Mara ya kwanza wakati Donald Trump alipogombea urais wa Marekani dhidi ya Hilary Clinton, wanadiplomasia wengi na wataalam wengi wa mambo ya uchumi, waliweka karata yao kwa Hilary Clinton...
Wakati tukiinyoshea Yanga kidole na kuituhumu kuwa kiwango kimeshuka basi, tusiisahau Simba pia. Tunajua Simba inaonekana kwa sababu Yanga anafanya vibaya. Simba inapata matokeo ambayo ni mpaka...
Uwekezaji wa moja kwa moja kutoka China barani Afrika, umekuwa ni sehemu ya mtindo mpya ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika, ambao tangu mwaka 2000 umekuwa ukiongezeka kwa...
First of all most people think Africa is a COUNTRY when it’s actually a CONTINENT
-Most people think that everyone in Africa is poor, NO! A lot of people in Africa are rich and are living BETTER...
👉🏾Mafundisho ya Yesu Kristo yalikuwa ufunuo wa kimungu uliojaa upendo, msamaha, na haki, akionyesha muunganiko wa kibinadamu na kimungu. Alibadili mtindo wa uongozi wa wakati wake na kutoa mwanga...
Hii sasa ni balaa!
Mkate umekuwa dili huko Kilimanjaro
=================
Kufuatia wingi wa watu waliokuja kusherehekea sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya mkoani Kilimanjaro, bidhaa aina ya mkate...
Leo usiku wa saa 8 NIMEOTA NDOTO mtu ambae ni mganga akiniambia kuwa soon nitafariki
Sababu ni kuwa watu wanaoniroga wamejua kuwa najua kuwa wanaoniroga so wanafanya juu chini wanizime mapema
Watz ni watu wajinga Sana .
Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima.
Baba
Mama
Watoto
Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote...
Kwa mtazamo wangu mkuu wa Majeshi, aliepita ( Mabeyo).ameweka Alama au histolia kwa Majeshi ya Afrika, ninachowaza ni kua ameacha Alama na Elimu kwa Majeshi mengine ya Afrika.
Na hili nimeliwaza...
Askari polisi wa Kituo cha Kibaya wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara, Geogre Mwakambonjo (40) amefariki dunia baada ya kugongwa na lori alipokuwa amepanda kwenye pikipiki.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa...
Wakuu
Kufulia kusikie tu kwa jirani.kuna kipindi kama miaka minne imepita,niliwahi kufulia kiasi kwamba nilikosa hata mia mbovu mfukoni.nikaona mambo yasiwe mengi nikauza zangu laptop yangu ilikua...
Hili halina ubishi kwamba msimu huu 2024/2025 marefa wameamua kuibeba timu ya Simba Kila mechi. Hali hii ilianza taratibu na sasa ndio imekuwa kawaida Kila mechi Simba ambayo ni timu choko...
Wakuu,
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limepiga marufuku wananchi kulipua vilipuzi (fataki) bila kuwa na kibali cha Jeshi la Polisi katika Sikukuu Za Krismasi na Mwaka Mpya.
Kamanda wa Jeshi la...
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama...
Tabia kama hii kwa sie waafrika imekithiri .Hakuna mzungu anayetoa hela bure tujitaahidi hata kama unataka umpe mtu pesa unampa hata kazi yeyote ili mradi afanye kazi hata unaweza kumwambia...
Swala la Yesu kuzaliwa liko wazi Kwa Kila mtu, Yesu alizaliwa (Luka 1:26...) inaitwa incarnation ,hapa Waislamu mtanisamehee! Yohana 1:14.....15, Neno akafanyika mwili, akakaa kwetu nasi tukaona...
#Repost @mwananchi_official
——
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kwa maendeleo.
Kikwete ametoa sifa...
Habari za muda huu, tena.
Leo nitaongelea na hili pia. Nina uzoefu mkubwa mno wa kuwa karibu na Watanzania wa hadhi mbali mbali, hivyo mengi nimeyaona na kuyafahamu.
Kwa Tanzania, hususani...
Hizi chaguzi zina raha yake jamani, huku Mbeya karibia kila Mtaa utakaopita unakutana na Magreda yakiendelea na kazi ya kurekebisha Barabara.
Hii huwa inatokea kila tuingiapo kwenye kipindi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.