Maiti sita ambazo hazijatambulika zimekutwa zikielea katika Mto Ruvu eneo la Bagamoyo, Mkoa wa Pwani zikiwa zimehifadhiwa kwenye mifuko ya Sandarusi maarufu viroba vya uzito wa Kilogramu 200, huku...
Katika hali isyokuwa ya kawaida kabisa kwa zaidi ya wiki tatu sasa Pwani ya Mkoa wa Dar es Salaam hasa Baharini imekuwa si sehemu salama tena kwani kumekuwa kukionekana sana Maiti zikielea mara...
Habari wakuu,
Kuna maiti zimeokotwa kando ya reli dar es salaam. Bado haijajulikana maiti hizo zimetokea wapi.
Hata hivyo sijajua kama Polisi wameshazungumzia hilo swala.
Ni vizuri Bunge liunde...
Wakuu,
Katika Msitu wa Chamazi shamba la Muhimbili eneo lilipo Kata ya Chamazi mtaa wa Dovya leo mnamo saa tatu asubuhi imeokotwa miili 3 ambayo imeanza kaharibuka karibu na tank la maji la...
Kasumba hii inaathiri sana uwezo wa watu wetu wa kufikiri kwa kina, hasa katika bara letu la Afrika. Akili za Waafrika wengi zimekuwa kama sifongo zinazofyonza taarifa bila kuchuja wala kutafakari...
MAITI tatu zimeokotwa kwenye fukwe mbalimbali za Zanzibar katika siku tatu zilizopita zikiwa zimeharibika vibaya, kuwa na majeraha ya kukatwa na kitu chenye makali zikiwa zimefungwa kwenye viroba...
Wavuvi na wafanyabiashara katika masoko na minada ya samaki ya Kunduchi, Ununio na Feri jijini Dar es salaam wanaishi kwa hofu baada ya kuwepo kwa taarifa za kuopolewa miili 15 ya watu baharini...
CHANGAMOTO KUU ZINAZOWAKABILI VIJANA NA MABINTI WA KIZAZI HIKI NA NAMNA YA KUKABILIANA NAZO
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Utazifahamu changamoto kuu zilizombele yako. Utajua chanzo au vyanzo...
Hata mimi naungana na bwana Musk, binafsi inaenda miaka 2 sasa nimeshasahau kitu inaitwa redio, runinga kutizama ni mara moja moja sana, tena siyo taarifa ya habari, natazama vipindi vingine kama...
Hivi ni kwanini jinsia hii ya kike inajiweka mbali sana na mambo yanayoumiza akili ?
Mfano hata fani mbalimbali zenye matumizi makubwa ya akili kuna asilimia ndogo sana ya wanawake katika maeneo...
Sote au wengi tunajua kwamba kuna mfumo unatumika kuficha maneno ambayo ni matusi mara nyingi kwa kugeuza herufi zote au baadhi ya herufi za tusi hilo kuwa nyota. Mfano mzuri ni kwenye subtitles...
Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?
Ule weledi wa tasnia habari umeenda...
Mimi nawashangaa sana wanaume wenzangu ambao wanapata hela kwa tabu unabeba zege,unachimba msingi,unabeba tofali,unakuwa saidia fundi halafu ukipata hela unajinyima hata kula mlo mmoja ili...
Ukiwa kwenye jamiii ya kiafrika
Then , ukawa unajua kuongea na kuandika English nzuri sana , automatically unaonekana wewe ni msomi na unaakili sana kuliko wengine , mbali zaidi unaweza...
Hizi hapa ndiyo sifa kuu za wanaomuunga mkono Freeman mbowe.
machawa wanaotegemea kula na kuendeleza harakati zao kwa mgongo wa mbowe (posho za harakati)
Wanachama wenye maono madogo yaliyobebwa...
Pata kujua kuhusu zao la kiungo cha kukumaga katika bara la Zanzibar (Unguja)
Kisiwa cha Unguja kinajihusisha na kilimo cha viungo hali maarufu kama (spices)ambapo kimefanyika kwa ajili ya...
Hapa ushauri unahitajika maana nimeshauri mpaka nimechoka.
Kuna binti kaja kuniomba ushauri kuna biashara anatamani kufungua ila wifi yake yaani mke wa kaka yake anatamani kufanya naye...
Wana jamii nadhani mko poa.
Leo kuna nataka kusema maneno machache sana yenye faida kubwa sana.
Ndugu zangu kama tunatafuta furaha za kweli hapa duniani ebu tujaribu kusaidia wasio jiweza kwa...
Waafrika kuna mahali tumepigwa chenga ya mwili kisha tukaachwa solemba. Mabeberu (kwa jina pendwa la chama kikuu) walitukuta na sayansi yetu ya asili ikiwa imepiga hatua kubwa kwenye utafiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.