Wakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na...
Bila kupoteza muda leo natoa mawazo yangu yanayotokana na uzoefu niliokutana nao mwenyewe.
Kuna mkanganyiko unatokea kwenye suala la elimu na shule hasa za msingi, sekondari na Advanced level...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kigoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba amewaomba wanawake wa Mkoa wa Kigoma kuendelea kuhamasika na matumizi ya Nishati safi ya kupikia...
KWANI TULIKOSEA WAPI?
Katika kila kona ya mazungumzo, swali hili linaibuka: Kizazi cha zamani kilikosea wapi? Au ni kizazi cha sasa kinachopotea? Wazazi wetu, waliotangulia na kuishi kwa misingi...
Maafisa wa ngazi za juu wa jeshi la Uingereza wameshtakiwa kwa kuwakaribisha wanajeshi wapya kutoka Uingereza waliotumwa katika kituo cha kijeshi cha Nanyuki nchini Kenya kwa kuwalazimisha kufanya...
Kuanzia Kimara Mwisho, Sinza hadi Mikocheni, kila unapopita leo utakuwa huna bahati nzuri kama usipokutana na vibao vinavyotangaza huduma za kuchua (massage). Matangazo mengi ni ya kujinadi kwa...
Helloow!!Ladies and gentlemens i hope mko poa sio mwandishi mzuri ila nitaandika hivo hivo cha msingi muelewe Kama kichwa cha habari kinavojieleza
Nilianza unywaji wa pombe toka nikiwa kidato...
Yaani unakuww na siri yako unatamani kuongea na mtu ila hujui yupi sahihi inakuja swala la siri ni ya kwako peke yako akijua mwingine sio siri inaendelea kukutafuna bila kujua mwisho wake na nini...
Nyumba ya familia umeiweka bondi upewe mkopo lakini ukiangalia biashara upepo umebadilika yani hutoboi kwenye marejesho, hizo stress hata unywe pombe hazituliziki
Ndugu wanaona una pesa duka...
Nikuhusu barabara ya Ndungu-Lugulu. Barabara hii, tangu iharibiwe na mvua za El Nino mwaka 2023, haijawahi kutengenezwa.
Barabara hii ni muhimu sana kwa wakazi wa kata ya Lugulu na kata ya Mtii...
Hello!
Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe.
Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze...
Mazungumzo yasiyosikika ni asilimia tisini ya mazungumzo yetu yote yanayosikika kila siku katika maisha yetu.
Mazungumzo yasiyosikika ni yale tunayoongea wenyewe kwenye bongo zetu, tunapanga...
Kwanza lazima nikukumbushe kitu..! Unapoongea pekeyako uwe makini kwakuwa unasikiliza....halafu unajikosokoa halafu unajiuliza na kujijibu ni wazi unaongea na wewe mwenyewe au na wengine kupitia...
Atakaye waona ampigie simu Mr Mohamed kwa namba hii hapa 0744555574.
BREAKING NEWS: Alhamdulillahi
Watoto Wamepatikana Wapo Polisi Mama yao ameshakwenda kuwaona wanapelekwa hospitali kupimwa...
Kuna tukio limetokea Kibaha, Kwa Mfipa, familia imevamiwa, wameibiwa vitu ndani ikiwemo na gari, wamechukua na simu za uwakala wamelazimisha wapewe na PIN, wamepewa.
Kama haitoshi wamewafunga...
Hapa ni wapi, hawa wanajulikana, Kamanda Mulilo, IGP Wambura hapana naona mtaharakisha kutoa press Release kama vile mwafanyaga kwenye matukio mengine.
Zaidi kongole kwa camera man wa...
Habari wakuu,
Mwishoni mwa mwaka 1998 na mwanzoni mwa miaka 2000 kuna wanajeshi walienda nchini China kuchukua mafunzo ya ngazi Fulani. Baada ya muda Fulani walirejea nchini, walirudi na vitu...
Norman Finkelstein ni msomi, mwandishi, na mwanaharakati wa Marekani anayejulikana kwa kazi yake inayohusiana na siasa za Mashariki ya Kati, hasa mgogoro wa Israeli na Palestina. Alizaliwa tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.