Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mwezi septemba maka jana Umoja wa wanafunzi wa jumuiya ya Afrika mashariki walikuwa na mkutano mkuu katika chuo cha Nelson Mandela Institute of Science and technology ambapo uchaguzi ulifanyika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu 1.) Kila nchi ina Rais wake 2.) Kila nchi ina katiba yake 3.) Kila nchi...
13 Reactions
140 Replies
4K Views
Hivi nchi kama Uingereza, Marekani and the rest of the western world, bidhaa zao wanauza wapi? Kwanini nauliza hivyo: Hapa tanzania sioni kitu chochote MADE IN UK, USA, SWEDEN NORWAY DENMARK ETC...
4 Reactions
77 Replies
6K Views
Hili linaweza kuwa jipya kwako... Hata visivyo na uhai kwenye ulimwengu wa roho vina yoho.. Kimojawapo ni pesa ama fedha, ukipenda ziite shekeli.. Ni wazi umeshawahi kusikia watu wakisema...
39 Reactions
72 Replies
3K Views
Mwaka 2022 nilipata full scholarship lakini nasikitika nilinyimwa passport uhamiaji bila sababu za msingi na kusababisha scholarship kuisha mda wake. Hali hii unanitesa sana imeniathiri.je...
1 Reactions
12 Replies
277 Views
Shalom wapendwa, Hizi salamu za wasukuma nimeamua kuzifyekelea mbali baada ya kuokoka, kila siku nina enjoy na salamu mpya ambayo ni SHALOM ikiwa na maana ya AMANI IWE KWENU/KWAKO naipenda sana...
18 Reactions
201 Replies
21K Views
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili kwa mitihani iliyofanyika October/November 2024 ambapo jumla ya Wanafunzi wa Shule 680,574 kati...
2 Reactions
13 Replies
982 Views
MwanaJF wenzangu, Tunashukuru tumeanza wiki 1 ya mwaka 2025. Tuweke malengo ya kuhakikisha vizazi na vizazi vinaikuta sayari yetu salama. Mimi nitafanya yafuatayo; 1. Kupanda angalau miti 5 ya...
3 Reactions
5 Replies
274 Views
Wakuu kama ujumbe unavyosomeka hapo juu. Niliweka vyeti original kwenye academic qualification na nikawa naomba kazi bila shida na kuitwa kwenye interview bila shida yoyote. Ilifika kipindi...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari wakuu Kuna hii habari ya serikali inataka kuja na jamii namba. Sasa wakati naangalia UTV habari kwenye maelezo ya hiyo jamii namba umeme ulikata kwahiyo sikuielewa. Na hapa nimekuja kuona...
2 Reactions
6 Replies
181 Views
Wakuu, Media ya Dar24 kupitia ukurasa wake wa Insta wameweka tangazo la kupotelewa na Mkugenzi wao ambaye amatoweka toka tar 31/10/2024. Wasiyojulikana wameamka tena?! == Dar24 Media...
15 Reactions
63 Replies
4K Views
Kwakuwa kipato changu hakiniruhusu kununua maji ya kunywa, nimechukua hatua zifuatazo: 1. Kununua water dispenser na chupa zake 2, nikiweka chupa moja ya pili inabaki kuwa spea. Pia nimenunua...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Jamii nyingi za WATU weusi zina Crab mentality au huitwa kaa kwenye ndoo. Kaa wakiwa kwenye Ndoo yule mmoja anayejaribu kutoka huwa anavutwa na kurudishwa ndani ili asitoke , maana yake...
8 Reactions
14 Replies
469 Views
Eeeh wakuu, Leo nitavunja code ya udalali kwa watu wote ambao wanalala hawajui wakiamka waende wapi wakatafute ridhiki. Hii code kanipa jamaa aliyekuja huku bariadi kwa ishu zake namimi nimeona...
1 Reactions
6 Replies
251 Views
Habari wakuu! Mwanzoni wa mwezi wa Desemba waziri wa fedha wa Marekani alituma barua bungeni kuarifu ya kuwa wizara yake imedukuliwa yaani (hacked) na mdukuzi anayefadhiliwa na serikali ta...
1 Reactions
2 Replies
177 Views
Hakuna Mganga anayetengeneza pesa wala jini anayetengeneza pesa bali pesa zinatoka benk kuu(BOT). Kinachofanyika ni kuvuta pesa za wafia dini wanaoamini asili ni shirk. Hivyo roho mbalimbali...
1 Reactions
7 Replies
277 Views
Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu. Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha. Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha...
17 Reactions
196 Replies
5K Views
Wakuu hivi hawa watu wa mikopo ya mtandaoni huwa wanaajiriwa kwa vigezo gani? Maana nijuavyo mteja ni mfalme na anahitaji kuwa treated vizuri. Hawa jamaa nilivuta kamkopo kao kama 40k hivi...
7 Reactions
22 Replies
598 Views
Kwa utafiti wangu ndogo nimeona hii kitu ya kuzaa watoto wengi na umaskini(kipato kidogo) sijui ina uhusiano gani na kipato. Naombeni msaada kwa anaye jua
11 Reactions
52 Replies
1K Views
Kwema Wakuu Nimeletewa barua ya serikali za mitaa ikiwa na wito WA kutaka niende ofisi za serikali za mitaa. Kisa na mkasa NI kugoma kulipa Pesa ya taka na ulinzi àmbayo haizidi elfu Tano. Yàani...
27 Reactions
91 Replies
3K Views
Back
Top Bottom