Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kati ya bodaboda au Bajaji ya mizigo kipi kinafaida endapo mtu akiamua kokomaa kabisa wakuu
0 Reactions
3 Replies
277 Views
Wakuu, Habari zilitufikia hivi punde ni kwamba aliyekua mkuu wa Kitengo cha EU, Wizara ya Fedha Leopord Lwajabe Amekutwa Amefariki huko Mkuranga. Lwajabe alitekwa na watu wasiojulikana Akiwa...
16 Reactions
284 Replies
66K Views
Hivi ofisi zao wanafanya kazi mpaka jumamosi?
0 Reactions
1 Replies
132 Views
Kwenye pitapita zangu nimekutana na picha chini hapo wanajiita makomando wa JU, hivi tofauti na JWTZ kuna Jeshi lingine lina makomando?
6 Reactions
97 Replies
4K Views
WAZIRI wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Songea Mjini, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewatembelea na kuwafariji waathirika wa mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia leo JAnuari 3, 20255 katika Manispaa ya...
0 Reactions
0 Replies
193 Views
Kumekuwa na huu utaratibu wa kuweka mashine ambapo mteja anatakiwa kuchukua coupon na kusubiri kuitwa ndio apate huduma; Naomba kupata maoni yako 1. Kama unazipenda au kama huzipendi na kwa nini...
1 Reactions
3 Replies
237 Views
Na WAF - Bukoba, Kagera Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amekabidhi vitendea kazi kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii vyenye thamani ya Shilingi Milioni 674.3 kwa mikoa Saba ambayo ni Njombe...
0 Reactions
2 Replies
224 Views
Kuna mtu mmoja alieleza kuwa katika ukuaji wake aliwahi kuambiwa neno ambalo lilimfanya ajisikie vibaya kwa muda wa miaka zaidi ya kumi. Alieleza hayo wakati akifanya mahojiano na chombo kimoja...
21 Reactions
68 Replies
2K Views
Familia Iliyotembea Uchi wa Mnyama ‘Tunatii Mizimu’ Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Bakari Msulwa amelazimika kuitembelea familia ya Seleman Mpange, mkazi wa Kijiji cha Lukulunge Kata ya Mvuha...
7 Reactions
69 Replies
10K Views
Wanasema mbongo mpe kichwa cha habari kinatosha Stori yote itateremka.....
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu) Dkt. Rose Likangaga akifunga mafunzo hayo kwa niaba ya Mjumbe wa Tume, Dkt. Zakia Mohamed Abubakar. Mkurugenzi Msaidizi wa...
0 Reactions
1 Replies
135 Views
Abdul aliona mama yake anakosolewa vikali na upinzani ameamua naye kuingia kwenye michezo michafu mbaya Sana zaidi hata ya Hayati Magufuli kuipasua CHADEMA Hadi sasa amefanikiwa kuivuruga chadema...
1 Reactions
3 Replies
295 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wananchi kuwa Serikali inatenga kiasi cha Shillingi Billioni 300 kwa mwezi kwa ajili ya kulipa madeni...
0 Reactions
1 Replies
132 Views
Jeshi la Polisi linamtafuta kwa kuendesha msako nchi nzima mtu ambaye anaonekana kushoto mwa taarifa hii ambaye ametengeneza na kusambaza picha mjongeo (video clip) akitangaza jongeo kuwa anamuuza...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
VISA INTERVIEW QUESTIONS 1. What is the purpose of your visit?: Be prepared to explain the reason for your trip, whether it's for tourism, business, education, or visiting family and friends...
10 Reactions
20 Replies
1K Views
Hii kauli ya wenje naipenda sna ni kauli yenye kutueleza ukweli wa jambo na Watu walipokee kwa mikono miwili Mtoto pendwa wa rais ni mtu muungwana San ana ushawishi ndani ya serikali na ndani ya...
1 Reactions
27 Replies
769 Views
Waziri wa Afya,Jenista Mhagama amezitaka jamii kuendelea kuchukua tahadhari ya magonjwa ya msimu ambayo yamekuwa yakiibuka kwa nyakati tofauti hususani ugonjwa wa kipindupindu ambao amedai umekuwa...
0 Reactions
2 Replies
177 Views
Nipo safarini,tena safar ndefu imeanza saa kumi nafika kesho asubuhi inshallah,sasa kwa safari kama hii unatarajia seat mate wako atakuwa mwanamke,nimechill dirishani kabisa natarajia jirani...
31 Reactions
95 Replies
2K Views
Yeah! Nadhani tunakumbuka jinsi bwana Yericko Nyerere alivyotuhumiwa kuiba nyuzi za wana JF kuandika vitabu vyake anavyoviita vya kijasusi hata akawapiga watu pesa Kwa kuwauzi vile vitabu. Sasa...
6 Reactions
17 Replies
486 Views
Na Ahmed Abdulla, Zanzibar: Katika muktadha wa dunia ya sasa, usawa wa kijinsia umekuwa ni suala la muhimu sana, hasa linapokuja suala la nafasi za uongozi kwa wanawake. Miongoni mwa mbinu...
3 Reactions
0 Replies
193 Views
Back
Top Bottom