyenye thamani kuliko...
62 Reactions
170 Replies
17K Views
Habari zenu wanajukwaa, Lengo la huu uzi ni kupeana Connection nje ya nchi hususani Fursa za kazi na ushauri kwa watu ambao wameshaishi nje ya nchi na ambao wako nje ya nchi Kwa hiyo kwa wale...
4 Reactions
11 Replies
332 Views
Tunazaliwa katika ulimwengu usiokuwa na hofu lakini ulimwengu wenyewe hututia hofu. Tunakutana na vitu mbalimbali vinavyotutia hofu katika ulimwengu huu. Japo tunakuwa na ujasiri fulani lazima...
5 Reactions
27 Replies
682 Views
Leucaena leucocephala Ni mti unaosaidia kusahihisha ama kurudisha Naitrojeni katika udongo, lakini pia ni mti unaokua haraka zaidi na asili yakeni Amerika ya kusini pamoja na Mexico. Majani ya...
9 Reactions
49 Replies
12K Views
Dar es Salaam, Januari 20, 2025 - Benki ya CRDB imeendelea kung’ara kimataifa baada ya kutunukiwa tuzo 2 za Mwajiri Bora (Top Employer) na taasisi ya kimataifa ya Top Employers Institute. Ushindi...
1 Reactions
5 Replies
177 Views
Tumshukuru Mungu kwa Kila Jambo Shukrani ni nini Shukrani au kushukuru ni kitendo cha kutambua (appreciate) au kujua matendo ya Mungu katika maisha ya kila siku. Ni vema tukatambua kuwa kila...
0 Reactions
1 Replies
176 Views
Mimi nikiwa mtumishi wa Mungu ninawatakia kila la heri CHADEMA katika uchaguzi wao wa viongozi wa ngazi za juu wa leo tarehe 21/01/2025. Ninawatakia uchaguzi wenye amani, huru na haki katika...
1 Reactions
2 Replies
154 Views
Back
Top Bottom