Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya uhalifu maeneo ya karibu na Chuo Polytechnic College Mkoani Tabora, ambapo waathirika wakubwa ni Wanafunzi wa Chuo hicho, Jeshi la...
1 Reactions
0 Replies
302 Views
Wadau, kheri ya mwaka mpya wa 2025! Bila kupoteza muda nataka niwasanue wale wenye tamaa na pesa za fastafasta kabla vilio havijawa vingi. Ni hivi, Kuna scam inaendelea mtandaoni ipo hivi, 1...
10 Reactions
19 Replies
701 Views
Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Kagera Wilayani Muleba ni muhitimu wa Diploma in Animal Health and Production katika Chuo cha Igabiro Training Institute of Agriculture kilichopo Muleba. Tangu...
0 Reactions
0 Replies
341 Views
Huko Sengal na Gambia kuna tawi la imani ya Kiisalmu lenye umaarafu na ushawaishi mkubwa maeneo hayo linaloitwa "Baye Fall" ambalo lilianza zaidi ya Karne moja iliyopita. Hawa Waislamu wa Baye...
2 Reactions
4 Replies
176 Views
Katika Dunia ya Sasa au tuseme Dunia ilipofikia kuna mambo kabisa unayaona si ya kawaida lakini yamegeuzwa kuwa ya kawaida sana. Kawaida lakini si kawaida. Siku zote ilikuwa ni ajabu sana kijana...
4 Reactions
5 Replies
222 Views
Tukiwa angalia bado vijana tunafanya chaguo mbalimbali bila kuzingatia siku zijazo. Wakati mwingine chaguzi hizo hutumaliza katika maisha yetu ya baadae. Yafuatayo ni baadhi ya mambo ambayo mtu...
3 Reactions
5 Replies
360 Views
Kuna mtu anakusanya takataka Sasa Leo amekuja kwangu ananigongea mlango kwa Fujo sana je naweza kumshitaki?? Ikiwezekana anilipe?? Mana natumia kama fursa ya kupata hela je inawezekana???
2 Reactions
24 Replies
495 Views
Naombeni mnijuze, kwanini magari ya jeshi mara nyingi huwa hayafati sheria za barabarani na hawashugulikiwi?
1 Reactions
18 Replies
633 Views
Nilimsikiliza mtoto wa baba wa Taifa ambaye ni mkuu wa mkoa wa Rukwa nadhani kuhusu huyu mzee. Yupo na ataendelea kuwepo. Binafsi niliwahi kuangalia sinema flani inaitwa SiSU, ile sinema kuna...
3 Reactions
15 Replies
414 Views
Ni katika kusaidiana. Ninavyojua, kichwa ndio sehemu hatari na delicate sana kuliko sehemu nyingi za mwili, kwa kiasi kikubwa. Je, vest ya kuzuia risasi inatosha bila kifaa kingine? Huwa naona...
11 Reactions
63 Replies
2K Views
Pombe za Kienyeji ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ambavyo vimesaidia familia nyingi za 'Nshomile' kupata elimu, leo hii wapo maprofesa, Daktari, Injinia, Walimu na Wafanyabiashara ambao misingi...
0 Reactions
0 Replies
375 Views
Nimeona nianzishe thread maalum kwa ajili ya kufafanua program ambazo kila uchao zinatangazwa humu jukwaani kama njia rahisi ya kujipatia fedha mtandaoni ilhali ni Ponzi. Mfano wa program hii ni...
4 Reactions
37 Replies
12K Views
Utawala bora Uuzwaji Bandari ya Washington DC Utekwaji wa wamarekani Uchumi ku fubaa Biden alikuwa sahihi kwamba muhula Mwingine hagombei Kama mwenza
1 Reactions
7 Replies
346 Views
Wakili na mwanaharakati Tito Magoti amewataka wahitimu kuacha kutumika kusambaza hashtags na badala yake watafute kazi za kufanya za kuwaingizia kipato wasitumike kama TP. Kupata taarifa na...
3 Reactions
8 Replies
228 Views
Mwezi Jana nilikuwa phuket kwa kazi fulan sehemu inaitwa Patong! Kilichosaidia nili book mapema Agoda lengo nikifika nibadili hotel maana kwa siku moja mtu unatozwa baht 12,000 Sawa na usd 500$ ...
34 Reactions
74 Replies
3K Views
Dar Es Salaam, Mwanza, Mbeya na Arusha haya ndiyo majiji yetu pendwa hapa nchini na kuna (Dodoma) na (Tanga) haya huwa kama siyaelewi hivi. Dar Es Salaam kuna Magufuli Bus Terminal, Mwanza kuna...
5 Reactions
72 Replies
5K Views
"Watu waliozaliwa kati ya mwaka 1975 na 1995 ni kizazi cha kipekee zaidi katika historia, na hii ndiyo sababu: Walizaliwa kati ya vizazi viwili: kimoja kabla ya mtandao wa intaneti na teknolojia...
2 Reactions
6 Replies
219 Views
Ambaye amewai fika na kuishi chini maurritius tunaomba atupashe habari kuhusu nchi hiyo kuanzia utaratibu wa kuingia chini humo,Maisha ya kila siku na shughuli za kiuchumi kama ajira na...
6 Reactions
16 Replies
616 Views
Habarini wakuu wa kazi naombeni kujuzwa utumishi (sekretarieti ya ajira wanatumia utaratibu gani kumpata mshindi wa baada ya oral interview? Kuna post moja ya kazi ilitangazwa waombaji waliofanya...
1 Reactions
8 Replies
597 Views
Huu ushuhuda umekaaje aisee kwa aliyeelewa
6 Reactions
65 Replies
1K Views
Back
Top Bottom