Wakuu sina ndoto ya kuja kuwa Rais hata kwa dk1 sina.Msije mkaniteka bure Nikamuacha mke wangu akiwa bado mbichi kabisa.
Mara zote huwa nafikri kama ningepata nafasi ya kuwa rais wa nchi hii...
Mwandishi wa @MwananchiNews apotea. Siku 10 hajulikani alipo. Alikuwa anafanya uchunguzi wa Habari nyeti. Nataraji kesho tutajua zaidi - ZZK.
KUHUSU AZORY GWANDA
Azory Gwanda alizaliwa 1975 na...
Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua...
Ni siku ya furaha na huzuni pia
1. Ni siku ya huzuni kwakuwa bado Kombo Mbwana anasota rumande licha ya kutimiza vigezo vyote vya dhamana.. Simulizi yake inajulikana wazi hakuna haja ya kuirudia...
DR Mambo Jambo njoo utoe neno. Afya ndiyo utajiri wa kwanza wa mwanadamu! Baada ya utafiti wa muda mrefu hatimaye imebainika kuwa pombe za aina zote zinasababisha aina saba za kansa.
Iwe...
Samahani nlikuwa nahitaji kujua jinsi ya kuadd attachnment kwenye sytem ya rita ya kuomba cheti cha kuzaliwa nlikuwa nimeshalipia hadi control number sasa natakiwa niongeze barua ya serikali za mitaa.
Wakuu habar za mchana, najua humu kuna account official ya Brela. Nahitaji msaada wa dharura
Kuna Agent nilimpa task ya kunifanyia annual filling na custom search, lakn mpaka sasa ni wiki ya 6...
Kwa masikitiko makubwa na hizi ni kubwa, ninaomba kumjulisha Katibu Mkuu wa CCM kuwa, Kata ya Matundasi iliyopo Wilaya ya Chunya, mkoa wa mbeya.
Haina maji safi na salama Tangu Tanzania upate...
Nimesoma kwa masikitiko taarifa za siri za watu kutekwa nyara kuuwawa na watu wanajitambulisha kuwa polisi kwenye website ya BBC Swahili.
Taarifa ilikusanywa na mwanahabari Samy Awami na timu...
Najaribu kuangalia Sanaa ya uchekeshaji jinsi inavyopata umaarufu, ni kitu kizuri sana ila sasa binafsi nakwazika namna ambavyo dini ama imani fulani zinavyotumika katika kuchekesha na mbaya...
Kwanini ni muhimu kuweka plan nzuri? Siku moja wanafunzi wanne wa chuo wanaosoma programme moja walicheza hadi usiku sana hawakusoma na kesho yake kulikua na Test imepangwa.
Kulivyokucha wakawaza...
Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam kutoka shule ya uchumi jina lake ni Jimmy Mathias Bughado mkazi wa Tabora, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha hajulikani alipo toka siku ya...
Nilikuwa napitia kitabu kimoja cha zamani(Mtawa Maporini-2) na nikakutana na neno Shamba la Bibi(Likimaanisha eneo lililohifadhiwa). Basi ikabidi niingie kwenye "shimo la sungura" ili kutafuta...
Habari zenu wakuu.
Kuna hiki Chuma kimedondoka kaunti ya Makueni huko Kenya.
Mashuhuda wanasema kilikuwa na mshindo mithili ya Radi.
Kuna maelezo yoyote ya kitaalamu yametolewa?
Pesa ina chuki mno na sisi binadamu. Itoshe kusema pesa ingekuwa binadamu msanii basi ingetuchana mno kwenye dis track. Ile hit em up ya 2pac ingekuwa cha mtoto.
Unaambiwa Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi mwaka 2024.
Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya...
Kama wazazi wenu hawa muambii Ni vyema na haki mkaachana na biashara ya udangaji kwani ni hatari Kwa afya zenu na Kwa jamii pia.
Leo kwenye saa6 mchana mdada wawatu kidogo achinjwe.
IKO...
Kuna watu wanadanganyana eti kwenda mbinguni ni kubet.
Hivi logic ya mpako wa wagonjwa nini? Kwamba unaweza kubet dakika za mwisho ukapaa kwma kwa zari?
Logic ya kutubu dhambi ni nini? Kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.