Salaam.
Kumekuwa na vyama vingi vya kutetea au kusemea makundi mbalimbali ya watu ila watu wenye akili nyingi AKA ma genius hawana kundi au chama cha kuwasemea na kuwatetea.
Watu wenye akili sana...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA Tanzania ) hivi karibuni ilitangaza agizo la wamiliki wa magari kubadilisha kadi zao za usajili wa magari ndani ya muda mfupi uliowekwa. Ingawa hatua hii ni muhimu...
Kinachowafanya wahaya na wachaga kufanikiwa katika Elimu , Biashara n.k
Ni Kwa sababu wanakumbuka Nyumbani na kutunza ile Asili yao.
Wahaya ukifia hata Marekani huwa wanahakikisha unaletwa...
Ni zaidi ya miaka 5 sasa toka Rais JPM alipoagiza Wizara zote za Serikali kuhamia jijini Dodoma yalipo makao makuu ya nchi. Agizo la rais ni sheria, hibyo lilitekelezwa kwa ukamilifu na sasa...
Crala Wilfred Kimath (21)yupo chini ya uangalizi wa madaktari wa mifupa kwenye Hospital ya Rufaa ya kiKanda ya KCMC baada ya kujeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili katika tukio linaloacha...
SALUTE.pole Wana jangwani Kwa kupoteza game ya Jana leo nimekuja na swali huenda likawa ni la kipuuzi Kwa baadhi ya watu ila ningependa kujua binafsi Huwa napenda kufuatiria au...
Kwa mujibu WA elimu ya Astrology kipengele cha Zodiac ,Watu WA nyota ya Mapacha( Gemini) ni watu walio zaliwa Kati ya tarehe 21 May Hadi 20 June.
Watu WA nyota ya Mapacha wana sifa moja common...
Jambo la msingi ni kutengeneza content yenye quality ya level za kimataifa mtiririko unakuwa kuangazia production process ya hicho kinywaji from scratch mfano pombe kama ulanzi unaangazia jinsi...
Anasema ndio maana kitabu kinachohusu watu kwenda mbinguni (ufunuo) kimewekwa mwisho kwa maana sio kipaumbele cha Mungu.
Kipaumbele cha mcha Mungu ni Hela au Pesa. Anasema hata ukimuita popote...
Kwa nini matajiri wengi wa kihindi iwe kiasili au kitaifa wanatokea Gujarat ?
Mfano
Familia ya Dewji
Ambani
Adani
Tata
Patel
Na wengine wengi wengi
Hii Gujarat ina siri gani ?
Wakuu, Kuna mjadala ulikua unaendelea mahali huku mtaani, tulikua tunajadili kuhusu ubora wa majeshi ulimwenguni. Jamaa mmoja ambae ni mstaafu wa jwtz akasema kwamba kwa experience yake ya kukaa...
Watafiti tusaidieni hi miaka mitatu ya baby prep 1 prep 2 inao tumika na shule nyingi za mjini hususani private zenye gharama kubwa mpaka 1m kwa mtoto kuanzia 3- 6yrs kuanzia miaka ya 90s imeleta...
Habari za leo, kuna jambo linanitatiza sana. Kuna shule ya Msingi huko Mkoani Ruvuma wilaya ya Mbinga wanachangisha michango ya ujenzi wa jengo la shule kwa kaya moja (1)inatakiwa watoe kiasi cha...
Habari zenu.
Wakati mwingine unapoona tiba za hospitali hazisaidii, unaruhusiwa kujaribu na upande wa pili.
Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa kumpata mtaalamu aliyepo hapa Pemba muda...
Hili limeshanitokea mara kadhaa matokeo yake naishia kutupa vocha na kuweka nyingine. Siku hizi huwa sinunui sana vocha za kukwangua nanunua tu bando kwa mtandao.
Leo nimekuta vocha ambazo...
Baadhi ya Watu waliotoa ripoti za kuibiwa simu katika vituo vya Polisi Stakishari Ukonga Jijini Dar es Salaam na katika Kituo cha Kilwa Roads Police wanasema kila wanapofuatilia simu zao...
wakuu heshima kwenu.
Naomba kufahamishwa kama kuna branch yoyote ya crdb bank ambayo ina operate jumapili kwa huduma za kawaida kama ilivyo siku zingine hapa jijin Dar es salaam, je ipo...
"Niko shambani nalima.Tunamshukuru Mama (Mhe. Rais) na serikali ya CCM kuipa msukumo sekta ya kilimo. Mbolea ya ruzuku na mazingira rafiki ya kilimo vimetupa nguvu zaidi ya kupambana. Kazi...
Wakuu baada ya kutoka Dubai mwezi wa 6 Sasa nataka Kwa mara nyingine nikatulize akili South Africa kama wiki 2 hivi wapi panafaa Kwa mapumziko katika hiyo miji miwili niliyoitaja? Johannesburg au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.