Jiamini na Jitambue; Fahamu thamani yako na tambua uwezo ulionao. Kujiamini kunakuwezesha kuchukua hatua kubwa kuelekea malengo yako. Tambua kile unachokipenda na kilicho na maana kwako. Mfano: Mo...
Wazazi wa watoto waliosoma na wanaosoma hizi shule za EMS si vizuri kukubali au kuona mwanao hakiangaika baada ya kumaliza chuo na kuja kugombana hizi ajira za ajabu mshahara wake usiofika hata...
UKITAKA UFANIKIWE KWA JAMBO LOLOTE, TUMIA KANUNI YA KUSHAMBULIA SANA KULIKO KUZUIA SANA/KUPAKI BASI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Ninafuraha nimerudi tena baada ya kupumzika kidogo katika...
Wakuu mpo vizuri?
Huyu jamaa aliyejirekodi akioga na kuvunja nazi katikati ya barabara aliona hii ndio njia sahihi ya kuchekesha? Hapana, huu ni ujinga na hatari.
Kwanza, anachafua barabara kwa...
Big up kwa wale wanandoa wote ambao hata kama walikutana ofisi moja lakini wakaamua kujiongeza na mmojawapo kuhama ili kuondoa madhara jumuishi...!
Na ni afadhali mkawa wote level moja kuliko...
Mtoto mmoja anayekadiliwa kuwa na umri wa Miaka 15 Ally Amani mkazi wa kijiji cha Igoko ameuawa na kufukiwa porini na watu wasiojulikana kando ya barabara ya Nzega kuelekea Tabora katika kijiji...
Nadhani IGP alikuwa Omary Mahita aliyekuwa na kashfa nyingi za kushirikiana na na baadhi ya Majambazi
Kuna lile tukio la 2006 la uvamizi wa gari la NMB lililokuwa limebeba pesa.. Hili si la...
Moderator naomba huu uzi msiufute maana umekusudia kumsaidia huyu bwana kuingia kwenye orodha ya watu wenye mafanikio kiuchumi.
Pascal Mayalla wewe sio mtu wa kusubiri uteuzi, ulianza vizuri sana...
Wana familia ya Jf,
Naomba kujuzwa kampuni yenye mabasi mazuri yanayosafiri kuanzia Dodoma mjini kuelekea Mwanza mjini anifahamishe.
Sijawahi kufika Mwanza, ndio mara yangu ya kwanza na safari...
Wadau mwaka jana mwanajf Suley2019 alileta habari hapa jf kuhusu mgogoro wa ardhi katika kijiji cha nyambogo wilaya ya rorya iliyopelekea mwili wa marehemu kutozikwa zaidi ya miezi 8.
- Rorya...
Je, mafanikio ya elimu hutegemea ada kubwa ya shule au mshikamano wa familia katika kukuza juhudi binafsi za mtoto?
Swali hili linaibuka mara nyingi, hasa tunapojadili tofauti kati ya shule za...
Unapohisi kum miss mtu aliye mbali nawe, ukumbuke mwezi.
Licha ya kuwa umbali wa maelfu ya maili, Lakini uko karibu zaidi kuliko vile unavyofikiria, maana unautazama mwezi huo mmoja Kula usiku...
Wadau wasalaam.Toka nizaliwe sijawahi kulala Police ila tarehe 2 nililala. wadau pale nilivua viatu na nikakaguliwa nikawakuta jamaa wawili wakituhumiwa kuiba ndizi na kuku.
Wadau pale sakafuni...
Wadau,
Kuna huu mwongozo ulitolewa na Katibu Mkuu TAMISEMI mwaka 2021. Bati mbaya haupo kwenye tovuti ya wizara. Nitaupata wapi?
Kama mtu ana nakala yake tafadhali nitumie.
Shukrani sana.
Hali imeanza kuwa tete baada ya sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma kuanza kuajiri walimu Kwa kuwafanyia usaili " mchujo".
Wasailiwa waonyesha Hali ya kukata tamaa na kuamua kulala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.