Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu habari za humu ndani. Hivi ni maumivu gani makali zaidi ya mwili wa binadamu ushawahi ku experience au uliona mtu anapitia ukaona kabisa ni maumivu makali kwa binadamu. Kwangu mimi ni...
15 Reactions
251 Replies
7K Views
Ni aibu kwa taaluma nzima ya usalama,kwa mwanausalama kumvamia kiongozi bila ya kujitambulisha na kuonyesha kitambulisho na kuanza kumtisha kwa bastola ili atii amri yako. Nakushauri kamanda...
16 Reactions
541 Replies
71K Views
Epuka kukaribisha kila mtu nyumban kwako au kwenye makazi yako wengi wao huwa na roho chafu. Umkaribishapo katika makazi yako bila kuijua roho yake. Vile anavyo maisha yako na jinsi uishivyo...
41 Reactions
122 Replies
3K Views
Leo nimeenda kwenye moja ya ATM za CRDB Bank nikiwa na nia ya kutoa fedha kiasi cha 200k+. baada ya majaribio kadhaa ya kujaribu kutoa kiasi hicho ambacho nilikuwa na uhakika ninacho kwenye...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Hawa watangazaji (Laizer na Mmasai) wanahitaji kuboresha mtindo wao wa utangazaji. Wanapiga makelele ambayo yanakera baadhi ya wasikilizaji. Kwenye kipindi chao cha Kili Breakfast, Waridi...
7 Reactions
14 Replies
423 Views
Vicent Masawe (36) maarufu Bwana harusi, aliyepotea muda mfupi baada ya harusi yake na baadae kukutwa kwa mganga wa Kienyeji Chakechake Pemba, anayekabiliwa na mashtaka ya wizi wa gari na...
0 Reactions
3 Replies
209 Views
Wabunge WENGI WAKISTAAFU WANAPATA ‘STROKE’ - DKT. MSUKUMA Ijumaa Ya Leo Ndani Ya Kipindi Cha JANA na LEO, Dr Joseph Kasheku Musukuma MBUNGE wa GEITA amesema hata suala ka kufeli kwa mradi wa...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui...
0 Reactions
3 Replies
198 Views
Watu wa Mara = Wajita, Wajaluo, Wakuria, Wazanaki, n.k. Ni kwanini wahamiaji wengi wa fursa ni wa mkoa wa Mara kuzidi mkoa wa karibu wa Shinyanga, na Kagera ? Ni kipi kinawapa Hamasa watu Mara...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii, siku hizi kuna makanisa mengi sana yanaibuka yenye wachungaji, manabii, mitume, walimu, n.k. Jambo linalopelekea upotoshwaji mwingi kufanyika kwa kutumia jina la Mungu na...
2 Reactions
18 Replies
820 Views
Anasema kwa mfano kama wewe ni mtu wa hasira sana na ukaendelea kuwa na hulka hio hadi wakati wa full moon basi itakupelekea kufanya jazba kubwa hata kwa vitu vya maudhi madogo. Anasema pia sio...
0 Reactions
11 Replies
324 Views
Katika siku za mwisho za uhai wake, akiwa hospitali Uingereza na alipotembelewa na Mkapa, Nyerere alimwambia hivi Mkapa, "Benjamin, najua Watanzania watalia sana watakaposikia nimekufa" Na...
9 Reactions
20 Replies
928 Views
Barua ya Wazi Kwa Vijana Wote WANAOJITAFUTA 🫡 Mitaa inasema: 👇 Ni Rahisi kwa Mtoto Kilaza Aliyezaliwa kwenye Familia ya Kitajiri Kutusua Kuliko Mtoto Smart Aliyezaliwa kwenye Familia Duni. 98%...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye mada.. Haya maisha ya ajira za serikali unaweza kujikuta unaishi sehemu usiyotarajia kabisa.. Unaweza kujikuta maeneo kama haya vijijini 1. Hakuna umeme 2. Mtandao...
20 Reactions
54 Replies
1K Views
Hakuna vijana wanaopitia Magumu kama Hawa wa Dar , Vijana wa Dar wanataka mafanikio ya haraka sana, wanaumizwa wanapoona watu waliwafaham miezi michache nyuma wakiwa hawana kitu, sasa wanawaona...
12 Reactions
17 Replies
497 Views
Kuimba ni kipaji hata ujaribu kuforce vipi as long huna kipaji cha kuimba hata urekodi kwa Timberland na lyrics aandike Beyonce still tu utatoa boko tu. Get back to the point kuweka akiba ni...
0 Reactions
1 Replies
114 Views
Hii ndio Taarifa iliyosambazwa Mkoani Dar es Salaam leo , kwamba yule Mkandarasi aliyepewa kazi ya kujenga barabara hiyo ya mwendokasi ya kutoka Kariakoo hadi Mbagala , iliyopaswa kukamilika mwezi...
6 Reactions
55 Replies
3K Views
"Tayari kuna mabasi [Mwendokasi] yameagizwa, inawezekana kati ya mwezi wa pili mpaka mwezi wa tatu yataanza kufika. Kwa njia hii ya Kimara - Mjini, sekta binafsi wataleta mabasi takriban 177...
2 Reactions
10 Replies
331 Views
Leo nimewalisha hela nyingi lakini sipati huduma ya internet. Inakuwaje hii?
1 Reactions
12 Replies
358 Views
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji amegawa pikipiki 700 na vishkwambi 4,500 kwa ajili ya matumizi ya maafisa ugani wa sekta ya mifugo mkoani Morogoro. Dkt. Kijaji amesema hatua hiyo...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Back
Top Bottom