Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Nichukue fursa hii kwako Waziri Ulega kwa kulichukulia hili jambo kwa uharaka na hatimaye eneo moja Kigamboni limekamilika baada ya ziara yako. Ntakuwa mtovu wa fadhila bila kukushukuru kwa...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Wanaume, Maisha ni magumu, najua. Wakati mwingine unahisi kukata tamaa, lakini kumbuka, "maisha yanapokupa ndimu, tengeneza sharubati ya limau." Unastahili maisha bora, hivyo endelea kupambana...
2 Reactions
6 Replies
193 Views
Naibu Kurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi DCP. ZUBERI CHEMBERA amesema makosa dhidi ya binadamu kwa upande wa makosa ya mauaji yameongezeka Zanzibar. Akitoa...
0 Reactions
2 Replies
277 Views
Wasalaam, Ni imani yangu mu wazima wa afya, kama kichwa cha uzi huu kinavyosomeka, lengo la uzi huu ni kushare experience ya matembezi katika maeneo tofauti tofauti ya kuvutia na vivutio vingine...
42 Reactions
590 Replies
72K Views
Naibu Kurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi DCP. ZUBERI CHEMBERA amesema Makosa dhidi ya binadamu yamepungua ambapo yameripotiwa jumla ya makosa 1,116 katika Vituo...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Mheshimiwa Rais na mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan, kwa kuwa umeamua chini ya utawala wako kuhakikisha Jiji la Dar linakuwa na miundombinu ya uhakika na uthibitisho na kwa jinsi jiji lote...
0 Reactions
3 Replies
190 Views
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, pamoja na Viongozi mbalimbali wa ngazi ya Mkoa na Wilaya, wakiongozana na Wananchi wa Mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
216 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana Watatu kwa kosa la uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia wakitumia Kemikali ya ‘Ethanol’ isivyo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanabodi, hakuna haja ya kuzungusha. Hakuna ubishi. Waanzilishi wa Ukristo na Uislam ni Yesu na Muhammad. Hakuna ubishi kuwa hakuna anayejua namna hawa waanzilishi walivyofanana wala kuwa...
2 Reactions
4 Replies
192 Views
Wajumbe wamempitisha kwa 100% kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi 2025/2030. Hakika naamini atashinda kwa kishindo mwaka huu. Mungu amlinde Rais wetu, wenye wivu wanywe sumu kabla ya...
2 Reactions
15 Replies
390 Views
Habari Wana Jamvi, Mitaa mingi ya Jiji la Mbeya kwa sasa imekuwa ikikambiliwa na changamoto ya ongezeko la vibaka au matukio yanayohusisha vibaka. Kumekuwa na matukio kadhaa ya watu kuripoti...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
Wanaume, Siyo kila mtu katika sehemu yako ya kazi ni rafiki yako. Fanya kazi yako. Pokea malipo yako. Rudi nyumbani. Wenzako wa kazini si marafiki zako. Kila mtu yupo pale kwa sababu ya kipato...
9 Reactions
13 Replies
562 Views
Leo nimeboeka nikasema niende Temeke nikatembee mida ya sa5 usiku, kuna bar nikaingia nikawa nakunywa wine palikua panapigwa miziki ya bongo flava, lakini ilivyofika saa 6 usiku wakaingia VIJANA...
72 Reactions
274 Replies
18K Views
Hao watu wamekuwa wasumbufu sana, wezi na wapigaji sana, wamekuwa wakiongeze bei ya vitu hali inayosababisha ugumu wa maisha. Mfano mpiga debe analipwa kila kichwa anachopeleka kwenye gari hizi...
7 Reactions
27 Replies
684 Views
Kuna kitu nataka kuangalia hapa sasa inaonyesha ivi kama unajua nielekeze hapa au kama hapa uwezo pm iko wazi msaada
1 Reactions
18 Replies
333 Views
Wakuu, Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland...
206 Reactions
993 Replies
187K Views
Watumishi wamehamishwa kutoka kituo A cha kazi kwenda vituo vingine bila malipo, ingawa agizo la uhamisho lilitolewa na kamati maalumu ya ukaguzi. Mkuu wa idara, akionyesha nia njema, aliwaita...
1 Reactions
16 Replies
718 Views
Tanzania kuna uhaba wa WATU wenye potential haitokaa itokee hii nchi isonge mbele. Angalia majina yanayotawala katika siasa ni yale yale iwe upinzani au sisiemu.
3 Reactions
21 Replies
579 Views
Back
Top Bottom