Dini ni uhusiano wa karibu sana kati ya Mtu na mwenyezi Mungu bila kuwepo na kitu chpchote kati yako na Mungu.
Uhusiano huu ndio aliokuwa nao Adam baada ya kuumbwa.
Hakukuwa na Mchungaji siku...
Kuhusu Mafuta ya Upako na mavitu ya aina hiyo
https://youtu.be/xx8rWWCIg6c?si=nbltSobDGPsezWPO
https://youtu.be/I4OtZ1AoGcU?si=2XR4Yn3OPD2ZLN8l
Msikilize hapa kuhusu Hawa wahuni wa Sadaka za...
CCM tayari wameshabugi kwa kumchagua mgombea wao kiholela, hata kama inajulikana ni mama ndiye angekuwa mgombea, lakini nguvu ya "MCHAKATO" wenyewe ndiyo huwa inaleta mshindo mkuu huko mtaani...
Mhe. Tundu Antipas Mughway Lissu, Mwenyekiti Mtarajiwa wa Chadema na Mgombea Urais Mtarajiwa Katika Uchaguzi wa 2025
Kutokana na mikutano mikuu ya Chadema na CCM inayofanyika kwa kufuatana ndani...
IT IS A SIMPLE STORY BUT VERY MEANINGFUL....
Kile kipindi cha shule za EM zimeanza kuingia bongo kiliwakuta wazazi wangu wamejaliwa na Mungu uwezo. Wakaamua wanitoe kayumba na kunipeleka EM...
Wakati wa JK uhamiaji ulikuwa makini. Kwa sababu tu kikwete mwenyewe mtoto wa mjini. Kwa sasa raia wa mataifa jirani wengi sana wamejaa nchini. Wale wanaojitia wa iq kubwa na yule mkuki wao...
Kuna mchezo kama si wa kijinga basi ni wa kitoto unachezeka hapa..!
Watekaji mahiri hukuteka kwa lengo maalum kama si kisasi basi ni mambo ya kisiasa ama kikomboleo (ransom)
Sakata la Shadrack...
Maoni binafsi
Dini -ni Kama mfupa mgumu ambao walipewa watu waangaike nao -kuumeza huo mfupa wengi hawawezi kuumeza wala kuuvunja.
The bible is there
Quruan is there
But only few people can...
Taka zilizokuwa zimerundikwa barabarani kwa zaidi ya siku tatu eneo la Tegeta - Kwandevu na kusababisha kero kwa waendeshaji wa vyombo vya moto sambamba na kuhatarisha afya za Wananchi umezolewa...
Ndugu wanajamii,
Kama kijana mwenye mapenzi makubwa kwa taifa langu, nimebuni wazo la kuanzisha Klabu ya Uzalendo Mashuleni. Lengo kuu ni kuwajengea wanafunzi maadili, uzalendo, na dhamira ya...
Hebu naomba mnisaidie hapa jaman ili niweze kuwahamisha hawa Watoto chumbani kwangu (Miaka 4&2). Imekuwa vita ya muda mrefu sana hawataki kulala kwenye Chumba chao, wanalazimisha kuendelea kulala...
Freemason ni neno la kingereza ukilitea kwa lugha ya kiswahili maana yake ni "Wajenzi Huru" Art ya Freemason ukisoma article 76A na 86B zinaeleza Freemason ni kikundi cha watu ambao hukusanyika na...
Uandishi sio mzuri sana
UTANGULIZI
Kwanin watu ambao ni devoted kwa Mungu inawawia ngumu sana kufanikiwa mfano kwanin waimbaji wengi wa kwaya au injili hawafanikiwi kama wasanii wanaoimba nyimbo...
Imefika kipindi tu ukifungua App ya jf basi katika mada tano za juu huwezi kosa mada ya kataa ndoa au wanawaka wanaomba sana pesa yaani hoja ya kuwaponda wanawake kuwa ni omba omba huwezi ikosa...
Je ni ruksa kumtukana shetani kwa matusi mazito?
Nasema hivi kwa sababu jana nilipitia karibu na kijikanisa cha kilokole nikasikia waumini wakimtukana shetani kwa matusi mazito tena mengine ni ya...
Kama kachoka kweli mbona hajasema kuwa Kachoka kuwa Mbunge huko aliko na bado tena mwakani anagombea? Na hili ndilo limekuwa tatizo lenu wana CCM japo Mimi si Mwanachama wenu ila ni Shabiki yenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.